Kama kijana mdogo angekuja kuniuliza kuwa ni mhusika gani kwenye Biblia awe role model wake, mimi ningemchagulia mhusika huyu

Kama kijana mdogo angekuja kuniuliza kuwa ni mhusika gani kwenye Biblia awe role model wake, mimi ningemchagulia mhusika huyu

Yesu ni Mungu aliyeumba vyote na mtunza vyote wakiwamo wake na waume ndiye mwanzilishi wa ndoa bustani ya Eden aliyeagiza watu waoane

Hayo ya mke na mume na familia ayajua sana tu

Wewe uoe yeye ni Role model kwako dume zima kukaa bila mke una matatizo gani usioe kama yanatibika
Hivi Mungu kweli unaweza kumuita role model wako. Jitafakari!
 
Yesu yupo overeted sana hatoboi Kwak manabii kibao
 
Cv ya Yesu ni kubwa maana ni Yote katika Yote. Alikua binadamu na alikua Mungu. Sio sawa na Ibrahim, Noah, Mussa, Eliya, Daudi, Daniel ambao walikua binadamu wa kawaida. Hawa hawakuwa na ufunguo wowote ndani yao.
 
Yesu anatukuzwa na Watu na msingi wa kutukuzwa kwàke ni miujiza, Kisha na kufa na kufufuka, Kisha kuzaliwa pasipo Baba. Basi.

Lakini kwèñye Life Kama Life àmbalo linajumuisha mambo mengi Yesu hatoboi Kwa mitume na Manabii wengi.

Kwèñye Field ya Unabii na utume yupo middle weight na hajafika level za Heavyweight
Kuna Uwezekano hujamsoma Yesu
 
Yesu hakuwahi kuwa na Familia
Hakuwahi kuendesha mradi wowote wa kuzalisha Mali
Yesu hawezi Mafunzo yoyote ya Watu weñye umri kuanzia Miaka 45

Yàani Watu wazima na Wazee Hawana chochote cha kujifunza Kwa Yesu.

Ibrahim alifanikiwa maeneo mengi yàani Kwa asilimia 90%.
Kiimani ✔️
Kiuchumi✔️
Kifamilia ✔️
Kiuongozi na ûtawala ✔️

Ibrahim alishashinda vita dhidi ya Mfalme Nimrodi akatoboa, alishwahi kuwekwa kwèñye Tanuru la Moto akatoboa.

Yesu hayupo kundi la ma- Legend Kihistoria
Yesu alikuwa fundi seremala mpaka alipofikisha umri wa miaka 30 ndio alianza huduma yake kwa miaka mitatu tu.

Lipo la kujifunza kwa Yesu hasa wachungaji wawe na shughuri za kuwaingizia pesa wasitegemee sadaka.
 
Mimi Dogolasi na Dogolai ntawaambia wajifunze kwa mtu mzima Ayubu maana Ayubu aliishi past, present & future na kufungua na kufunua kila kilichomo humo haya mateknoloji ukisoma Ayubu unakuta ukirudi past kipindi cha dainasoo ukisoma Ayubu yametajwa mule na kipindi chake mengi yameelezwa mule, Ila kuna watu wanapinga kitu kimoja tu kuhusu Habari ya Ayubu ni kwamba MUNGU hawezi kupiga story na Shetani maana tunaambiwa Shetani mbaya alimuudhi MUNGU sasa iweje MUNGU huyo huyo aliemtimua Shetani apige nae story Shetani amjaribu Ayubu?
 
Mchungaji lazima ategemee Sadaka Kwa sababu ndîo Kazi yake.

Yesu alikuwa saidia fundi seremala Kwa Baba yake. Hakuwahi kuanzisha kijiwe chake
 
Mimi Dogolasi na Dogolai ntawaambia wajifunze kwa mtu mzima Ayubu maana Ayubu aliishi past, present & future na kufungua na kufunua kila kilichomo humo haya mateknoloji ukisoma Ayubu unakuta ukirudi past kipindi cha dainasoo ukisoma Ayubu yametajwa mule na kipindi chake mengi yameelezwa mule, Ila kuna watu wanapinga kitu kimoja tu kuhusu Habari ya Ayubu ni kwamba MUNGU hawezi kupiga story na Shetani maana tunaambiwa Shetani mbaya alimuudhi MUNGU sasa iweje MUNGU huyo huyo aliemtimua Shetani apige nae story Shetani amjaribu Ayubu?
Kwani Yesu alipojaribiwa na shetani jangwani alitumwa na nani?
 
Back
Top Bottom