Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Wana JF, hebu tuweke mawazo mezani. Fikiria upo chumba kimoja na Rais Samia Suluhu Hassan na Dk. Hussein Mwinyi kwa dakika 3.
Kama kijana chini ya miaka 35, unapata nafasi ya kushauri jambo moja tu, na wanakuhakikishia litatekelezwa kwa asilimia 100
Ukipewa hii nafasi, ungewashauri nini? Tupe mawazo yako!