Mfano?Kila mtu anapofariki hata kama ni kijana mdogo kabisa kauli utakazozisikia ni "mapenzi ya mungu", "mungu amempenda zaidi" na kauli nyingine za aina hiyo, sasa kwa nini mabilionea mungu hawapendi zaidi mapema na wengi huishi muda mrefu hadi kuzeeka tofauti na masikini?
Ni nadra sana kusikia billionea kafa akiwa na umri chini ya miaka 50.
Unaujua utajiri wa Lau Mafuru?Kila mtu anapofariki hata kama ni kijana mdogo kabisa kauli utakazozisikia ni "mapenzi ya mungu", "mungu amempenda zaidi" na kauli nyingine za aina hiyo, sasa kwa nini mabilionea mungu hawapendi zaidi mapema na wengi huishi muda mrefu hadi kuzeeka tofauti na masikini?
Ni nadra sana kusikia billionea kafa akiwa na umri chini ya miaka 50.
kufa maskini au tajiri Tanzania ni uamuzi binafsi tu gentleman,Kila mtu anapofariki hata kama ni kijana mdogo kabisa kauli utakazozisikia ni "mapenzi ya mungu", "mungu amempenda zaidi" na kauli nyingine za aina hiyo, sasa kwa nini mabilionea mungu hawapendi zaidi mapema na wengi huishi muda mrefu hadi kuzeeka tofauti na masikini?
Ni nadra sana kusikia billionea kafa akiwa na umri chini ya miaka 50.
Hakunaga cha wakati ukifika, mara nyingi ni changamoto za magonjwa na kushindwa kumudu matibabu.Kufa hakuna kanuni zaidi ya wakati ukifika(there's always right time for death), huwezi kusema wakati wake ulikuwa bado.
Whitney Houston
Michael Jackson
Nk.
Hapa Umefafanua vizuri mkuuUzi wako na mada yako umeuliza swali la maana kabisa. Majibu yanaweza kuwa mawili:
1. Mabilionea wengi kupata utajiri huo katika umri mkubwa, hapa tunaongelea 35-50 kwahiyo wengi huwa wanajikuta wapo na muda mrefu wa kuishi mpaka miaka 70-90
2. Matajiri wanapata huduma bora za afya, hali bora za maisha, lishe bora, viwango vidogo vya msongo wa mawazo, muda wa mazoezi na afya, wanafanya kazi zisizochosha mwili, wana bima za afya na rasilimali za kifedha za kutosha.
Sasa ukimlinganisha mtu huyu na kapuku lazima kapuku aage ulingo wa mapambano mapema: elimu juu ya afya hana, masaa 12 yupo kazini, hapati muda wa kupumzika vya kutosha na kufanya mazoezi, afya duni, mawazo kuhusu maisha yake na familia. Kukosa fedha kunaongeza zaidi njia za mtu kufa mapema: kukosa bima za afya, mtindo mbovu wa maisha, kulazimika kutumia miundombinu mibovu inayohatarisha maisha: ndiyo maana waganga njaa wengi wanaondoka kwa ajali za mabasi, mafuriko n.k.
Ndio wakati wenyewe huo, mda wangu ukifika kwa namna yoyote iwe ajali, ugonjwa au nikiwa nimelala tu nitakufaHakunaga cha wakati ukifika, mara nyingi ni changamoto za magonjwa na kushindwa kumudu matibabu.
Labda!Ndio wakati wenyewe huo, mda wangu ukifika kwa namna yoyote iwe ajali, ugonjwa au nikiwa nimelala tu nitakufa