Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,748
Sipendi sana kulitumia hilo neno.. anyway, ni mtazamo wangu lakini... nahisi kama ni neno lenye kejeli ndani yakeKwahiyo tuache kufarijiana kila mmoja asubiri tu zamu yake.?
We unahisi maneno yako ya kumwambia alale kwa amani yanauzito wowote?Huna hoja yenye mashiko.
“Kwasababu wote tutakufa kwanini mtu tumwambie alale kwa amani akifa”
Hakuna link hapo Yaani kwasababu wote watakufa basi mtu akifa asiambiwe alale kwa amani...Yaani ‘Wote kufa’ na ‘kumtakia aliyekufa amani’ kunakitu gani kinakufanya uhoji
HOW, unahoji nini ??
Sipendi sana kulitumia hilo neno.. anyway, ni mtazamo wangu lakini... nahisi kama ni neno lenye kejeli ndani yake
Ulichoandika sasahivi upo sahihi hata mimi sio mfuasi wa RIP na mimi nk muislam hatutumii hilo neno kamwe mtu akifariki, ungendika kama hivi kwenye mada nisingekuwa na Questions.We unahisi maneno yako ya kumwambia alale kwa amani yanauzito wowote?
Na una uhakika gani analala kwa amani?
Je unahisi kusema kwako 'RIP' kuna muongezea nini marehemu?
Embu twende tujadili taratibu
Yaah itakuwa kichwa cha habar nimekiweka vibaya.. ila lengo langu ndo kama ulivofafanuaUlichoandika sasahivi upo sahihi hata mimi sio mfuasi wa RIP na mimi nk muislam hatutumii hilo neno kamwe mtu akifariki, ungendika kama hivi kwenye mada nisingekuwa na Questions.
Mimi sikuelewa LINK ya kwamba ‘Binadamu wote tutakufa’ kwanini ‘tumtakie mlalo mwema aliyekufa’ eeh naona sieleweki ngoja niangalie #Salamana hapa EATV.
Kero yangu ni kwenyePengine English ni chukizo kwako, kwa maana hata sisi Waswahili tumejua kuandika RIP Naantombe... ni kama tunavyopongezana HBD kwa kuzaliwa!
Huko kwenu hutumia neno gani kwenye tukio kama hilo.?
Je, kero yako ni neno RIP au muktadha mzima wa kutakiana (wishes) kwa kuwa wote tutakufa.?
Kero yangu ni kwenye
1) Matumizi ya hilo neno, na
2)Kwenye muktadha mzima wa kulisema
Hahahahahaaaaa.. ndo mana mimi huwa sisemi kabisa nachukulia ni unafkiHata mimi siamini Kama ukimwambia marehemu RIP atarest in peace,kila mtu atarest sehemu aliyoindaa akiwa hai,Kama alikuwa mtenda mema atarest in peace kinyume chake bakora kila siku
Mi huwa siyatumii hayo manenoWewe husemaje.?
Mi huwa siyatumii hayo maneno
Mimi sijawahi kumuona marehemu aliye hai.marehemu aliyekufa,
Kwasababu wote tunalala, hakuna haja ya kutakiana usiku mwema. 😁😁😁😁😁Huna hoja yenye mashiko.
“Kwasababu wote tutakufa kwanini mtu tumwambie alale kwa amani akifa”
Hakuna link hapo Yaani kwasababu wote watakufa basi mtu akifa asiambiwe alale kwa amani...Yaani ‘Wote kufa’ na ‘kumtakia aliyekufa amani’ kunakitu gani kinakufanya uhoji
HOW, unahoji nini ??