Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Siku hizi hata utapeli ni werevuMwenye nguvu ndio mwelevu zaidi
😂😂😂Ujiandae kuona kipigo Cha mbwa mwituNaruhusiwa kupiga mtu kibao?
Nitawashauri wajiuzuru with immediate effect.Wana JF, hebu tuweke mawazo mezani. Fikiria upo chumba kimoja na Rais Samia Suluhu Hassan na Dk. Hussein Mwinyi kwa dakika 3.
Kama kijana chini ya miaka 35, unapata nafasi ya kushauri jambo moja tu, na wanakuhakikishia litatekelezwa kwa asilimia 100
Ukipewa hii nafasi, ungewashauri nini? Tupe mawazo yako!
Uko unajishuhulisha na kilimo cha namna gani nduguMkuu nimewekeza kwenye hii sekta
Large scale farming huku baraUko unajishuhulisha na kilimo cha namna gani ndugu
Dah 15 years parefu mno bossWajiuzuru, hizo nafasi linahitaji watu zaidi yao.
Wanachoweza kutusaidia kabla ya kujiuzuru NI kuandaa michakato itakayosaidia kupata viongozi wazuri kwa manufaa ya Tanzania.