Kama kawaida Yanga wanabebwa tena

Kama kawaida Yanga wanabebwa tena

Mbona Unaleta Stori Za Shangazi Yako Tena, Mi Nimekuuliza Nyie Mliokomaa Huko Kimataifa Mmeshinda Makombe Mangapi?
Watu si wanatafuta hela kwasababu hata mshindi mwisho anapewa hela tumekunja 1.4 B zipo bank utopolo mnasemaje.
 
Kama kubebwa Geita ndio walio bebwa kwenye build up ya shambulizi lililo zaa goli la Geita, Geita walimfanyia faulo mchezaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza lakini Cha kushangaza mwamuzi aliwapa advantage Geita wakapata goli.
Penalty waliyopewa Yanga ni halali baada ya mchezaji wa Geita ku ushika mpira akiwa pekeyake akiwa ndani ya 18 ya lango lake. Ni matokeo ya ku ukamia mpira ili aubutue akiwa amen'gata meno na hii ni Hali ya kukosa utulivu na kutokujiamini aka igharimu timuyake ya Geita.
Sheria za soka umezisoma lakini? Ile ni penati ya mchongo
 
Nimefurahi hawa utopolo kubebwa tena kama walivyobebwa Premier.

Acha hawa kamati ya mapokezi mwaka huu wafurahi kidogo
Sasa unaposema uwe na ushahidi kama ninpenati,hebu kumbuka mechi ya simba na polisi dar,simba walioewa penati dakika ya 89.30 je walibebwa?
Uliona goli walilofunga geita lilikoyokea?saidoo alifanyiwa rafu,akaanguka chini na filimbi ishapigwa,ghafla wachezaji wa geita wakamnyang'anya mpira saidoo na kuanzisha move iliyoleta goli,je napo hapo tuseme geita walibebwa?
 
Kama kubebwa Geita ndio walio bebwa kwenye build up ya shambulizi lililo zaa goli la Geita, Geita walimfanyia faulo mchezaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza lakini Cha kushangaza mwamuzi aliwapa advantage Geita wakapata goli.
Penalty waliyopewa Yanga ni halali baada ya mchezaji wa Geita ku ushika mpira akiwa pekeyake akiwa ndani ya 18 ya lango lake. Ni matokeo ya ku ukamia mpira ili aubutue akiwa amen'gata meno na hii ni Hali ya kukosa utulivu na kutokujiamini aka igharimu timuyake ya Geita.
Ni kweli kabisa,lile goli la geita ndio nabi alikuwa anamlalamikia refa akaishia kupigwa red card
 
Nimefurahi hawa utopolo kubebwa tena kama walivyobebwa Premier.

Acha hawa kamati ya mapokezi mwaka huu wafurahi kidogo
Hebu tangulia labor huko ukajifungue maana uchungu uliokuwa nap Ni balaa tupu
 
Rudini mkasome sheria za soka.Mimi siwezi ku argue na watu mnaoshabikia kwa mihemko tu.

Lakini niko tayari kufurahi nanyi kwa jinsi mnavyobebwa.
Ajibu hili swali ili tuufunge mjadala, tusichoshane
 
Rafu gani wachezaji wa utopolo akizidiwa ujanja anajiangusha na kunyoosha mikono juu kuomba mbeleko kwa mwamuzi
Sasa unaposema uwe na ushahidi kama ninpenati,hebu kumbuka mechi ya simba na polisi dar,simba walioewa penati dakika ya 89.30 je walibebwa?
Uliona goli walilofunga geita lilikoyokea?saidoo alifanyiwa rafu,akaanguka chini na filimbi ishapigwa,ghafla wachezaji wa geita wakamnyang'anya mpira saidoo na kuanzisha move iliyoleta goli,je napo hapo tuseme geita walibebwa?
 
Sio ajabu mtu kama wewe ulidanganywa umenunuliwa super market hadi leo unadharau wale wanaokwenda labor kujifungua ndiyo maana kwako hilo umechagua kama tusi.

Makasiriko ya nini suala hapa ni utopolo kubebwa tufurahi tu
Hebu tangulia labor huko ukajifungue maana uchungu uliokuwa nap Ni balaa tupu
 
Rudini mkasome sheria za soka.Mimi siwezi ku argue na watu mnaoshabikia kwa mihemko tu.

Lakini niko tayari kufurahi nanyi kwa jinsi mnavyobebwa.
Sisi tunaofatilia mpira, tunaona ulaya tu ambako kuna VAR, mchezaji akishika mpira na ikienda kuchekiwa kwenye VAR na kukuta ameshika basi ni penati. Hakuna ile kama zamani kuangalia sijui hakushika kwa makusudi sijui bahati mbaya
 
Nimefurahi hawa utopolo kubebwa tena kama walivyobebwa Premier.

Acha hawa kamati ya mapokezi mwaka huu wafurahi kidogo
Cheza mpira rafiki acha maneno!!!

👇Nimeikuta mahali nadhani itakufaa!!

"Tukitaka Kuanza Kuona Mafanikio ni lazima tujifunze kuziba mianya ya Visingizio"
 
Back
Top Bottom