Wengine wanatoka wengine wanaingia ,safi
Mkuu lazima twende kukipigania chama wengine wanaogopa na kuweka tamaa mbele wanaenda sehemu ambazo hawakutaka
Ila sisi vijana ambao tunajua nini tunataka lazima tukipambanie chamba kwa maendeleo ya watanzania wote na vijana ambao ni taifa la kesho
Ahsante sana
Hongera kwa kuamua kumkabidhi akili zako Mbowe na kuanza kuitwa nyumbu.
Mkuu hakuna anaempa meingine akili mimi sio chawa wa mtu yeyote aliekosea kakosea aliepatia kapatia hii sio kwa chadema tu hata chama chochote kama mtu kafanya vyema anastahili pongezi
Kiuhalisia mpaka sasa mbowe kapitia vingi kwenye kukipigania chama japo wengi kama wanamuona dikteta kwamba kakalia kiti kwa muda mrefu, swali ni kuwa kuna mwenyeuwezo wa kukipigania chama kama yeye alivyofanya?
Karibu Kizimkazi tarehe 18-25 Agosti, Kusini Unguja. Kizimkazi Imeitika, Nawe itika na Wana-Kizimkazi! Jisikie Nyumbani, Kizimkazi Festival ni zaidi ya Tamasha!
Ahsante mkuu shida nipo bara
Namimi pia naungana nawewe kuikumbatia chadema
Hakika mkuu hapa nawaza napataje kadi maana kwenye mambo haya ni sifuri bin zero
Mama Shikamoo pole na majukumu! Napenda kukutaarifu kwamba 2025 hupati kura yangu
Hakika mkuu kwa wakate wake na kwa cheo alicho nacho lazima tumuheshimu kafanya mengi mazuri na penye ubinadamu basi tunavumiliana
Wewe
Andazi watakunywa na chai usahau familia embu pambania familia yako ili kesho waachie kilicho bora
Mkuu hakuna kilichobora kama maendeleo mimi sina mke wala mtoto bado young kiasi huwezi fikiri
Pia kama kufa sote tutakufa tu ila kuacha alama ya damu kwa ajili ya wengi huo ndio ushujaa
Maana kwa sisi wakristo Yesu angeogopa na kuambatana na mama yake leo hii kusingekuwa na ondoleo la dhambi kwa damu yake
So moyo wa ujasiri hutoka kwa Mungu
Mkuu karibu sana kwenye chama cha Wenye haki.
nakujua vizuri humu ndani wa ulikuwa Damu damu na Ccm.
Hata kama umechelewa lakini mbele za Mungu utapata haki sawa na sisi wazamani.
hongera sana kwa wokovu.
Hakika Mkuu mimi nilikuwa Ccm mda sana na kila kitu chao kizuri nilisifia na kubadili chama si kwamba et simpendi mtu ila since beginning mimi na moyo wa kuona mabadiliko
Ingekuwa amri yangu moja ya jambo muhimu kwenye hii nchi ni kuzuia vyama vya siasa angalau vibaki vi 3
Hongera kijana, kupitia wewe Polisi hawa hawa watapamdishwa mshahara
Mkuu polisi lazima aangaliwe leo umemkamata mtu kosa la kulipa 30k unaona bora akupe wewe 10k au 2k ili ukale na familia yako kuliko alipe akale waziri ambaye amekuzidi mshahara mara kadhaa
Sasa andazi ukikutana na chai nzito tayari kwisha habari yako.
Mkuu chai ndio nini hapo mzee
Moja ya jambo jema kwenye hii nchi ni wote kushika ukweli kwamba ni mazuzu
Mfano mimi au wewe leo ukipewa uwaziri utakuwa na moyo wa kizalendo au utataka na wewe upige kama flani alivyopiga
mabadiliko ya kwanza ni sisi wananchi kisha serikali ndio ifuate
Wewe K hata usipopiga kura wewe na kijiji chenu chote jua Rais wenu ni Samia hadi 2030.
Mkuu unakidhalilisha chama na huyo unaempigia debe hapa kama wewe unaakili fupi mpaka ya kuandika matusi kama hayo ndo utaweza kweli kulipa kodi