denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Umeandika kitu hapa, ninavyofahamu madudu ya ofisi za huko serikalini huwa yapo kila awamu, japo sasa tunaaminishwa yamezidi kwa awamu iliyopita, ningedhani pia kwa uelewa wangu wapinzani sasa waje na solution nini cha kufanya ili kuepuka hiyo situation mbele ya safari, badala yake naona wapinzani wameungana na lile kundi jingine la CCM kumshambulia mwendazake, hapa mwenye akili timamu lazima ujiulize, hawa wapinzani wa sampuli hii lengo lao ni nini hasa?Mwanakijiji,
Zamani kuna watu walikuwa wanaitwa Nyumbu, mie nilikuwa sijui, sasa ndiyo nimeamini humu Nyumbu ni hawa wafuasi wa wapinzani, sometimes na wapinzani wenyewe. Kwanza wana attack individual, wanasahau kuwa system ndiyo mbovu. Angalia wamesahau kabisa kuwa Kikwete ndiyo alikuwa mtesaji wao kile kipindi cha awamu ya nne, sasa kawa JPM. Hawajui hao wote ni system ambayo ipo na CCM, na itakuwepo wakati wote.
Pili baada ya kifo cha JPM wanaongea mengi sana, ok I am independent, sikupenda JPM his part of human rights, lakini kwa kazi zake ni nani kama yeye? Sasa angalia Nyumbu wamebadirishiwa "narrative" na hiyo hiyo system kuwa JPM alikuwa fisadi sasa wanaamini na kushangilia ati mnaona? Ukweli upo pale pale CCM na system iliyopo ndivyo ilivyo. Angalia huyu mama Samia, mimi naona ni mama wa Mipasho tu, alikuwa na magufuli pamoja yeye ni VP atajitengaje na yale aliyoyafanya magufuli?? Or let say, JPM was sleeping with the Devil? Unam-support mtu kwa maneno kumbe moyoni sivyo? What I am seeing ni kuwa huyu Mama wa Mipasho na JK were very patient, the Vultures, are Patient Birds. Na kweli sasa wanabadirisha "Narrative" sasa Nyumbu wanashangilia. Hawajui kuwa muda si mrefu watalia.
Halafu kuna Group la tatu, hawa watendaji waliokuwa na JPM, wachumia tumbo. Hawa lazima waonyeshe mwelekeo wao maana lazima wajue watakula wapi. Kama tunavyoona Ngugai, kabadirika ghafla, CAG kabadirika ghafla, HK kabadirika ghafla, Nape katoa makucha, they must show where they are.
"The way the coockie crumbles" JPM itakuwa ndvyo alifikiria alipoona kifo kinakuja, we only live once!!
Wamejisahau wanamshangilia huyu mama tokea aingie ikulu, hata madudu yake yaliyotokea hivi karibuni bado hawajayaona, wao ni kushangilia tu kwa hali hii kwanini tusiendelee kutawaliwa na CCM miaka yote? hii ni kwasababu watu wameacha kufuata akili zao wanafuata za viongozi wao wa mitandaoni ndio maana.
CCM ni wale wale, kulindana kuko pale pale lakini watu wanashangilia tu kwa ufupi wa kumbukumbu zao, baada ya siku kadhaa akili zitawarudia waanze kulia tena, just a matter of time.