fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Na haziwezi kufutwa kwasababu nchi inaongozwa na sheria na ili sheria ichukuwe nafasi lazima kuwe na cohesive bodiesMtoa mada au kama vipi hizo kazi ulizoorodhesha zifutwe tu zisiwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na haziwezi kufutwa kwasababu nchi inaongozwa na sheria na ili sheria ichukuwe nafasi lazima kuwe na cohesive bodiesMtoa mada au kama vipi hizo kazi ulizoorodhesha zifutwe tu zisiwepo
Tofauti ya namba 1 na 4 ni nini? Navyojua mimi wote hao na maafisa wa polisi kama walivyo FFU...Laana ni nini?
Laana ni zao la maneno ya haki yanayotamkwa katika hali ya uchungu. Yaani si kila jambo linalotamkwa kwa uchungu kwamba linaweza kuleta laana Bali ni uchungu wenye haki ndani yake.
Pia hata damu iliyomwagwa huweza kutamka maneno ya uchungu na kupelekea laana kwa mwagaji na kizazi chake.
Nini matokeo ya laana au nini dalili za laana?
Dalili za laana ni pamoja na;
(A) Ulemavu wa kudumu
(B) Magonjwa ya kudumu
(C) Kufa mapema
(D) Kuhangahika, mtu mwenye laana pia anaweza kuwa muhangahikaji sana. Hatulii
(E) Kutokufanikiwa (kufikia malengo)
(F) Kutokuzaa
(G) Kufanyiwa kitendo sawia na kile ulichokifanya kwa mtu aliyelia n.k
Sisemi muache kazi, fanyeni hizi kazi lakini hakikisheni mnafanya kwa misingi ya Kimungu, msimwonee mtu. Kama huwezi kufanya kwa haki ni vyema uache kabisa maana matokeo utakayopata ni makubwa kuliko ile dhuluma uliyoifanya.
1. Police, hii kazi katika kutekeleza majukumu ya kila siku lazima utasababisha machozi kwa watu wengine.
Hakuna chozi la mtu lisilotoa majibu. Tubu ili kizazi chako kisiishi katika laana.
Matokeo ya laana ni kuanzia kizazi cha 1 mpaka cha 4.
Matokeo yanaweza yakatoka naadaye huku wewe umeshakufa na kusahaulika.
2.Mkusanya mapato
Biashara za watu zimekufa, watu wengine wamefilisika kwasababu ya ukandamizi wa wakusanya mapato, wanalia vitandani mwao, watoto wanalia kwa njaa kwasababu yako wewe mkusanya mapato.
Tubu, chozi la mtu halitoki bila matokeo.
3. Askari magereza
Kuna watu hawana hatia, Kuna watu wametumia mamlaka zao kuwasukumia watu magerezani. Wake zao wanalia, watoto wanalia, meza haina chakula. Haijalishi wewe unatimiza wajibu wako lakini kitendo cha wewe kumshikilia mtu asiye na hatia ni laana kwa kizazi chako.
4. Trafiki
Watu wengi wametoa machozi kwasababu yao .
Kizazi chako kinalaaniwa.
5.Anayedhulumu haki ya mnyonge au mtu mwingine.
6. Mtu yeyote mwenye mamlaka anayetumia mamlaka yake kutoa machozi wengine.
Mtu huyo anapeleka laana kwa kizazi chake.
Mbinguni tutafika tumechoka sana....Yaani askari magereza alaaniwe kisa hakimu kaonea mfungwa? Akili za laana hizi
8. Internal Auditors ndiyo wanoko wa kwanza kabla hata CAG hajacheki mafailiLaana ni nini?
Laana ni zao la maneno ya haki yanayotamkwa katika hali ya uchungu. Yaani si kila jambo linalotamkwa kwa uchungu kwamba linaweza kuleta laana Bali ni uchungu wenye haki ndani yake.
Pia hata damu iliyomwagwa huweza kutamka maneno ya uchungu na kupelekea laana kwa mwagaji na kizazi chake.
Nini matokeo ya laana au nini dalili za laana?
