Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Urudi MkuuKuna kitu ngoja narudi baadae au kesho ni ujumbe mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urudi MkuuKuna kitu ngoja narudi baadae au kesho ni ujumbe mzuri
Unajua maana ya andiko hili?
Basi kaa ukijua kwamba Ibrahim ni mtoto mdogo sana kwa YESU KRISTO iwe kihekima, Kiuchumi, kijemadari wa vita, kibiashara na mambo yote unayoyahisi Ibrahim aliyatenda vyema.
Yohana 8:54-58
[54]Yesu akajibu, Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu; anitukuzaye ni Baba yangu, ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu.
[55]Wala ninyi hamkumjua; lakini mimi namjua. Nikisema ya kwamba simjui, nitakuwa mwongo kama ninyi; lakini namjua, na neno lake nalishika.
[56]Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.
[57]Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?
[58]Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
Wote wanajifunza kwake kitu kimoja alichosema ndilo jambo kuu nalo ni upendo
Kijana mwenye familia anahitaji upendo kupenda familia yake ile vizuri,I've vizuri iishi vizuri na hayo kuwezekana anahitaji upendo wa kupenda kazi yake inayompa kipato cha kutunza familia
Kwa mwanasiasa inabidi awe upendo na wanachama wake na wapiga kura wake na awe na upendo wa dhati wa aliyoahidi kuwatimizia kwenye ahadi zake za kisiasa
Kwa mfanyabiashara lazima awe na upendo wa biashara yake asifanye ili mradi sababu ndio inampa kipato na awe na upendo kwa wateja wake vinginevyo watamtoroka
Hapo cha kujifunza kwa Yesu ni UPENDO
Yesu ni Mungu aliyeumba vyote na mtunza vyote wakiwamo wake na waume ndiye mwanzilishi wa ndoa bustani ya Eden aliyeagiza watu waoaneMTU àmbaye Hana familia atawezaje kuwa Role model Kwa weñye familia?
Au Mtu àmbaye hajawahi kupigana vita, atakuwaje role model Kwa wapiganaji?
Yesu ni Mungu aliyeumba vyote na mtunza vyote wakiwamo wake na waume ndiye mwanzilishi wa ndoa bustani ya Eden aliyeagiza watu waoane
Hayo ya mke na mume na familia ayajua sana tu
Wewe uoe yeye ni Role model kwako dume zima kukaa bila mke una matatizo gani usioe kama yanatibika
Basi achana na Biblia tafuta dume shoga lolote hilo ndilo role model lakoHata Ng'ombe NI Mungu pia Kwa Mujibu wa Imani za Watu ila kiuhalisia siô.
Kumfanya kiumbe kilichozaliwa kuwa Mungu Kwa Imani na Mapenzi ya Mtu au Watu au yako haikifanyi kiumbe hicho kuwa Mungu
Baas wewe umemaliza,Taikon akiluka na hapa sijuiiiUnajua maana ya andiko hili?
Basi kaa ukijua kwamba Ibrahim ni mtoto mdogo sana kwa YESU KRISTO iwe kihekima, Kiuchumi, kijemadari wa vita, kibiashara na mambo yote unayoyahisi Ibrahim aliyatenda vyema.
Yohana 8:54-58
[54]Yesu akajibu, Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu; anitukuzaye ni Baba yangu, ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu.
[55]Wala ninyi hamkumjua; lakini mimi namjua. Nikisema ya kwamba simjui, nitakuwa mwongo kama ninyi; lakini namjua, na neno lake nalishika.
[56]Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.
[57]Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?
[58]Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
Mfalme suleiman huyu ni mwambaMimi Suleiman wanawake 300 na masuria 700
Nabaki kupeleka moto asee jamaa alikufa utamu wake umeshaisha kabisaa
Hakika ndo role model wangu huyu sikuMfalme suleiman huyu ni mwamba
Ishu ni kwamba Ibrahim hakujitetea , alikaa kimya kuonyesha kuwa alidanganya.Hakusema ukweli Mwingine lakini alisema ukweli mmoja hivyo inabaki kuwa hakusema uongo.
Alafu wale waliuliza swali ambalo liko wazi.
Mfano umuulize Samia Suluhu wewe NI Rais wa Tanzania, alafu yeye akujibu Hapana Mimi NI Mamaake Abdul
Basi achana na Biblia tafuta dume shoga lolote hilo ndilo role model lako
Kwa nini Aiwe mfalme Suleiman
Ishu ni kwamba Ibrahim hakujitetea , alikaa kimya kuonyesha kuwa alidanganya.
Baba yake Yesu unamjua?Mimi dogo akiniomba nimchagulie role model kwenye biblia, bila kusita sita nitamchagulia YESU KRISTO huyo ni kubwa la kila aina ya vifungo na laana. Yesu anatufundisha tuwe watu tulio nyooka kama baba yake alivyo. Kwa Yesu hakuna ujanja ujanja. Kwa Yesu mafanikio unayaona duniani huku ukiwa na tumaini la kuufikia ufalme wa Mungu mbinguni.
Wewe unamjua?Baba yake Yesu unamjua?