Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

Kama huu ufisadi mrioripoti ni kweli basi hata rais wa sasa anahusika kwa sababu alikuwa sehemu tena muhimu ya serikali wakati yanafanyika haya, kusema sijui hakuwa na kauli sijui nini ni kudanganyana. Kama hakukubaliana nayo angeachia ngazi abaki na heshima yake, kubaki madarakani ilikuwa ni kuunga mkono kila kilichofanyika. Ndugai alikuwa spika wa bunge lenye jukumu la kuisimamia serikali na hakutimiza/hawakutimiza wajibu huo ipasavyo, so nashauri tuanzie kwa kuwaburuza wote hao mahakamani sheria ipite nao. Kuendelea kushabikia wizi wakati walioshiriki wizi huo wapo na tena wanatuongoza mbele mbele katika kushangilia ni unafiki na uzandiki.
so mimi nasimama kuhesabiwa........ KAMA UFISADI HUU WOTE ULIFANYIKA WAKATI SAMIA SULUHU HASSAN AKIWa MAKAMU WA RAIS AWAJBIKE kwa sababu ndiye alikuwa msaidizi namba moja wa rais aliyekuwepo madarakani. Kusema eti kwa sababu aliyekuwa rais hayupo basi na ufisadi Huu tuachane nao ni unafiki na uzandiki wa hali ya juu.
Inasemekana Mama eti alifanya several attempts za kutaka kuresign..ilaa eti alizuiwaa... 'inasemekana'.
 
Hao siyo wanyonge , bali ni wajinga na wanstumika kama mtaji wa wanasiasa matapeli.
Tanzania waji ga ndio wengi zaidi ya asilimia 80 ndio ambao Magufuli alisima nao na walimwelewa sababu waji ga hata umfafanulie kwa maneno vipi haelewi anataka kuona zaidi miradi ya zahanati,shule bure ,umeme auone kila kijiji nk ndilo hitaji lao kuu sio sijui katiba mpya sijui demokrasia au sijui tume huru hayo hawajui na hawayahitaji
Magufuli alielewa hilo na wajinga ambao ndi wengi wakamuelewa baada ya kuwafanyia wanachotaka

Uliona hata misafara yake ya kuaga mwili waliotungua kilio sio wavaa suti ni wajinga na wanyonge na walala hoi
 
Ukiendesha nchi kwa lengo la kuwafurahisha wajinga basi na wewe utakuwa ni uzao wa wajinga na taifa litakuwa la kijinga, na wajinga siku zote hutawaliwa.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.

Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.

Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.

Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.

Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Hata kuongia uchumi wa kati ni geresha tu. Tumerudi nyuma hatukusogea
 
Mwanakijiji, husoma sana michango yako na huwa sichangii kwa kuwa nilikuweka kundi la wachangiaji wa kusomwa tuu na sio kubadilishana muono au mawazo.

Kwa muda mrefu nilifanya hivyo, kumbe nilikosea sana, pole na unisamehe kwa hilo, kumbe unauwezo wa kuona mbali sana.

Kwa muono wangu mimi, nimejifunza mambo mengi mapya kipindi cha Magufuli. Nilikereka sana mwanzo kwa kuwa nilliishi kwenye mfumo mpya ambao sikuuzoea na kiuendeshaji maisha.

Nilicho kiona na ambacho nina hakika ni kuwa uzalendo wa Mwendazake utachukua muda mrefu kutokea au kupata Rais mwingine wa namna yake kwenye mema na mabaya..

Viongozi wengi tumeshindwa kubadiika kipindi cha Magufuli, tunarudi kule kule kwenye biashara za upigaji haraka haraka sana.

Nchii hii kama hauja itembea huwezi kujuwa Magufuli amefanya nini? Ila uizunguuke ndio utafahamu nchi yetu kuna mabadiliko gani na kuyauona.

Chakula kipo cha kutosha na kwa bei nzuri nchi nzima. Watoto wanaenda shule nchi nzima, na kuna kupanga maisha kwa kila jamii na família nyingi leo.

Pesa imekuwa ngumu lakini inathamani, na mfumuko wa bei haubadiliki badiliki. Vigoma vya kurudi tuliko toka vinapigwa kila kona lakini najuwa ni wachache ambao watafaidika na mabadiliko ya kurudi kwenye enzi kikwete. Na huenda humu JF kukawa na kelele nyingi mno baadae, na kwenye mitandao mingine na wananchi nchi nzima.
 
Hawatakuelewa, watu wako bize kummezea mate mlegeza macho kwa udini. Wanapiga nae pambio mnafiki namba moja wa taifa, limbukeni wa madaraka mkojoa kwa kukaa yule. Bullshit.
Hahahaaa. Tukukumbushe tu kuwa ile report imeandaliwa na CAG ambaye ni mteule wa mwendazake na wala haikuandaliwa na mlegeza macho. By the way repoti ipo kisheria na inaelezea kile ilichoona, lawama zinatoka wapi?
 
