Kama kijana mdogo angekuja kuniuliza kuwa ni mhusika gani kwenye Biblia awe role model wake, mimi ningemchagulia mhusika huyu


Àndiko hilo nalielewa. Lakini halibadilishi ukweli kuwa CV ya Ibrahim na huyo Yesu NI Mbingu na Ardhi.

Maelezo NI mengi kuliko vitendo, Wakati Ibrahim vitendo NI vingi kuliko maelezo.

Labda kijana anayetaka kuwa Mchungaji Hapo Sawa anaweza kumchagua Yesu kama Role model wake
Lakini kijana wa sekta zingine thubutu!
Maisha yatamburuza mapema Sana
Kwa sababu hata falsafa za Yesu katika Maisha halisi siô relevant
 

MTU àmbaye Hana familia atawezaje kuwa Role model Kwa weñye familia?

Au Mtu àmbaye hajawahi kupigana vita, atakuwaje role model Kwa wapiganaji?
 
MTU àmbaye Hana familia atawezaje kuwa Role model Kwa weñye familia?

Au Mtu àmbaye hajawahi kupigana vita, atakuwaje role model Kwa wapiganaji?
Yesu ni Mungu aliyeumba vyote na mtunza vyote wakiwamo wake na waume ndiye mwanzilishi wa ndoa bustani ya Eden aliyeagiza watu waoane

Hayo ya mke na mume na familia ayajua sana tu

Wewe uoe yeye ni Role model kwako dume zima kukaa bila mke una matatizo gani usioe kama yanatibika
 

Hata Ng'ombe NI Mungu pia Kwa Mujibu wa Imani za Watu ila kiuhalisia siô.

Kumfanya kiumbe kilichozaliwa kuwa Mungu Kwa Imani na Mapenzi ya Mtu au Watu au yako haikifanyi kiumbe hicho kuwa Mungu
 
Baas wewe umemaliza,Taikon akiluka na hapa sijuiii
 
Hakusema ukweli Mwingine lakini alisema ukweli mmoja hivyo inabaki kuwa hakusema uongo.

Alafu wale waliuliza swali ambalo liko wazi.
Mfano umuulize Samia Suluhu wewe NI Rais wa Tanzania, alafu yeye akujibu Hapana Mimi NI Mamaake Abdul
Ishu ni kwamba Ibrahim hakujitetea , alikaa kimya kuonyesha kuwa alidanganya.
 
Kila kitu ni batili,ni fikra tu za mwanadamu zinakuwa zinamtuma kuwa ni wa maana.
Imagine 100 yrs to come,kila kitu kitakuwa badaye tunachokifanya.
 
Baba yake Yesu unamjua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…