Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
KAMA KIJANA MDOGO ANGEKUJA KUNIULIZA KUWA; NI MHUSIKA GÀNI KWÈÑYE BIBLIA AWE ROLE MODEL WAKE. MIMI NINGEMCHAGULIA MHUSIKA HUYU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Leo sitaki kugombana na Mtu. Sitaki kumkera Mtu yeyote. Siko na mood ya kuchokozana Wala kurushiana maneno. Ingawaje kwangu it's funny kufanya uchokozi wa Hapa na pale hasa na Watu anonymous😀. Lakini Leo nitakuwa mtakatifu labda mpaka jioni hivi ñdipo nitarejea kwèñye nafuu yàngu ya kawaidà. Sitaki nikuchoshe.
Àndiko hili nimeliandika Kwa Ajili ya kujifunza, hasa Vijana wadogo wanaoanza Maisha, lakini pia Watu wazima àmbao wanataka kuziba Mapengo ya Makosa ya ujana, na wale Wazee àmbao wanataka wamalize Maisha Yao Kwa Amani na utulivu. Taikon anakutaka usome ukiwa umerelax, ili unielewe, nami nitajitahidi kukuelewesha. Ukitaka ugomvi nimesema Leo sitarudisha shambulizi lolote lile Mpaka jioni Huko.
Taikon Master amesoma vitabu mbalimbali, lakini kutokana na hadhira yàngu inavijua zaidi vitabu viwili àmbavyo NI Quran na Biblia ndîo maana mara nyingi ninapendelea Kutumia reference Kutoka vitabu hivyo kwani wasomaji wàngu wengi watakuwa na uelewa kiasi WA yale ninayoyasema.
Kama ningeambiwa, nimshauri kijana mdogo anayeanza Maisha kuwa, Ni mhusika gàni kwèñye Biblia awe Role model wake, Basi mimi Taikon Master, ndiye Mtibeli, naam Mnyanyembe kutoka kwa Wanyamwezi, ningemshauri achague moja kati ya wahusika wafuatao;
1. IBRAHIM
Tafuta simulizi za Ibrahim popote kadiri uwezavyo, íwe Kwa Waislam, íwe Kwa Wakristo, íwe Kwa Wayahudi.
Huyu jamaa yupo kundi la First Class Role model. Mwanzo nilimkosea heshima kumbe NI Kwa sababu Sikupata tàarifa zake nyingi zaidi na nilikuwa limited Kwa kusoma kitabu Kimoja kiitwacho Biblia. Ukisoma Biblia pekee hutomwona Ibrahim kama Mtu aliyefanya Makubwa Kwa sababu màtukio mawili tuu àmbayo hata Mtu WA kawaida angeweza kuyafanya, au Tuseme Watu wengi waliweza kuyafanya
Kwa nini Ibrahim?
1. Alimpenda na kumwamini Mungu.
Kwèñye Biblia yôte, na Quran yôte hakuna mhusika yeyote anayetoboa Kwa Ibrahim Kwa Kumpenda Mungu wake. Ilifikia hatua, Mungu akamuita Ràfiki yake. Upendo wa Ibrahim na Mungu wake ilifikia Mungu akaona aingie naye Mkataba WA kudumu. Ibrahim ndiye Binadamu pekee aliyeahidiwa na Mungu mambo Makubwa, na yôte aliyetimiza.
Kisa hiki kinatuaminisha kuwa ukiwa mwaminifu Kwa Mungu wako naye atakuwa mwaminifu kwako. Ukimpenda atakupenda, ukimdharau atakudharau.
2. Alikuwa Baba na Mwanaume aliyejali Familia Yake.
Hakuna MHUSIKA yeyote katika Biblia au Quran àmbaye amemshinda Ibrahim Kwa Kumpenda Mkewe. Huyo MHUSIKA hayupo. Alipenda familia yake, Mkewe na Watoto. Kwàke familia ilikuwa Jambo Namba mbili baàda ya Mungu.
Ibrahim Kwa Kuipenda familia yake Kila sehemu alikokuwa akienda kutafuta Maisha na kutafuta Mali alienda na Mkewe. Hakuamini katika kuacha familia Nyuma alafu yeye aende kwèñye utafutaji. Maeneo àmbayo Ibrahim alienda na Mkewe NI kuanzia, Iraq(Uru ya ukaldayo), Syria, Jordan, Lebanon, na Misri, na nchi ya Palestina(Kanaani).
Kisa chake kinatufundisha kuwa ili úwe Imara, mwenye Ñguvu na kizazi chako kidumu Kwa Muda mrefu lazima uunde familia yenye umoja na Upendo. Yàani wewe na Mkeo mpendane na muwe kitu Kimoja. Hii itawafanya MALENGO yenye ya Muda mfupi na Yale ya Miaka Mia au Mia nne ijayo yakamilike. Lakini familia isipokuwa pàmoja hata úwe tajiri au Rais au Mfalme, kizazi chako kitapoteana mapema Sana.