Ukiendesha nchi kwa lengo la kuwafurahisha wajinga basi na wewe utakuwa ni uzao wa wajinga na taifa litakuwa la kijinga, na wajinga siku zote hutawaliwa.
utawala wa walio wengi maana yake kama wengi ni wajinga unatakiwa uangalie matakwa ya hao wajinga walio wengi
 
Inasemekana Mama eti alifanya several attempts za kutaka kuresign..ilaa eti alizuiwaa... 'inasemekana'.
Iwavyo vyovyote kama alisimama pale hadi jamaa anatutoka maana yake alishirikiana nae. So na yeye ni mwizi tu. Kama wanadhani kumchafua JPM kutawaacha wao salama basi wanajidanganya. Kichekesho ni kuwa hata wapinzani nao wameungana kutuchezea hii futuhi,wangesimama pembeni na ngojera hizi then wakaenda kwa wananchi kuwaambia tu kuwa kama rais alikuwa hivi basi na mfumo mzima wa ccm ukijumuisha hawa waliobaki wote umeoza tuutoe kuweka wengine wangepata sapoti kubwa sana. Sasa kwa sababu wanaongozwa na chuki binafsi kwa mwendazake hata fursa hii waneshindwa kuitambua wamejiunga
Inasemekana Mama eti alifanya several attempts za kutaka kuresign..ilaa eti alizuiwaa... 'inasemekana'.
Vyovyote iwavyo kama alisimama na jamaa hadi mwisho anahesabika kuwa alikubaliana na kilichotokea
 
Wapigaji wamerudi kwa kasi ili mambo yao yaende kazi ni moja kuua legacy yote ya mwendazake alafu waanze kupiga kama ilivyoada
Report ya CAG imeweka wazi jinsi Pombe na genge lake walivyofanya upigaji wa hali ya juu.
Inshort marehemu alikuwa ni fisadi mkuu.
 
Unaandika mithili ya layman. Kwani kuwa mpinzani lazima ujinasibishe na wapinzani unaowaita wamepotea?

Wewe binafsi ume compromise nafsi yako kwakua wengine wamepotea? Really?

Hivi misimamo na ideology za mtu huwa kwa wengine au wewe binafsi?

Kwahiyo huko nyuma ulifanya upinzani kwakua wengine walifanya?

Au kauli na matendo yako yanadhihirisha ulifanya mambo kwa chuki binafsi, chuki za kimaslahi, kikanda, kidini na kirangi? Seriously mtu mwenye upinzani wa Moyoni unaweza sema nilishindwa fanya upinzani maana sikumjua mpinzani wa kweli?

Seriously mtu wa kariba yako ulikuja kuwa simply brainwashed na siasa za watu aina ya akina Magufuli really?
😩😩
 
Na. M. M. Mwanakijiji

wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.

Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.

Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA

Na. M. M. Mwanakijiji

Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.

Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo

Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.

Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Hivi unapotosha kwa makusudi report ya CAG au hujasoma. Hakuna sehemu kasema hiyo miradi haipo, isipokuwa kaonyesha mapungufu yaliyo katika hiyo miradi na mara zote report za CAG zinakuwaga hivyo. Sijui kwanini awamu ya JPM report za CAG zimekuwa kuwa nongwa.
Kwani kipindi kile cha kikwete na ufisadi uliokuwa ukifanyika miradi haikuwepo? Ni kupitia miradi ndipo upigaji hufanyika.
Hakuna sehemu kasema hakuna stendi ya Magufuli, isipokuwa kasema pale ilipo itasababisha foleni. Hakuna sehemu kasema hakuna mradi wa SGR, isipokuwa kasema kuna wafanyakazi wasiyo na vibari.
Punguzeni mahaba na upotoshaji. JK na upigaji wote uliokuwepo ndiye alianzisha mradi wa kupeleka umeme vijijini, Magufuli kaendeleza alipoishia. Kikwete na upigaji uliokuwepo ndiye kaunganisha barabara mikoa yote isipokuwa mikoa miwili, akaanzisha shule za kata.
Report ya CAG mara zote uwa inapitia miradi iliyopo kuangalia kama ina tija au kama kuna upigaji.
 
Nadhani Mwanakijiji utakua umesahau au hujafanya utafiti wa kutosha, report ya CAG KIchere haina tofauti na report za nyuma za CAG Prof Assad. Prof Assad alikua analeta report nzito zenye maswali magumu yasiyojibika.
Hoja nzuri kabisa hii
 
Usimwamini NDUNGAI MNAFIKI na huyu Mama ambae hana anachojua zaidi ya mipasho na taarab
Hahahaa chato gang member..tapikeni hela za umma mlizokula nyinyi na marehemu anayeanza kuliwa na finyofinyo
 
Back
Top Bottom