Kama kijana mdogo angekuja kuniuliza kuwa ni mhusika gani kwenye Biblia awe role model wake, mimi ningemchagulia mhusika huyu

Cv ya Yesu ni kubwa maana ni Yote katika Yote. Alikua binadamu na alikua Mungu. Sio sawa na Ibrahim, Noah, Mussa, Eliya, Daudi, Daniel ambao walikua binadamu wa kawaida. Hawa hawakuwa na ufunguo wowote ndani yao.

MTU WA kawaida anachomwa Moto haungui?
 
Kwani Yesu alipojaribiwa na shetani jangwani alitumwa na nani?
Alipojaribiwa alietumwa nani na je umekisoma kitabu cha Ayubu?

Story hizo ni mbili tofauti kwenye Agano Jipya Yesu anapokutana na Shetani (Yesu ni MUNGU) sio km kwenye Agano la kale Shetani anapokutana na MUNGU na MUNGU anamuuliza Shetani "Je! Umemuona mtumishi wangu Ayubu?", kwa hio usichanganye madesa na kwa taarifa yako Shetani alikua anamuwinda Yesu amuue tangu akiwa Mtoto lakini haikua hivyo kwa hio katika mahojiano ya Yesu na Shetani means Shetani hakuamini km yule aliekua anamuwinda siku zote ndio huyu kwa hio akaanza kumjaribu "....km Wewe kweli ni mwana wa MUNGU geuza Jiwe hili kua mkate"
 
Nimesoma habari Zake nyingi hata zilizo nje ya Biblia
Ungesoma na kuelewa habari za Yesu usingeandika haya. Wewe unaona Wakristo zaidi ya 2 billion kumuamini ni wajinga. Tena amekuwa na wafuasi karne na karne. Huyo Ibrahim hata mfuasi mmoja hana. Kwa kukusaidia tu soma Yohana 8:58
 
Eva mama ya wote
Sara mke wa Ibrahim
Rebecca mke wa Isaka
Raheli / Lea wake za Yakobo
_
Mariam mama wa Yesu
Magdalene ??

Ngoja nichague hapo juu
 
Chino WanaMan, ni mpambanaji sana na ana nidham atafika mbali kwani ni mvumilivu pia.
 
Eva mama ya wote
Sara mke wa Ibrahim
Rebecca mke wa Isaka
Raheli / Lea wake za Yakobo
_
Mariam mama wa Yesu
Magdalene ??

Ngoja nichague hapo juu
Magdalena alikuwa kahaba. Baada ya, Kuokolewa na Yesu kwenye ukahaba, record zake hazikuandikwa kwamba aliolewa au la. Na jina lake lilitajwa Kwasababu mbili:
1) Akiponywa na mapepo ya ukahaba
2) Alikuwa binadamu wa kwanza kuamini Yesu atafufuka ndo maana siku ya tatu aliwahi makaburini kushuhudia hilo tukio.
 
Amen
 
Mimi role model wangu ni Kaini. Najifunza mambo mengi Sana kwake.

Msela alitengwa na kila mtu Hadi Mungu lakini akaenda njia yake na kule alikoenda akatengeneza kizazi chake Tena kilichokuja kufanya maajabu.

Kama wewe ni mpambanaji kasome habari zake Kisha jifunze
 
Ibrahim hakudanganya kuwa Sara ni dada yake, ni kweli ni dada yake baba mmoja mama tofauti, soma mwanzo 20:12
 
Kwa jinsi maisha yalivyo magumu Mimi ningemchagulia Yuda iskariote
 
JITAHIDI KUTOFAUTISHA BIBLIA NA QURAN NI MBINGU NA ARDHI KATIKA BIBLIA YESU ni MUNGU ISAYA 9:6, YOHANA 1:1 katika Quran Wao Wana nabii ISA ambaye wanamfananisha NA MUNGU ila tatizo la nabii isa HAWEZI KUFUFUA MTU, Wala jina lake halina nguvu ya kufanya chochote lakini UKISIKIA KWA JINA LA YESU ni habari nyingine
 

Yesu hawezi kuwa MUNGU
Acha kupotosha maandiko

Ukiambiwa utaje sifa kuu Tatu za Mungu unaweza kuzitaja?
 
Role model ni wengi na wote ni history ndo imebaki. LEGACY ✨ sasa mimi namuona Jonathan mtoto wa Mfalme sauli alikuwa sio snitch kabsa ilifikia hadi kukasilishwa na mambo ya baba yake juu ya Daudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…