Kama kijana ukipata nafasi ya kukutana na Rais Samia na Rais Mwinyi ndani ya dakika 3 utatoa ushauri gani?

Naruhusiwa kupiga mtu kibao?
 
Nitawashauri wajiuzuru with immediate effect.
 
Wajiuzuru, hizo nafasi linahitaji watu zaidi yao.
Wanachoweza kutusaidia kabla ya kujiuzuru NI kuandaa michakato itakayosaidia kupata viongozi wazuri kwa manufaa ya Tanzania.
 
Wajiuzuru, hizo nafasi linahitaji watu zaidi yao.
Wanachoweza kutusaidia kabla ya kujiuzuru NI kuandaa michakato itakayosaidia kupata viongozi wazuri kwa manufaa ya Tanzania.
Dah 15 years parefu mno boss
 
Tujikite katika kilimo cha kimkakati kulingana na kanda , nguvu ielekezwe kwenye kilimo cha umwagiliaji na ruzuku ya mbolea pia mbegu bora ili tuzalishe zaidi katika eneo dogo kwa mwaka mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…