Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kaka mbona unakuwa Mkali?Wewe K hata usipopiga kura wewe na kijiji chenu chote jua Rais wenu ni Samia hadi 2030.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka mbona unakuwa Mkali?Wewe K hata usipopiga kura wewe na kijiji chenu chote jua Rais wenu ni Samia hadi 2030.
Nimuda sasa umepita na niwakati wa kuamua na kuifata ndoto yangu ya kuikomboa tanzania kutoka kwenye matatizo zungu nzima
Sasa nimeamua rasmi nitatafuta kadi ya CHADEMA na kuanza kupaza sauti si kwa matusi ila kwa kuonesha kwamba we need development
Hii ji baada ya kukwazika kwa vijana wengi wa chama cha kijani kutoa kauli tata hata kwa mambo ambayo yanahitaji common sense
2025 CHADEMA HAKUNA KUKATA TAMAAA

Hongera kwa kuliona hilo na wengine wengi karibuni.Nimuda sasa umepita na niwakati wa kuamua na kuifata ndoto yangu ya kuikomboa tanzania kutoka kwenye matatizo zungu nzima
Sasa nimeamua rasmi nitatafuta kadi ya CHADEMA na kuanza kupaza sauti si kwa matusi ila kwa kuonesha kwamba we need development
Hii ji baada ya kukwazika kwa vijana wengi wa chama cha kijani kutoa kauli tata hata kwa mambo ambayo yanahitaji common sense
2025 CHADEMA HAKUNA KUKATA TAMAAA
Nyuki akumbatiwiNimuda sasa umepita na niwakati wa kuamua na kuifata ndoto yangu ya kuikomboa tanzania kutoka kwenye matatizo zungu nzima