Kama kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya binadamu ni mpango wa Mungu then kwanini Wakristo na Waislamu hufanya jambo hili?

Lakini Mungu kaua watu wengi kwenye Bible na pia kaamrisha watu wabake
Watenda dhambi kaua. Sodoma na gomoro. Na wale walowazuia wana wa izraeli kuingia nchi ya ahadi. Pia wale wote walokiwa vikwazo na chukizo kwa Bwana
 
So Mungu ni mbaguzi...ni kweli kwamba waisrael walichaguliwa na Mungu katika dunia nzima na sayari zote na nyota billions au waisrael wenyewe wametengeneza huyu Mungu Kama ilivyo kabila au jamii yoyote ile ya zamani kuanzisha miungu na dini zao?
 
Si kila jambo n mpango wa Mungu.

Mungu hakupangii kutenda dhambi.

So kichwa chako cha uzi ni vyema ungefanyia marekebisho.

Mungu hujua yote utakayoyapitia na kuyafanya na ambayo atakutendea
Kwa hiyo kuna vitu sio mpango wa Mungu ? Wakati yeye kaumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
 
So yapo mambo anayo fanya biandamu ambayo Mungu hajayapanga? Yataje mkuu nipate kujifunza
Kwanii aumbe ubongo wenye hiyo kasoro yakufanya mambo ambayo yeye hajapanga au alikua hajui mwisho wake utakuaje?
 
Kwanii aumbe ubongo wenye hiyo kasoro yakufanya mambo ambayo yeye hajapanga au alikua hajui mwisho wake utakuaj3?

Bro Mungu sio dikteta. Yeye anapenda viumbe vyake vyote viishi kwa uhuru na furaha na amani mbele yake. Alimuumba mwanadamu akiwa mkamilifu, akampa uhuru wa kuishi atakavyo. Alimpa sheria kamilifu, ya uhuru na ya haki ili katika hiyo, aishi na waendeleze urafiki na Ubaba kati yao. Pamoja na kumpa Neno/sheria yake na mwanadamu akiishi katika mazingira mazuri na ya kumpendeza. Mwanadamu alimuasi Mungu na dhambi ikaingia hapo na hivyo kuleta mabaya yote juu ya mwanadamu.

Kwahiyo bro, Mungu alipomuumba mwanadamu alimuumba katika ukamilifu wote na anasema kila siku anamuwazia mwanadamu yaliyo mema. Yeye mwenye haki amemuwekea mwanadamu mazingira mazuri ya maisha yake. Amemuumba katika utakatifu hata sasa japo mwanadamu mwenyewe ndiye anajiharibia maisha yake.
 
Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu.

Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi?

Kwa sababu kama kila jambo analo lifanya mwanadamu ni mpango wa Mungu maana yake ni kwamba hata hiyo dhambi uliyo ifanya ni mpango wa Mungu, kwamba Mungu ndio ameamua wewe ufanye hiyo dhambi.. unapo tubu dhambi hiyo maana yake ni kwamba unakosoa mipango ya Mungu kwenye maisha y'ako.
Roho Mtakatifu atakufunulia mantiki na hoja uliyoiweka hapa

Kimsingi kuwa mnyenyekevu ujifunze
 
Bro Mungu sio dikteta. Yeye anapenda viumbe vyake vyote viishi kwa uhuru na furaha na amani mbele yake. Alimuumba mwanadamu akiwa mkamilifu, akampa uhuru wa kuishi atakavyo. Alimpa sheria kamilifu, ya uhuru na ya haki ili katika hiyo, aishi na waendeleze urafiki na Ubaba kati yao. Pamoja na kumpa Neno/sheria yake na mwanadamu akiishi katika mazingira mazuri na ya kumpendeza. Mwanadamu alimuasi Mungu na dhambi ikaingia hapo na hivyo kuleta mabaya yote juu ya mwanadamu.

Kwahiyo bro, Mungu alipomuumba mwanadamu alimuumba katika ukamilifu wote na anasema kila siku anamuwazia mwanadamu yaliyo mema. Yeye mwenye haki amemuwekea mwanadamu mazingira mazuri ya maisha yake. Amemuumba katika utakatifu hata sasa japo mwanadamu mwenyewe ndiye anajiharibia maisha yake.
Kwa hiyo akujua mwanadamu atakuja kukoseshwa na shetani alie muumba yeye ,kma alijua kwanini asingeepuka huo mtego toka mwanzo , hauoni kuwa aliumba ili wengne waende motoni makusudi? na kma Mungu akuumba dhambi kwa nini tuseme aliumba kila kitu ?
 