Dalili za laana ni pamoja na;
(A) Ulemavu wa kudumu
(B) Magonjwa ya kudumu
(C) Kufa mapema
(D) Kuhangahika, mtu mwenye laana pia anaweza kuwa muhangahikaji sana. Hatulii
(E) Kutokufanikiwa (kufikia malengo)
(F) Kutokuzaa
(G) Kufanyiwa kitendo sawia na kile ulichokifanya kwa mtu aliyelia n.k
Sisemi muache kazi, fanyeni hizi kazi lakini hakikisheni mnafanya kwa misingi ya Kimungu, msimwonee mtu. Kama huwezi kufanya kwa haki ni vyema uache kabisa maana matokeo utakayopata ni makubwa kuliko ile dhuluma uliyoifanya.
1. Police, hii kazi katika kutekeleza majukumu ya kila siku lazima utasababisha machozi kwa watu wengine.
Hakuna chozi la mtu lisilotoa majibu. Tubu ili kizazi chako kisiishi katika laana.
Matokeo ya laana ni kuanzia kizazi cha 1 mpaka cha 4.
Matokeo yanaweza yakatoka naadaye huku wewe umeshakufa na kusahaulika.
2.Mkusanya mapato
Biashara za watu zimekufa, watu wengine wamefilisika kwasababu ya ukandamizi wa wakusanya mapato, wanalia vitandani mwao, watoto wanalia kwa njaa kwasababu yako wewe mkusanya mapato.
Tubu, chozi la mtu halitoki bila matokeo.
3. Askari magereza
Kuna watu hawana hatia, Kuna watu wametumia mamlaka zao kuwasukumia watu magerezani. Wake zao wanalia, watoto wanalia, meza haina chakula. Haijalishi wewe unatimiza wajibu wako lakini kitendo cha wewe kumshikilia mtu asiye na hatia ni laana kwa kizazi chako.
4. Trafiki
Watu wengi wametoa machozi kwasababu yao .
Kizazi chako kinalaaniwa.
5.Anayedhulumu haki ya mnyonge au mtu mwingine.
6. Mtu yeyote mwenye mamlaka anayetumia mamlaka yake kutoa machozi wengine.
Mtu huyo anapeleka laana kwa kizazi chake.
Yule mkuu wa malaika from chattle hatoboi humoLaana ni nini?

Dajtari hawezi kuwemo humoNa baadhi ya madaktari
🙄🙄🙄Wengine naona umewaonea ila huyu asilimia 💯💯💯4. Trafiki
Watu wengi wametoa machozi kwasababu yao .
Kizazi chako kinalaaniwa
Hii kitufe ya Like nimeibonyeza kwa nguvu zote, umeongea ukweli kabisa.Mengi ni uongo mtupu. Laana inakuja pindi ukitumia madaraka yako vibaya na sio kutekeleza majukumu.
Askari magereza au mkuu wa gereza hana hatia hata kama mfungwa alisingiziwa kwa asilimia mia moja. Laana wataipata wale waliohusika kwa makusudi au kwa uzembe kwa namna moja ama nyengine hadi ikapelekea mtuhumiwa kuwa mfungwa. Na askari magereza atapata laana akiwafanyia vibaya wafungwa na sio kwa kuwa amekuwa askari magereza.
nimetolea mfano askari magereza tu, ila kazi nyengine zote ni namna kama hio.
Na hata kazi unayoona ni ya maana na ni takatifu, unaweza ukapata laana kwa kazi hio endapo ukawaumiza watu. Mfano wa kazi hizo hata hizi za dini baadhi ya mashehe na wachungaji.
Na hata wafanyabiashara, na watoa huduma mbalimbali wanaweza wakapata laana kwa matumizi mabaya ya madaraka. Usidharau kazi za watu.
Nakuunga mkono kwenye hivyp viashiria vya Laana. Ila hizo fani ulizotaja sina hakika kama ziko kwenye Risk.Laana ni nini?
Laana ni zao la maneno ya haki yanayotamkwa katika hali ya uchungu. Yaani si kila jambo linalotamkwa kwa uchungu kwamba linaweza kuleta laana Bali ni uchungu wenye haki ndani yake.
Pia hata damu iliyomwagwa huweza kutamka maneno ya uchungu na kupelekea laana kwa mwagaji na kizazi chake.
Nini matokeo ya laana au nini dalili za laana?
