Kama kijana mtafutaji ni muhimu kujiunga na jumuiya mahali unapoishi

Mimi nina miaka minne ugenini sinaga mazoea hata na jirani. Na huku nilipo huwa nasikia kuna kitu wanaita ZENGO, ila sijawahi kushiriki.

Inaniwia vigumu maana mimi siwezi hayo maisha ya kujuana sana.
Hiyo ni MWANZA, lipa hela ya nzengo na michango mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…