3. Mchapakazi na mwenye jicho la maono, Akili yenye mipango, Moyo weñye Subira.
4. Mpiganaji na Jemadari wa Vita.
Ukiwa kama kijana, kujua kupigana na mafunzo ya vita NI jukumu la msingi na lazima. Mwanaume lazima ujifunze ngumi, Kutumia silaha mbalimbali Kwa kiwango kizuri, na na ujifunze mapigano ya kivita. Hii NI kwaajili ya ulinzi wako binafsi, ulinzi Kwa familia yako, ulinzi Kwa Taífa Lako.
Ibrahim ashawahi kupigana vita kadhaa, Mojawapo akiwa Jemadari na Mkûu WA Kikosi ambacho alienda kumuokoa Lutu aliyechukuliwa Mateka. Katika vita hiyo alipigana na mataifa zaidi ya mawili na akashinda. Huku yeye akiwa na Jeshi lenye Watu wachache Sana.
Kama Mwanaume lazima ujue kupigana. Ndugu yako, Mkeo, Watoto wako, jamii yako au taifa Lako likishambuliwa na maadui úwe na uwezo wa kukabiliana na Adui. Huku Mungu wako akikusaidia..
5. Mfumo wa Urafiki Kwa Ibrahim.
Ràfiki yako Namba Moja NI Mungu. Huyu ndîo awe wakwanza kumshirikisha Jambo lolote lile, ukimfanya wakwanza naye atakufanya wakwanza.
Ràfiki yako wa Pili awe Mkeo, huyu NI msaidizi wako àmbaye mnasaidiana kutimiza kusudi(Kile ambacho Mungu kawapangia)lenu muwapo Duniani. Mpende, muone yeye NI kama wewe. Huyu Mungu atamtumia kukuza kizazi chako, Watoto wako. Yale maagizo yôte na maadili yôte na mafunzo yôte anayokupa Mungu wako lazima Mkeo ayajue ili awafundishe Watoto wako.
Ràfiki yako wa tatu, Watoto; Hawa ndio future yako yôte na viporo àmbavyo hutavitimiza Mungu atatimiza kupitia hawa. Ndoto Ambazo utashindwa kuzitimiza Watoto wako ndîo watatimiza. Baraka na ahadi zote ulizobarikiwa na Mungu pamoja na Watu watabeba hawa Watoto lakini wale watakaotenda Mema.
Làana zote ulizopewa na Watu na Mungu Kulingana na uliyoyafanya watabeba Watoto wako watakaokengeuka. Hawa NI ràfiki zako
Ràfiki WA nne, Wazazi wako, hawa utawatumia kupata ushauri na uzoefu WA Maisha. Lakini sharti wawe Wema. Kama Mzazi atakuwa muovu na akakushauri uovu nawe ukauchukua ushauri wake Kisha ukaufanya Laana Zake Ambazo hazikumpata zinakuwa connected na wéwe.
Ibrahim alimkatalia Baba yake Aitwaye Tera kuabudu masanamu. Hivyo akawa amezima switch ya Làana za mababu. Hakuwa connected.
Mzazi mheshimu Kwa mambo Mema na siô mambo Mabaya.
Mzazi anayekuambia ili ufanikiwe yakupasa umuasi Mungu wako aliyekuumba, sijui uende kwèñye uganga na uchawi, sijui ufanya biashara haramu, sijui utoe Kafara la Kuua MTU. Huyo mzimie Switch awe disconnected.
Ikiwezekana Hama kama alivyohama Ibrahim ili msije mkagombana na akakuingiza kwèñye matatizo.
Ràfiki wa Tano NI Ndugu.
Ndugu zako ni marafiki zako. Lakini hawa hutakiwa kuwa marafiki wa Mbali. Tofauti na Mkeo na Watoto.
Mnakuwa mnakutana na kuwasiliana lakini Kwa mambo yanayowaunganisha. Kusaidiana, kuokoana, kupeana michango n.k.
Ibrahim na Lutu Mtoto wa Kakaake, inatuonyesha kuwa ndugu NI ndugu lakini hawapaswi kuishi karibu karibu ili Kuzuia migogoro isiyo ya lazima. Tunaona Lutu na Ibrahim walianza kugombana Kwa sababu ya ukaribu. Lakini walivyotengana na kukaa mbalimbali undugu uliimarika.
Tuliona pia chanzo cha migogoro Kati ya Yakobo na Esau NI kuishi pàmoja katika Nyumba ya Baba Yao, Isaka
Tunaona pia chanzo cha migogoro Baina ya Kaini na Habili NI kuishi karibukaribu mpaka wakauana.
Kama wangekuwa wanaishi mbalimbali huenda yasingetokea hayo.
Inatufundisha kuwa, umbali Wakati mwingine ndîo ukaribu wènyewe katika kipengele cha undugu.
Kwamba ndugu mkishakuwa wakubwa kiumri, kiuchumi, kihadhi na Aina yoyote ya ukubwa NI Vizuri kutengana na kuishi mbalimbali ili kudumisha ukaribu wenu.
