SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Lakini Mungu kaua watu wengi kwenye Bible na pia kaamrisha watu wabakeKuua
Kizini na dhambi zote.
Watenda dhambi kaua. Sodoma na gomoro. Na wale walowazuia wana wa izraeli kuingia nchi ya ahadi. Pia wale wote walokiwa vikwazo na chukizo kwa BwanaLakini Mungu kaua watu wengi kwenye Bible na pia kaamrisha watu wabake
So Mungu ni mbaguzi...ni kweli kwamba waisrael walichaguliwa na Mungu katika dunia nzima na sayari zote na nyota billions au waisrael wenyewe wametengeneza huyu Mungu Kama ilivyo kabila au jamii yoyote ile ya zamani kuanzisha miungu na dini zao?Watenda dhambi kaua. Sodoma na gomoro. Na wale walowazuia wana wa izraeli kuingia nchi ya ahadi. Pia wale wote walokiwa vikwazo na chukizo kwa Bwana
Kwa hiyo kuna vitu sio mpango wa Mungu ? Wakati yeye kaumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.Si kila jambo n mpango wa Mungu.
Mungu hakupangii kutenda dhambi.
So kichwa chako cha uzi ni vyema ungefanyia marekebisho.
Mungu hujua yote utakayoyapitia na kuyafanya na ambayo atakutendea
Kwanii aumbe ubongo wenye hiyo kasoro yakufanya mambo ambayo yeye hajapanga au alikua hajui mwisho wake utakuaje?So yapo mambo anayo fanya biandamu ambayo Mungu hajayapanga? Yataje mkuu nipate kujifunza
Alafu ukishakula bata?Kula bata
Kwanii aumbe ubongo wenye hiyo kasoro yakufanya mambo ambayo yeye hajapanga au alikua hajui mwisho wake utakuaj3?
Roho Mtakatifu atakufunulia mantiki na hoja uliyoiweka hapaWaislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu.
Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi?
Kwa sababu kama kila jambo analo lifanya mwanadamu ni mpango wa Mungu maana yake ni kwamba hata hiyo dhambi uliyo ifanya ni mpango wa Mungu, kwamba Mungu ndio ameamua wewe ufanye hiyo dhambi.. unapo tubu dhambi hiyo maana yake ni kwamba unakosoa mipango ya Mungu kwenye maisha y'ako.
Kwa hiyo akujua mwanadamu atakuja kukoseshwa na shetani alie muumba yeye ,kma alijua kwanini asingeepuka huo mtego toka mwanzo , hauoni kuwa aliumba ili wengne waende motoni makusudi? na kma Mungu akuumba dhambi kwa nini tuseme aliumba kila kitu ?Bro Mungu sio dikteta. Yeye anapenda viumbe vyake vyote viishi kwa uhuru na furaha na amani mbele yake. Alimuumba mwanadamu akiwa mkamilifu, akampa uhuru wa kuishi atakavyo. Alimpa sheria kamilifu, ya uhuru na ya haki ili katika hiyo, aishi na waendeleze urafiki na Ubaba kati yao. Pamoja na kumpa Neno/sheria yake na mwanadamu akiishi katika mazingira mazuri na ya kumpendeza. Mwanadamu alimuasi Mungu na dhambi ikaingia hapo na hivyo kuleta mabaya yote juu ya mwanadamu.
Kwahiyo bro, Mungu alipomuumba mwanadamu alimuumba katika ukamilifu wote na anasema kila siku anamuwazia mwanadamu yaliyo mema. Yeye mwenye haki amemuwekea mwanadamu mazingira mazuri ya maisha yake. Amemuumba katika utakatifu hata sasa japo mwanadamu mwenyewe ndiye anajiharibia maisha yake.
Sidhani kma umejibu hoja ya mtoa mada , apo naona umewarukia ndugu zako katika imani waliokutangulia ambao umeamrishwa kwenye kitabu chako ujifunze pia kutoka kwao.Kipi hapo ambacho nimekisema hakipo kama nilivyokieleza?
Huwa sikisii.
Au wewe huamini kuwa Yesu alifanywa laana? Nikupe mistari ya biblia?
Wacha porojo wewe.Sidhani kma umejibu hoja ya mtoa mada , apo naona umewarukia ndugu zako katika imani waliokutangulia ambao umeamrishwa kwenye kitabu chako ujifunze pia kutoka kwao.
Basi tuseme yeye ndo alokupangia kuzini?Kwa hiyo kuna vitu sio mpango wa Mungu ? Wakati yeye kaumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
Kwa hiyo akujua mwanadamu atakuja kukoseshwa na shetani alie muumba yeye ,kma alijua kwanini asingeepuka huo mtego toka mwanzo , hauoni kuwa aliumba ili wengne waende motoni makusudi? na kma Mungu akuumba dhambi kwa nini tuseme aliumba kila kitu ?
Unapozini na kulewa ni Mungu kapanga uzini na ulewe!?..uelewa wako finyu,panga hoja yako vizuriWaislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu.
Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi?
Kwa sababu kama kila jambo analo lifanya mwanadamu ni mpango wa Mungu maana yake ni kwamba hata hiyo dhambi uliyo ifanya ni mpango wa Mungu, kwamba Mungu ndio ameamua wewe ufanye hiyo dhambi.. unapo tubu dhambi hiyo maana yake ni kwamba unakosoa mipango ya Mungu kwenye maisha y'ako.
Huyu anajifanyisha na kututega tu. Huyu ni mmojawapo wa watu wenye uelewa mkubwa sana wa mambo ya kiroho huku JF.Unapozini na kulewa ni Mungu kapanga uzini na ulewe!?..uelewa wako finyu,panga hoja yako vizuri
Hana uelewa mkubwa,Ila anadhani ana uelewa mkubwaHuyu anajifanyisha na kututega tu. Huyu ni mmojawapo wa watu wenye uelewa mkubwa sana wa mambo ya kiroho huku JF.
Si ndio mipango yenyewe hiyo MkuuWaislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu.
Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi?
Kwa sababu kama kila jambo analo lifanya mwanadamu ni mpango wa Mungu maana yake ni kwamba hata hiyo dhambi uliyo ifanya ni mpango wa Mungu, kwamba Mungu ndio ameamua wewe ufanye hiyo dhambi.. unapo tubu dhambi hiyo maana yake ni kwamba unakosoa mipango ya Mungu kwenye maisha y'ako.
Wacha wachukue tu , wajinga ndio waliwao.Wacha porojo wewe.
Vipi, bandarini huko TPA washaleta matokea rasmi? Ngapi ngapi?
Mungu alie zungumzwa huko ni kiumbe chenye igo sana , kwani kuzini ni nini mkuu ?Basi tuseme yeye ndo alokupangia kuzini?
Mbona Biblia inajipambanua waziwazi mkuu