Dalili za laana ni pamoja na;
(A) Ulemavu wa kudumu
(B) Magonjwa ya kudumu
(C) Kufa mapema
(D) Kuhangahika, mtu mwenye laana pia anaweza kuwa muhangahikaji sana. Hatulii
(E) Kutokufanikiwa (kufikia malengo)
(F) Kutokuzaa
(G) Kufanyiwa kitendo sawia na kile ulichokifanya kwa mtu aliyelia n.k
Sisemi muache kazi, fanyeni hizi kazi lakini hakikisheni mnafanya kwa misingi ya Kimungu, msimwonee mtu. Kama huwezi kufanya kwa haki ni vyema uache kabisa maana matokeo utakayopata ni makubwa kuliko ile dhuluma uliyoifanya.
1. Police, hii kazi katika kutekeleza majukumu ya kila siku lazima utasababisha machozi kwa watu wengine.
Hakuna chozi la mtu lisilotoa majibu. Tubu ili kizazi chako kisiishi katika laana.
Matokeo ya laana ni kuanzia kizazi cha 1 mpaka cha 4.
Matokeo yanaweza yakatoka naadaye huku wewe umeshakufa na kusahaulika.
2.Mkusanya mapato
Biashara za watu zimekufa, watu wengine wamefilisika kwasababu ya ukandamizi wa wakusanya mapato, wanalia vitandani mwao, watoto wanalia kwa njaa kwasababu yako wewe mkusanya mapato.
Tubu, chozi la mtu halitoki bila matokeo.
3. Askari magereza
Kuna watu hawana hatia, Kuna watu wametumia mamlaka zao kuwasukumia watu magerezani. Wake zao wanalia, watoto wanalia, meza haina chakula. Haijalishi wewe unatimiza wajibu wako lakini kitendo cha wewe kumshikilia mtu asiye na hatia ni laana kwa kizazi chako.
4. Trafiki
Watu wengi wametoa machozi kwasababu yao .
Kizazi chako kinalaaniwa.
5.Anayedhulumu haki ya mnyonge au mtu mwingine.
6. Mtu yeyote mwenye mamlaka anayetumia mamlaka yake kutoa machozi wengine.
Mtu huyo anapeleka laana kwa kizazi chake.
Hakimu/JajiLaana ni nini?

HahahaHakimu/Jaji
Anayetengeneza Pombe na vileviLaana ni nini?

Kwa mfano umemdhulumu mtu haki yake na hajui kuwakadhulumiwa, laana utapataje?Laana ni nini?
Laana ni zao la maneno ya haki yanayotamkwa katika hali ya uchungu. Yaani si kila jambo linalotamkwa kwa uchungu kwamba linaweza kuleta laana Bali ni uchungu wenye haki ndani yake.
Pia hata damu iliyomwagwa huweza kutamka maneno ya uchungu na kupelekea laana kwa mwagaji na kizazi chake.
Nini matokeo ya laana au nini dalili za laana?
Dalili za laana ni pamoja na;
(A) Ulemavu wa kudumu
(B) Magonjwa ya kudumu
(C) Kufa mapema
(D) Kuhangahika, mtu mwenye laana pia anaweza kuwa muhangahikaji sana. Hatulii
(E) Kutokufanikiwa (kufikia malengo)
(F) Kutokuzaa
(G) Kufanyiwa kitendo sawia na kile ulichokifanya kwa mtu aliyelia n.k.
Sisemi muache kazi, fanyeni hizi kazi lakini hakikisheni mnafanya kwa misingi ya Kimungu, msimwonee mtu.
Kama huwezi kufanya kwa haki ni vyema uache kabisa maana matokeo utakayopata ni makubwa kuliko ile dhuluma uliyoifanya.
1. Police, hii kazi katika kutekeleza majukumu ya kila siku lazima utasababisha machozi kwa watu wengine.
Hakuna chozi la mtu lisilotoa majibu. Tubu ili kizazi chako kisiishi katika laana.
Matokeo ya laana ni kuanzia kizazi cha 1 mpaka cha 4.
Matokeo yanaweza yakatoka naadaye huku wewe umeshakufa na kusahaulika.
