matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Anayekwambia unakuta ni mtu kama hamis kigwa ambaye alikuwa na mtaji akalima via whatsapp aliyemweka akapiga tu ela. Kilimo pia kinahitaji uwekezaji na hiki cha kutegemea mvua kuna muda kinakulet down.Kama kila anayefeli malengo anaambiwa akalime kwa nini kilimo kisifundishwe kuanzia chekechea?
Kifundishwe pote hadi IST ili wao nao wakifeli maisha wasije kusumbua motaani angalau wawe na option ya kulima maana imeonekana ni kimbilio na mkombozi na option kwa wote wanaofeli malengo ya maisha.
Ni hayo tu.
Mwaka huu mvua shida kote.Anayekwambia unakuta ni mtu kama hamis kigwa ambaye alikuwa na mtaji akalima via whatsapp aliyemweka akapiga tu ela. Kilimo pia kinahitaji uwekezaji na hiki cha kutegemea mvua kuna muda kinakulet down.
Mwaka huu nimepanda zao fulani ila kwa sababu ya kutegemea mvua liko hoiii.
Na ukifeli malengo huko kwenye kilimo unaenda wapi au kwenye kilimo hakuna kufeli?Kama kila anayefeli malengo anaambiwa akalime kwa nini kilimo kisifundishwe kuanzia chekechea?
Kifundishwe pote hadi IST ili wao nao wakifeli maisha wasije kusumbua motaani angalau wawe na option ya kulima maana imeonekana ni kimbilio na mkombozi na option kwa wote wanaofeli malengo ya maisha.
Ni hayo tu.
Kilimo inakiwa kama malengo default ya kila mwananchiNa ukifeli malengo huko kwenye kilimo unaenda wapi au kwenye kilimo hakuna kufeli?