Kama kazi yako nitaitaja hapa chini, nakushauri fanya toba ili kizazi chako kisilaaniwe

Tofauti ya namba 1 na 4 ni nini? Navyojua mimi wote hao na maafisa wa polisi kama walivyo FFU...
 
8. Internal Auditors ndiyo wanoko wa kwanza kabla hata CAG hajacheki mafaili
9. Wafanyakazi wote wa TAKUKURU mpaka Receptionist. Yaani ukifika Ofisi zao wote wanakuona na kukutendea kama MHALIFU
 
Yule mkuu wa malaika from chattle hatoboi humo
 
Hii kitufe ya Like nimeibonyeza kwa nguvu zote, umeongea ukweli kabisa.
 
Nakuunga mkono kwenye hivyp viashiria vya Laana. Ila hizo fani ulizotaja sina hakika kama ziko kwenye Risk.
Kwenye maandiko Matakatifu Mungu amesema Bwana Hupatiliza wana wa uovu kuanzia kizazi cha kwanza hadi cha nne.

1. Wakati Onani alipomuua Ndugu yake Eri Mungu alimwambia asikosw mtu mwenye ulemavu au laana juu ya kitendo hicho ktk uzao wake.

2. Ktk Kitabu cha Samweli Mwenyezi Mungu anamlaani Yoabu kwa kumuua Abneri na kumtamkia laana tatu ambazo ni a) Magonjwa ya kudumu 2) Umaskini 3) Ulemavu. Anatamka kwa maneno makali sana ktk uzao wa Baba yake Yoabu na ndugu yake Asaheli.

Tukija huku kwenye jamii na hali halisi ni kweli kabisa 100%. Sitatoa mifano maana sitaki kuwa shahidi
 
Hakimu/Jaji
 
Anayetengeneza Pombe na vilevi
Anayetengeneza,
Anayeuza,
Anayenunua
Anayesafirisha,
Anayebeba na kushusha n.k

Mtiririko huu mzima ni mtiririko wa laana
 
Pia ifahamike kuwa laana ni strictly kwa muhusika tu.

Mungu sio dhalimu , Mtoto hahukumiwi kwa makosa ya mzazi wake wala mzazi hahukumiwi kwa makosa ya mtoto wake.

Kila mtu atabeba furushi lake siku hiyo
 
Vipi laana za wazazi?je,ni kweli mzazi ana haki ya kufanya jambo lolote baya (kama kutowahudumia) juu ya mtoto/watoto wake?

Mtoto/watoto wakipinga vitendo hivyo wanaweza kupewa hiyo laana na wazazi?

Maana Kuna wazazi wanajificha kwenye tobo hilo wanawatendea uovu watoto na kuwatishia laana.
 
Kwa mfano umemdhulumu mtu haki yake na hajui kuwakadhulumiwa, laana utapataje?
Mfano, umemla mke wa mtu na mwenyewe hajui kabisa na wala hajawahi kuhisi.
 
Hapo kwa askari magereza umebugi. Askaria magereza amepewa tu mfungwa akae naye. Sio yeye aliyemhukumu. Kosa lake nini?

Labda useme mahakimu na majaji.
 
Fafanua vizuri laana inafukiziaje vizazi visivyo kuwa na hatia Inamaanisha Babu azingue mimi kilembwe nije kulipia makosa yake so sad sana lakin me naona Kam ukiamua kua mtu mwema tofauti na wazaz au mababu zako hii laana aikupati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…