Kama kawaida Yanga wanabebwa tena

Heheheh Kwani Simba Imeshinda Makombe Mangapi Huko Kimataifa Ambapo Nyie Mshakomaa Kama Unavodai.
Mnajua mpira ni slogan eti the return of the champions ila manara mjanja anajua kuwakamata masikio nyie kwa mpira ule wachezaji hawana pumzi wale utachukuaje kombe bila kushiriki nyinyi kwani mpo hatua gani kimataifa baada ya kumaliza mechi yenu na Somalia mnacheza lini tena.
 
Mbona Unaleta Stori Za Shangazi Yako Tena, Mi Nimekuuliza Nyie Mliokomaa Huko Kimataifa Mmeshinda Makombe Mangapi?
 
Umesahau goli la Mauya yule jamaa alitolea mpira ndani
 
Endelea kuteseka na mech isiyokuhusu, target ni kusonga mbele na ni tayari.. shida kwa Makolo Iko palepale.
Hii ndo Yanga
 
Kwa mujibu washeria namba 13 ya soka utopolo wamebebwa na isingekuwa hivyo walishaaga mashindano

 
Mechi ya leo inaonyesha yanga kucheza competition bado sana bado sana komaeni na league ila kimataifa mtaenda kuaibika kwa mpira ule.
Ww yako na Polisi ndo inaonyesha ubora wako wa kushinda kombe huko Kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…