Mothers and daughters share the same dick, acha nirudi kileji mkuu huu mji siuweziKweli kabisa bwana mdogo kijijini unafukuzia demu mwaka na siku ukimpata kijiji kizima watajua na wataheshimu mapenzi yenu,, njoo mjini sasa dah,,
Ni kweli kabisa maisha ya kijijini hayana hekaheka ni mwendo wa kuheshimiana na kujalianaKweli kabsa, mjini vurugu za maisha ni nyingi tofaut na kijijini, mjin thaman ya mtu ni ndogo c kama kijijin, mjin wenye maadil ni wachache! Mjin swala la kunyongelewa mbali na wahun ukijichanganya ni kugusa tu! Niny mliozoea hizo hekaheka endeleen kukaa huko, cc wengne pamoja na mtoa mada tutakaa kwenye miji ya kawaida tu (sehem zenye center) au kijijin kabsa!