Kipi hapo ambacho nimekisema hakipo kama nilivyokieleza?

Huwa sikisii.

Au wewe huamini kuwa Yesu alifanywa laana? Nikupe mistari ya biblia?
Sidhani kma umejibu hoja ya mtoa mada , apo naona umewarukia ndugu zako katika imani waliokutangulia ambao umeamrishwa kwenye kitabu chako ujifunze pia kutoka kwao.
 
Wacha porojo wewe.

Vipi, bandarini huko TPA washaleta matokea rasmi? Ngapi ngapi?
 
Kwa hiyo kuna vitu sio mpango wa Mungu ? Wakati yeye kaumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
Basi tuseme yeye ndo alokupangia kuzini?
Mbona Biblia inajipambanua waziwazi mkuu
 
Kwa hiyo akujua mwanadamu atakuja kukoseshwa na shetani alie muumba yeye ,kma alijua kwanini asingeepuka huo mtego toka mwanzo , hauoni kuwa aliumba ili wengne waende motoni makusudi? na kma Mungu akuumba dhambi kwa nini tuseme aliumba kila kitu ?

Bro twende taratibu tu kwa lengo la kufundishana na sio kubishana. Ni hivi, Mungu alimuumba mwanadamu mkamilifu. Akampa mamlaka ya kutawala vyote. Yeye alikuwa na mwakilishi wa Mungu na kwenye Biblia inasema na "tufanye mtu kwa sura na mfano wetu, akatawala ndege wa angani, wanyama wa kondeni na samaki wa majini"

Mwanadamu alikuwa mkamilifu na hakukuwa na dhambi duniani. Mungu hakujua kama mwanadamu atakuja kumuasi tokana na uhusiano wake na huyo mwanadamu kwani alikuwa ni baba dhidi ya mtoro wake. Mungu anajua yote kuhusu mwanadamu na anajua destination ya mwanadamu yoyote ni uzima wa milele na hii ni kutokana na uwepo wa Roho yake kwa mwanadamu(Pumzi) ambayo inasema na kumwongoza mwanadamu katika kumjua na kumuishia yeye.

Anguko la mwanadamu ni uasi binafsi wa Adamu dhidi ya Neno la Mungu. Mungu hakuumba dhambi na hakumuumba Shetani akiwa mdhambi ila uzuri wa Ibilisi ndio chanzo cha kuwepo kwa dhambi duniani.

Kwanini Mungu hakumuua Shetani?
Baadhi ya wana theolojia wanasema, tuhuma za uasi wa Shetani kwa Mungu ilikuwa ni udikteta wa Mungu dhidi ya viumbe vyake. Ibilisi alimshutumu Mungu kuwa ni muonevu na anawatawala kinguvu viumbe vyake alivyoviumba ambavyo ni dhaifu. Hii ndio maana Mungu hakumuua Ibilisi kwani kama angemuua, zile shutuma za sheria kamilifu na ya uhuru ingeonekana sio kitu. Tuanzie hapo kwanza mkuu.
 
Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu.

Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi?

Kwa sababu kama kila jambo analo lifanya mwanadamu ni mpango wa Mungu maana yake ni kwamba hata hiyo dhambi uliyo ifanya ni mpango wa Mungu, kwamba Mungu ndio ameamua wewe ufanye hiyo dhambi.. unapo tubu dhambi hiyo maana yake ni kwamba unakosoa mipango ya Mungu kwenye maisha y'ako.
Unapozini na kulewa ni Mungu kapanga uzini na ulewe!?..uelewa wako finyu,panga hoja yako vizuri
 
Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu.

Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi?

Kwa sababu kama kila jambo analo lifanya mwanadamu ni mpango wa Mungu maana yake ni kwamba hata hiyo dhambi uliyo ifanya ni mpango wa Mungu, kwamba Mungu ndio ameamua wewe ufanye hiyo dhambi.. unapo tubu dhambi hiyo maana yake ni kwamba unakosoa mipango ya Mungu kwenye maisha y'ako.
Si ndio mipango yenyewe hiyo Mkuu
 
Back
Top Bottom