Research Consultant
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 453
- 772
Hiyo ni MWANZA, lipa hela ya nzengo na michango mingineMimi nina miaka minne ugenini sinaga mazoea hata na jirani. Na huku nilipo huwa nasikia kuna kitu wanaita ZENGO, ila sijawahi kushiriki.
Inaniwia vigumu maana mimi siwezi hayo maisha ya kujuana sana.