Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

Inasemekana Mama eti alifanya several attempts za kutaka kuresign..ilaa eti alizuiwaa... 'inasemekana'.
 
Hao siyo wanyonge , bali ni wajinga na wanstumika kama mtaji wa wanasiasa matapeli.
Tanzania waji ga ndio wengi zaidi ya asilimia 80 ndio ambao Magufuli alisima nao na walimwelewa sababu waji ga hata umfafanulie kwa maneno vipi haelewi anataka kuona zaidi miradi ya zahanati,shule bure ,umeme auone kila kijiji nk ndilo hitaji lao kuu sio sijui katiba mpya sijui demokrasia au sijui tume huru hayo hawajui na hawayahitaji
Magufuli alielewa hilo na wajinga ambao ndi wengi wakamuelewa baada ya kuwafanyia wanachotaka

Uliona hata misafara yake ya kuaga mwili waliotungua kilio sio wavaa suti ni wajinga na wanyonge na walala hoi
 
Ukiendesha nchi kwa lengo la kuwafurahisha wajinga basi na wewe utakuwa ni uzao wa wajinga na taifa litakuwa la kijinga, na wajinga siku zote hutawaliwa.
 
Hata kuongia uchumi wa kati ni geresha tu. Tumerudi nyuma hatukusogea
 
Mwanakijiji, husoma sana michango yako na huwa sichangii kwa kuwa nilikuweka kundi la wachangiaji wa kusomwa tuu na sio kubadilishana muono au mawazo.

Kwa muda mrefu nilifanya hivyo, kumbe nilikosea sana, pole na unisamehe kwa hilo, kumbe unauwezo wa kuona mbali sana.

Kwa muono wangu mimi, nimejifunza mambo mengi mapya kipindi cha Magufuli. Nilikereka sana mwanzo kwa kuwa nilliishi kwenye mfumo mpya ambao sikuuzoea na kiuendeshaji maisha.

Nilicho kiona na ambacho nina hakika ni kuwa uzalendo wa Mwendazake utachukua muda mrefu kutokea au kupata Rais mwingine wa namna yake kwenye mema na mabaya..

Viongozi wengi tumeshindwa kubadiika kipindi cha Magufuli, tunarudi kule kule kwenye biashara za upigaji haraka haraka sana.

Nchii hii kama hauja itembea huwezi kujuwa Magufuli amefanya nini? Ila uizunguuke ndio utafahamu nchi yetu kuna mabadiliko gani na kuyauona.

Chakula kipo cha kutosha na kwa bei nzuri nchi nzima. Watoto wanaenda shule nchi nzima, na kuna kupanga maisha kwa kila jamii na família nyingi leo.

Pesa imekuwa ngumu lakini inathamani, na mfumuko wa bei haubadiliki badiliki. Vigoma vya kurudi tuliko toka vinapigwa kila kona lakini najuwa ni wachache ambao watafaidika na mabadiliko ya kurudi kwenye enzi kikwete. Na huenda humu JF kukawa na kelele nyingi mno baadae, na kwenye mitandao mingine na wananchi nchi nzima.
 
Hawatakuelewa, watu wako bize kummezea mate mlegeza macho kwa udini. Wanapiga nae pambio mnafiki namba moja wa taifa, limbukeni wa madaraka mkojoa kwa kukaa yule. Bullshit.
Hahahaaa. Tukukumbushe tu kuwa ile report imeandaliwa na CAG ambaye ni mteule wa mwendazake na wala haikuandaliwa na mlegeza macho. By the way repoti ipo kisheria na inaelezea kile ilichoona, lawama zinatoka wapi?
 
Ukiendesha nchi kwa lengo la kuwafurahisha wajinga basi na wewe utakuwa ni uzao wa wajinga na taifa litakuwa la kijinga, na wajinga siku zote hutawaliwa.
utawala wa walio wengi maana yake kama wengi ni wajinga unatakiwa uangalie matakwa ya hao wajinga walio wengi
 
Inasemekana Mama eti alifanya several attempts za kutaka kuresign..ilaa eti alizuiwaa... 'inasemekana'.
Iwavyo vyovyote kama alisimama pale hadi jamaa anatutoka maana yake alishirikiana nae. So na yeye ni mwizi tu. Kama wanadhani kumchafua JPM kutawaacha wao salama basi wanajidanganya. Kichekesho ni kuwa hata wapinzani nao wameungana kutuchezea hii futuhi,wangesimama pembeni na ngojera hizi then wakaenda kwa wananchi kuwaambia tu kuwa kama rais alikuwa hivi basi na mfumo mzima wa ccm ukijumuisha hawa waliobaki wote umeoza tuutoe kuweka wengine wangepata sapoti kubwa sana. Sasa kwa sababu wanaongozwa na chuki binafsi kwa mwendazake hata fursa hii waneshindwa kuitambua wamejiunga
Inasemekana Mama eti alifanya several attempts za kutaka kuresign..ilaa eti alizuiwaa... 'inasemekana'.
Vyovyote iwavyo kama alisimama na jamaa hadi mwisho anahesabika kuwa alikubaliana na kilichotokea
 
Wapigaji wamerudi kwa kasi ili mambo yao yaende kazi ni moja kuua legacy yote ya mwendazake alafu waanze kupiga kama ilivyoada
Report ya CAG imeweka wazi jinsi Pombe na genge lake walivyofanya upigaji wa hali ya juu.
Inshort marehemu alikuwa ni fisadi mkuu.
 
😩😩
 

Hivi unapotosha kwa makusudi report ya CAG au hujasoma. Hakuna sehemu kasema hiyo miradi haipo, isipokuwa kaonyesha mapungufu yaliyo katika hiyo miradi na mara zote report za CAG zinakuwaga hivyo. Sijui kwanini awamu ya JPM report za CAG zimekuwa kuwa nongwa.
Kwani kipindi kile cha kikwete na ufisadi uliokuwa ukifanyika miradi haikuwepo? Ni kupitia miradi ndipo upigaji hufanyika.
Hakuna sehemu kasema hakuna stendi ya Magufuli, isipokuwa kasema pale ilipo itasababisha foleni. Hakuna sehemu kasema hakuna mradi wa SGR, isipokuwa kasema kuna wafanyakazi wasiyo na vibari.
Punguzeni mahaba na upotoshaji. JK na upigaji wote uliokuwepo ndiye alianzisha mradi wa kupeleka umeme vijijini, Magufuli kaendeleza alipoishia. Kikwete na upigaji uliokuwepo ndiye kaunganisha barabara mikoa yote isipokuwa mikoa miwili, akaanzisha shule za kata.
Report ya CAG mara zote uwa inapitia miradi iliyopo kuangalia kama ina tija au kama kuna upigaji.
 
Nadhani Mwanakijiji utakua umesahau au hujafanya utafiti wa kutosha, report ya CAG KIchere haina tofauti na report za nyuma za CAG Prof Assad. Prof Assad alikua analeta report nzito zenye maswali magumu yasiyojibika.
Hoja nzuri kabisa hii
 
Usimwamini NDUNGAI MNAFIKI na huyu Mama ambae hana anachojua zaidi ya mipasho na taarab
Hahahaa chato gang member..tapikeni hela za umma mlizokula nyinyi na marehemu anayeanza kuliwa na finyofinyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…