2. Mkusanya mapato
Biashara za watu zimekufa, watu wengine wamefilisika kwasababu ya ukandamizi wa wakusanya mapato, wanalia vitandani mwao, watoto wanalia kwa njaa kwasababu yako wewe mkusanya mapato.
Tubu, chozi la mtu halitoki bila matokeo.
3. Askari magereza
Kuna watu hawana hatia, kuna watu wametumia mamlaka zao kuwasukumia watu magerezani. Wake zao wanalia, watoto wanalia, meza haina chakula. Haijalishi wewe unatimiza wajibu wako lakini kitendo cha wewe kumshikilia mtu asiye na hatia ni laana kwa kizazi chako.
4. Trafiki
Watu wengi wametoa machozi kwasababu yao. Kizazi chako kinalaaniwa.
5.Anayedhulumu haki ya mnyonge au mtu mwingine.
6. Mtu yeyote mwenye mamlaka anayetumia mamlaka yake kutoa machozi wengine.
Mtu huyo anapeleka laana kwa kizazi chake.
Hapo kwa askari magereza umebugi. Askaria magereza amepewa tu mfungwa akae naye. Sio yeye aliyemhukumu. Kosa lake nini?Laana ni nini?

Fafanua vizuri laana inafukiziaje vizazi visivyo kuwa na hatia Inamaanisha Babu azingue mimi kilembwe nije kulipia makosa yake so sad sana lakin me naona Kam ukiamua kua mtu mwema tofauti na wazaz au mababu zako hii laana aikupatiLaana ni nini?
Laana ni zao la maneno ya haki yanayotamkwa katika hali ya uchungu. Yaani si kila jambo linalotamkwa kwa uchungu kwamba linaweza kuleta laana Bali ni uchungu wenye haki ndani yake.
Pia hata damu iliyomwagwa huweza kutamka maneno ya uchungu na kupelekea laana kwa mwagaji na kizazi chake.
Nini matokeo ya laana au nini dalili za laana?
Dalili za laana ni pamoja na;
(A) Ulemavu wa kudumu
(B) Magonjwa ya kudumu
(C) Kufa mapema
(D) Kuhangahika, mtu mwenye laana pia anaweza kuwa muhangahikaji sana. Hatulii
(E) Kutokufanikiwa (kufikia malengo)
(F) Kutokuzaa
(G) Kufanyiwa kitendo sawia na kile ulichokifanya kwa mtu aliyelia n.k.
Sisemi muache kazi, fanyeni hizi kazi lakini hakikisheni mnafanya kwa misingi ya Kimungu, msimwonee mtu.
Kama huwezi kufanya kwa haki ni vyema uache kabisa maana matokeo utakayopata ni makubwa kuliko ile dhuluma uliyoifanya.
1. Police, hii kazi katika kutekeleza majukumu ya kila siku lazima utasababisha machozi kwa watu wengine.
Hakuna chozi la mtu lisilotoa majibu. Tubu ili kizazi chako kisiishi katika laana.
Matokeo ya laana ni kuanzia kizazi cha 1 mpaka cha 4.
Matokeo yanaweza yakatoka naadaye huku wewe umeshakufa na kusahaulika.
2. Mkusanya mapato
Biashara za watu zimekufa, watu wengine wamefilisika kwasababu ya ukandamizi wa wakusanya mapato, wanalia vitandani mwao, watoto wanalia kwa njaa kwasababu yako wewe mkusanya mapato.
Tubu, chozi la mtu halitoki bila matokeo.
3. Askari magereza
Kuna watu hawana hatia, kuna watu wametumia mamlaka zao kuwasukumia watu magerezani. Wake zao wanalia, watoto wanalia, meza haina chakula. Haijalishi wewe unatimiza wajibu wako lakini kitendo cha wewe kumshikilia mtu asiye na hatia ni laana kwa kizazi chako.
4. Trafiki
Watu wengi wametoa machozi kwasababu yao. Kizazi chako kinalaaniwa.
5.Anayedhulumu haki ya mnyonge au mtu mwingine.
6. Mtu yeyote mwenye mamlaka anayetumia mamlaka yake kutoa machozi wengine.
Mtu huyo anapeleka laana kwa kizazi chake.
🤔🤔🤔🤔Hatari sana usemalo linamaana kwaundani wake.