Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

Mhhh ndio umetafsiri hayo any way mmepigwa, mmejipiga mmesambaratika
 
Hakuna mradi wowote chini ya Jpm. Miradi yote ni ya JK.
 
Se
Sema tu kelele zilikuwa nyingi. Jk alifanya Mambo makubwa kimyakimya.
 
Ukishaona serikali inaendesha mambo kwa siri na ukihoji unatekwa na kupelekwa Guantanamo. Ukiona nepotism imetamalaki jua something smells fishy.
 
Binafsi huyu CAG simuamini kamwe...

Haumwamini kwasababu Mwendazake kaumbuliwa !.Haumwamini kwasababu yale mapambio ya mitano tena sasa yanaonekana kichekesho,hayanogi tena.

Ni hivi Mwendazake atabaki katika historia ya Tanganyika kama kiongozi wa hovyo kabisa ambae alifanikiwa kulifanya bunge na mahakama kama vikaragosi.
 
Babu Kuna sehemu CAG kasema miundombinu haikujengwa !?
CAG kafichua uchafu na uvundo wa Mungu, soory Yesu jiwe ....!
Ila nakupongeza kwa kuokoteza hoja za kumantain 'status quo!
Ila nguo mnavuliwa sebuleni, kabla hata hamjafikishwa chumbani
 
Upinzani uko kwenye damu yangu; ila sasa hivi naona kama umepotea maana sijui ni nani amebakia upinzani kweli. Labda tuunde upya kabisa... maana upinzani umekubali jukumu lisilo lao...
pointi kubwa hapo ni mikataba ya wazi ambayo haiwekwi ikajulikana mbivu na mbichi unaenda kujibu upinzani mambo gani hayo.
 
Sasa Kama mashirika yote ni hasara waachiwe sector binafsi ziyae deshe siyo kukurupuka kufilisi nchi. Unafikiri akina jk hawakuyaona? Shida jpm hakuwa na akiri alikuwa anapuyanga tu
 
NINAUNGA MKONO HOJA KAMA UFISADI HUU UMEFANYIKA BASI PM AJIUZURU NA WATENDAJI WENGINE. KAMA WALIJUA WANAHARIBU WASIFU WA MAREHEMU HII ITAKULA KWAO.

NINAUNGA MKONO HOJA YA KUJIUZULU
NA BUNGE LIVUNJWE TURUDI KWENYE UCHAGUZI.
 
Tatizo hii nchi yetu Bado inasumbuliwa na ukosefu wa VIONGOZI/WATENDAJI WAADILIFU.

lakini pia kuna udhaifu Mkubwa kwa viongozi wetu walio pewa dhamana ya kusimamia walio chini yao. haya ni matokeo ya usimamizi mbovu matokeo yake ni ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.

Nitashangaa sana kama hatua hazito chukuliwa kwa viongozi wa taasisi au idara zilizo hushishwa na ubadhirifu kwa namna moja au nyingine.

NASISIYIZA HATUA KALI ZIVHUKULIWE KWA WOTE ILI IWE FUNDISHO KWA WENGINE.
 
Naunga mkono asilimia mia moja,na mimi naona watu wanaandaa mazingira ya kula walivyovikosa kwa miaka 5.
Nimegundua Marehemu Magufuri alikuwa mkono wa chuma,amefanya aliyoyafanya bila mshauri lakini
nchi imeingia uchumi wa kati kwa mkono wake bila mshauri,Ameweza kuwarubuni waliotutangaza kuingia uchumi wa kati kwa nguvu yake ya ushawishi.
Kwa wakristo watayakumbuka maneno ya Bwana Yesu alipoulilia mji wa yerusalemu akisema " Laiti ungelijua yakupasayo.....lakini yamefichwa..."
 
Umepotea...
 

Haya tuambie huyo mtu wako Mwendazake ambaye alikuwepo kwenye system hii ya CCM tokea 1995 kwani alimtimua CAG Prof Assad? Hatukuwahi kuona report za Prof Asad zikisomwa Gadhafi. Umesahau like sekeseke la 1.5 trillion kwenye report.

Jamaa yenu alikuwa anapenda kufanya mambo gizani huku akiwahaminisha yeye ni msafi na anapambana na ufisadi huku akiwadhalilisha watangulizi wake(mabosi wake wa zamani).

Kila aliyemkosoa jamaa yenu alikiona chamtemakuni kilichomtoa kaka mnyoya,wapo waliokufa,wapo vilema kama Lissu,wapo waliofilisiwa na engine wanapata mateso gerezani.

Mzee umejidhalilisha sana na sasa unatapatapa. Hivi mtu msafi anaweza kumkumbatia Makonda kwa miaka mitano,wanapora tu mali za watu bila ya kufuata sharia.

Alifunga watu midomo akiwa hai sasa anasemwa akiwa kaburini. Wenzie akina JK waliwapa nyinyi nafasi ya kuwatukana wakiwa watawala lakini wanaishi kwa Amani baaada ya kustaafu maana machafu yao yote yalisemwa wakiwa madarakani.
 
Mwendazake alikuwa fisadi, huku akitulaghai kuwa ni Mzalendo. Na laiti ungejua na mengine ungepata fedheha hata kuandika humu.

CAG alikuja na ripoti kama hizi, akiweka wazi ukiwepo ufisadi wa 1.5 T, mkajifanya hamuoni zaidi zaidi akapigwa vita na akatolewa kwa mizengwe.

Awamu ya mwendazake upigaji haujawahi kutokea tangu tumepata uhuru, ukiongozwa na yeye na kundi lake
 
watalia kwa namna gani hao wapinzani kwahiyo mambo ya kifisadi yakiwepo ndo wapinzani wanalia pekeyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…