Kama kila anayefeli anaambiwa akalime, basi kilimo kiwe somo la lazima kuanzia chekechea

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Kama kila anayefeli malengo anaambiwa akalime kwa nini kilimo kisifundishwe kuanzia chekechea?

Kifundishwe pote hadi IST ili wao nao wakifeli maisha wasije kusumbua motaani angalau wawe na option ya kulima maana imeonekana ni kimbilio na mkombozi na option kwa wote wanaofeli malengo ya maisha.

Ni hayo tu.
 
Anayekwambia unakuta ni mtu kama hamis kigwa ambaye alikuwa na mtaji akalima via whatsapp aliyemweka akapiga tu ela. Kilimo pia kinahitaji uwekezaji na hiki cha kutegemea mvua kuna muda kinakulet down.
Mwaka huu nimepanda zao fulani ila kwa sababu ya kutegemea mvua liko hoiii.
 
Mwaka huu mvua shida kote.
Kuliko kukurupuliwa ukubwani serikali ianze kutukurupua utotoni kuwa huko ukubwani kuna kitu kinaitwa Kilimo kinaweza kukusaidia piA.
 
Hili wazo ni zuri na wahusika walifanyie kazi. Binafsi baada ya kujiingiza kwenye kilimo cha bustani nilihangaika mpka nikaamua kurudi shule kwa kupitia mjarida na tovuti mbalimbali.
Nina Imani wahusika watalifanyia kazi.
 
Kama kila anayefeli malengo anaambiwa akalime kwa nini kilimo kisifundishwe kuanzia chekechea?

Kifundishwe pote hadi IST ili wao nao wakifeli maisha wasije kusumbua motaani angalau wawe na option ya kulima maana imeonekana ni kimbilio na mkombozi na option kwa wote wanaofeli malengo ya maisha.

Ni hayo tu.
Na ukifeli malengo huko kwenye kilimo unaenda wapi au kwenye kilimo hakuna kufeli?
 
Back
Top Bottom