Kama kijana mdogo angekuja kuniuliza kuwa ni mhusika gani kwenye Biblia awe role model wake, mimi ningemchagulia mhusika huyu

Hivi Mungu kweli unaweza kumuita role model wako. Jitafakari!
 
Yesu yupo overeted sana hatoboi Kwak manabii kibao
 
Cv ya Yesu ni kubwa maana ni Yote katika Yote. Alikua binadamu na alikua Mungu. Sio sawa na Ibrahim, Noah, Mussa, Eliya, Daudi, Daniel ambao walikua binadamu wa kawaida. Hawa hawakuwa na ufunguo wowote ndani yao.
 
Kuna Uwezekano hujamsoma Yesu
 
Yesu alikuwa fundi seremala mpaka alipofikisha umri wa miaka 30 ndio alianza huduma yake kwa miaka mitatu tu.

Lipo la kujifunza kwa Yesu hasa wachungaji wawe na shughuri za kuwaingizia pesa wasitegemee sadaka.
 
Mimi Dogolasi na Dogolai ntawaambia wajifunze kwa mtu mzima Ayubu maana Ayubu aliishi past, present & future na kufungua na kufunua kila kilichomo humo haya mateknoloji ukisoma Ayubu unakuta ukirudi past kipindi cha dainasoo ukisoma Ayubu yametajwa mule na kipindi chake mengi yameelezwa mule, Ila kuna watu wanapinga kitu kimoja tu kuhusu Habari ya Ayubu ni kwamba MUNGU hawezi kupiga story na Shetani maana tunaambiwa Shetani mbaya alimuudhi MUNGU sasa iweje MUNGU huyo huyo aliemtimua Shetani apige nae story Shetani amjaribu Ayubu?
 
Yesu alikuwa fundi seremala mpaka alipofikisha umri wa miaka 30 ndio alianza huduma yake kwa miaka mitatu tu.

Lipo la kujifunza kwa Yesu hasa wachungaji wawe na shughuri za kuwaingizia pesa wasitegemee sadaka.

Mchungaji lazima ategemee Sadaka Kwa sababu ndîo Kazi yake.

Yesu alikuwa saidia fundi seremala Kwa Baba yake. Hakuwahi kuanzisha kijiwe chake
 
Kwani Yesu alipojaribiwa na shetani jangwani alitumwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…