Watu si wanatafuta hela kwasababu hata mshindi mwisho anapewa hela tumekunja 1.4 B zipo bank utopolo mnasemaje.Mbona Unaleta Stori Za Shangazi Yako Tena, Mi Nimekuuliza Nyie Mliokomaa Huko Kimataifa Mmeshinda Makombe Mangapi?
Sheria za soka umezisoma lakini? Ile ni penati ya mchongoKama kubebwa Geita ndio walio bebwa kwenye build up ya shambulizi lililo zaa goli la Geita, Geita walimfanyia faulo mchezaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza lakini Cha kushangaza mwamuzi aliwapa advantage Geita wakapata goli.
Penalty waliyopewa Yanga ni halali baada ya mchezaji wa Geita ku ushika mpira akiwa pekeyake akiwa ndani ya 18 ya lango lake. Ni matokeo ya ku ukamia mpira ili aubutue akiwa amen'gata meno na hii ni Hali ya kukosa utulivu na kutokujiamini aka igharimu timuyake ya Geita.
Sasa unaposema uwe na ushahidi kama ninpenati,hebu kumbuka mechi ya simba na polisi dar,simba walioewa penati dakika ya 89.30 je walibebwa?Nimefurahi hawa utopolo kubebwa tena kama walivyobebwa Premier.
Acha hawa kamati ya mapokezi mwaka huu wafurahi kidogo
Ni kweli kabisa,lile goli la geita ndio nabi alikuwa anamlalamikia refa akaishia kupigwa red cardKama kubebwa Geita ndio walio bebwa kwenye build up ya shambulizi lililo zaa goli la Geita, Geita walimfanyia faulo mchezaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza lakini Cha kushangaza mwamuzi aliwapa advantage Geita wakapata goli.
Penalty waliyopewa Yanga ni halali baada ya mchezaji wa Geita ku ushika mpira akiwa pekeyake akiwa ndani ya 18 ya lango lake. Ni matokeo ya ku ukamia mpira ili aubutue akiwa amen'gata meno na hii ni Hali ya kukosa utulivu na kutokujiamini aka igharimu timuyake ya Geita.
😀 Msimu uliyopita hamkushinda?Pitch mbovu unakuwa kama hujaangalia mpira vile we huoni uwanja ulivyokuwa.
Hii Sheria ya wapi?, Hakuna msamaha mbali na maamzi ya refa itakavyompendeza.Kwa mujibu washeria namba 13 ya soka utopolo wamebebwa na isingekuwa hivyo walishaaga mashindano
View attachment 2183388
Hebu tangulia labor huko ukajifungue maana uchungu uliokuwa nap Ni balaa tupuNimefurahi hawa utopolo kubebwa tena kama walivyobebwa Premier.
Acha hawa kamati ya mapokezi mwaka huu wafurahi kidogo
Ajibu hili swali ili tuufunge mjadala, tusichoshane
Sasa unaposema uwe na ushahidi kama ninpenati,hebu kumbuka mechi ya simba na polisi dar,simba walioewa penati dakika ya 89.30 je walibebwa?
Uliona goli walilofunga geita lilikoyokea?saidoo alifanyiwa rafu,akaanguka chini na filimbi ishapigwa,ghafla wachezaji wa geita wakamnyang'anya mpira saidoo na kuanzisha move iliyoleta goli,je napo hapo tuseme geita walibebwa?
Ule ukuni wa Djuma unausikilizia ukiwa wapi?Timu ya mpira wa miguu wamesajiliwa "manyani"!
Nikikujibu ujinga wako usijinunishe.Kwa mama yako mzazi.Ule ukuni wa Djuma unausikilizia ukiwa wapi?
Hebu tangulia labor huko ukajifungue maana uchungu uliokuwa nap Ni balaa tupu
Sisi tunaofatilia mpira, tunaona ulaya tu ambako kuna VAR, mchezaji akishika mpira na ikienda kuchekiwa kwenye VAR na kukuta ameshika basi ni penati. Hakuna ile kama zamani kuangalia sijui hakushika kwa makusudi sijui bahati mbayaRudini mkasome sheria za soka.Mimi siwezi ku argue na watu mnaoshabikia kwa mihemko tu.
Lakini niko tayari kufurahi nanyi kwa jinsi mnavyobebwa.
[emoji23][emoji23] Pokea ukuniNikikujibu ujinga wako usijinunishe.Kwa mama yako mzazi.
Ngoja mama yako aupokee akapikie gongo.[emoji23][emoji23] Pokea ukuni
Tuliza kishuzi hichoBoya wewe wamebebwa kwa lipi
Cheza mpira rafiki acha maneno!!!Nimefurahi hawa utopolo kubebwa tena kama walivyobebwa Premier.
Acha hawa kamati ya mapokezi mwaka huu wafurahi kidogo