6. Familia Bora NI Mke mmoja Mume Mmoja. Tofauti na hapo ni Balaa kûbwa
Familia mantiki Yake ni kitu Kimoja. Yàani kama umeoa Mke mkazaa Watoto. Ninyi NI familia Moja. Yàani Mke na Mume wameungana na kuzalisha familia Moja. Watoto weñye damu na vinasaba vimoja. Hii NI tofauti na uoe wake wengi, hiyo haiwezi kuitwa Familia Moja Kwa sababu hat Watoto watakaozaliwa hawatakuwa kitu Kimoja Kwa upande wa damu na vinasaba. Wàpo watakaokuwa damu mmoja hawa NI wale waliozaliwa Baba mmoja na Mama mmoja. Alafu kûna wale watakaokuwa Half-blood yàani nusu ndugu(Baba mmoja Mama tofauti) hawa kimsingi sio familia Moja ingawaje.
Tumeona migogoro mikubwa iliyozuka baàda ya Ibrahim kuzaa na Hajiri. Migogoro hii pia tuliiona Kwa Familia ya Yakobo na Wakeze, migogoro hii pia tumeiona kwa Lameki na Wakeze.
Migogoro hii inatutahadharisha, kuwa macho katika uanzishaji wa familia.
Hii inaenda sambamba na kuanzisha Fresh Family kupunguza migogoro isiyo na ulazima. Mathalani kama kijana Huna Mtoto haishauriwi uoe au kuzaa na Mwanamke single mother, labda kama ni Mjane. Hii NI kupunguza migogoro ya kimaslahi kuhusu mahusiano na Familia.
7. Kumpa Mtoto au Watoto Muongozo wa Kuoa au kuolewa.
Ni jukumu la Mzazi kumpa Binti au kijana wake mambo ya msingi ya kuzingatia katika Kuoa na kuolewa. Na lazima mambo hayo ayafuate. Ikiwezekana kumchagulia Mke wa Kuoa au Mume wa kuolewa naye.
Kama mama yake NI mzuri na anavigezo vizuri kijana hawezi kuona shida kuchaguliwa na Baba yake Mke WA Kuoa. Sara alikuwa mzuri WA Sura na tàbia ndîo maana Isaka hakuwa na shaka endapo Baba yake angemchagulia Mke WA Kuoa. Alijua ataletewa Mke type Ipi Kwa kufanya rejea ya mke wa babaake àmbaye yeye anamuita Mama.
Mtoto hawezi kukubali kuchaguliwa Mke na Baba yake Wakati anaona kabis Babaake hakuchagua chaguo Sahihi. Yàani Mamaake Hana tàbia Njema,siô mtiifu, mjeuri na Wala siô Mzuri. Au Binti hawezi kubali achaguliwe Mume na Mama yake ilihali chaguo la mama yake analiona halikuwa chaguo Sahihi. Baba mshenzi, mkatili, mlevi kupindukia, mbinafsi n.k. hata ingekuwa Mimi nisingeamini uchaguzi wa Mzazi Ikiwa yeye mwenyewe alijichagulia kitu ambacho siô kizuri.
Najua kûna wanafiki watasema hakuna Mzazi mbaya lakini Mimi nazungumzia uhalisia, sizungumzii Hisia za Watu wasiotaka kusikia Ukweli. Ni kweli Mzazi NI mzazi lakini hiyo haimaanishi kuwa Hakuna Wazazi Wazuri na wabaya.
8. Kuandaa Urithi
Urithi Namba Moja ni kumpa Mafunzo ya neno la Mungu wa kwèli, maadili, na mafundisho yôte yatakayomsaidia katika Maisha yake katika Nyanja karibia zote.
Urithi wa pili NI Mali.
Unapomwambia Mtoto Afanye Kazi kiashiria kitakachodhihirisha maneno yako NI Mali utakazomuachia.
Huwezi mwambie Mtu Afanye Kazi Wakati haoni matokeo ya Kazi katika maisha yako.
Kazi haitakuwa na umuhimu. Mfundishe Mtoto Kwa vitendo kufanya Kazi. Kipimo cha ufanyaji Kazi NI matokeo ya Kazi yenyewe. Chàkula mnachokula, mavazi, Nyumba, Usafiri, Mali kama mashamba na miradi mingine, kumpeleka shule n.k
Kufanya Kazi alafu Hakuna matokeo NI tafsiri halisi ya mambo MAWILI;
1. Uvivu
2. Làana
Huwezi Ukawa unafanya Kazi Kwa Bidii na Àkili na Imani alafu ukose cha kumritisha Mtoto wako kama hauna Laana.
Bila Shaka utakuwa utumwani Kwa sababu mtumwa hawezi kuacha Urithi Kwa Watoto wake.
Ibrahim aliacha Urithi Kwa Watoto wake,
Nipumzike tuu sasa,
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam