Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

Ni Magufuli huyo huyo mwezi December mwaka jana aliyetuambia kuwa ameongea na Rais wa China kwa kirefu sana na kumsihi sana aje Tanzania kuwekeza kwenye miundo mbinu, SGR, Mabwawa ya umeme nk.
Na kusisitiza Magufuli alisema wachina ni rafiki zetu wa kweli, toka enzi za uhuru na kamwe hatupaswi kuwaacha!

Kipi leo cha ajabu wanasiasa wa CCM wakisema mchina aje kuwekeza Tz?

Akija mzungu (beberu) mnasema anatudhulumu, akija mchina mnasema anatuibia, tukisema wazawa (wabongo) tujaribu mnasema wababaishaji, tukiiachia serikali yenyewe mnasema viongozi ni mafisadi, sasa aje nani?
labda yesu
 
Magufuli the best president ever and forever... Wanacheza n akili zetu aiseeee
 
SGR, Rufiji Dam ni picha tu zile....[emoji1787]

CAG kaamua kishabiki kusema bila aibu akiwa na watendaji wale wale....akitaka kujikomba kwa mama kumbe anachotwa akili!

wa kujiuzulu sio PM tu hata Rais!!!!

Hakuna namna watamzima kirais JPM, he is here to stay with us for long long time
Ashazimwa huyo mtu wenu.
Inabidi MATAGA mkubali kuwa mliyemfanananisha na yesu kesha kufa.
 
SGR, Rufiji Dam ni picha tu zile....[emoji1787]

CAG kaamua kishabiki kusema bila aibu akiwa na watendaji wale wale....akitaka kujikomba kwa mama kumbe anachotwa akili!

wa kujiuzulu sio PM tu hata Rais!!!!

Hakuna namna watamzima kirais JPM, he is here to stay with us for long long time
Majizi wakubwa sana wa rasilimali za watanzania
 
Mkuu mwanakijiji umewaza peke yako hiki ulichoandika kwa watu wengi wamebebwa na mdundiko hawawezi kukuelewa lakini ni point kali sana!
MATAGA, CHAWA, waramba miguu mmebakia mnalia lia tu
 
wazee wa ku twist maneno washajiwekea mawazo yao kichwani kua kwa hoja walizonazo ni ngumu kumshawishi mtu kua jpm alikua fair na ndio maana watetezi wake wanapindisha maneno
Ni kikundi cha propaganda kinaendeleza propaganda yani wanapindisha maneno nahawakuanza leo. Prof Assad alisea 1.5 tillion hazionekani zilipo, eti mwenda zake akamuuliza eti report yako inasema kuna wizi wa 1.5 tilion? Assad akajibu hapana.
Na alifanya kusudi tu maana Assa hakusema zimeibwa ila alisema matumizi yake hayajulikani.
Sasa wanataka kutumia popaganda kuishusha report ya CAG kwa kugeuza maneno na wajinga wajinga watawaamini.
 
Elimu bure ni sera ya zamani sana ,tangu uchaguzi wa mwaka 2000 ,wapinzani walishalisema hili. Hii haiwezi kuwa hoja kwa sasa. Tafuteni namna ya kumtetea mtu wenu.
Tunao mfano wa Kadata : The guy is the most efficient and very innovative in tax collection, na hata miradi Mikubwa Mwendazake he begun to finance during Kadata tenure, Prucurement of new aircrafts, Nyerere dam financing conception and etc. Lakini ana mkono mrefu.

Sasa mkiwa mnashida mnatumia werevu wake kwa kile wataalamu wengine hawana, mkimalizana anaenda.
 
Subiri kidogo, miradi yote tunayoiona itasimama, ndipo utajua tofauti kati ukweli na uongo. Kati ya Rais na mwimba taarabu.

Awamu zote za marais waislam nchi hii huyumba sana. Subiri tu ujionee.
acha udini
 
Mwanakijiji nawe umejisajili kwenye haya mawazo? Ripoti nzima ya CAG hakuna mahali imesema Magufuli aliiba pesa, bali imeanisha namna mbali mbali ambavyo serikali na taasisi zake zimekiuka ama kutumia pesa ya walipa kodi vibaya. Je hili nalo unaona ni baya? Ama kosa ni sisi kuambiwa haya? Magufuli he may have a lot of good deeds, ila kosa kubwa alilolifanya ambalo nawe unataka kutufanya tuendelee kuamini alikuwa sahihi ni kutaka kuonyesha serikali yake inafanya vizuri kwa kila jambo.
Hili kwa namna moja ama nyingine ilitoa fursa kwa baadhi ya watendaji wapigaji kutumia nafasi zao vibaya wakijua kwa hakika kwa sababu raisi hapendi taarifa mbaya itoke watakuwa salama. Hivi hata haya TBC, clouds media na Kigwangala unataka kusema nayo ni ajenda ya siri!?
Nionavyo mwenda zake alishatufukisha kwenye kiwango fulani cha ujinga na itatuchukua muda sana kusafisha tena akili zetu ili kurudi kwenye ukawaida wake.
Hivi ugomvi wa CAG prof. Assad na Magufuli nani kawasahaulisha? Mtu safi kama Magufuli ya nini kumuandama Assad kwa kiasi kile. Je, mtu safi kama alivyokuwa Magufuli ya nn kuviogopa vyombo vya habari kiasi ya kuvifungia vyote vilivyokuwa na mawazo mbadala? Na je, mtu safi kama Magufuli ya nini kutumia pesa nyingi za umma kwenye mradi ovu wa kununua wanasiasa wa upinzani?
Haya yote ni dhahiri kwamba yalificha mambo mazuri zaidi aliyokuwa nayo huyu ndugu raisi ambayo kwa sasa yanataka kuonekana kama mabaya.
Kwa ushaidi wote huu, ni dhairi kwamba Magufuli alikuwa raisi muoga na hasa wa kukosolewa na hivyo kuruhusu madudu yote haya tunayoyaona kwenye ripoti ya CAG.
Na. M. M. Mwanakijiji

Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.

Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.

Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.

Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.

Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
 
Umeandika kama umechanganyikiwa! Hakueleweki unamaanisha nini..Ni kama uliandika huku unalia! Kwasababu hata hoja unazosema hazipo, unavyosema miradi mliyoambiwa imefanyika kumbe haijafanyika! Hakuna mtu yoyote aliyesema miradi haijafanyika, bali imefanyika lakin kuna ufisadi mkubwa sana humo. Na hilo ni wazi. Kila mtu anajua mwendazake alikuwa hataki kusikia kitu kingine zaidi ya sifa, hivyo hata kumtoa Assad kumuingiza Kichere alikuwa anataka amuweke mtu anaemmudu. Usijisahaulishe chini ya Magu ofisi ya CAG ilipunguziwa bajeti yake ili isifanye kazi ya kuchimba kwa kina madudu ya Magu. Usijisahaulishe
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.

Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.

Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.

Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.

Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Kuna mambo mazuri yaliyofanyika chini ya utawala wa awamu ya 5 lakini ukweli ni kuwa mafanikio madogo yalipigiwa propaganda kubwa ili yaonekane makubwa ya ajabu.

Kiuhalisia, hakuna kitu kikubwa cha ajabu kilichofanyika wakati wa awamu ya 5 ambacho kilikuwa hakijafanywa na watangulizi wake. Na kuna mambo makubwa zaidi yaliyofanywa na watangukizi wake lakini yalibezwa ili ionekane hawakufanya kitu.
 
Ni kikundi cha propaganda kinaendeleza propaganda yani wanapindisha maneno nahawakuanza leo. Prof Assad alisea 1.5 tillion hazionekani zilipo, eti mwenda zake akamuuliza eti report yako inasema kuna wizi wa 1.5 tilion? Assad akajibu hapana.
Na alifanya kusudi tu maana Assa hakusema zimeibwa ila alisema matumizi yake hayajulikani.
Sasa wanataka kutumia popaganda kuishusha report ya CAG kwa kugeuza maneno na wajinga wajinga watawaamini.
wanajinafasi kwa unafki ila nafsi zinawasuta

Nafurahi kuona baadhi ya wadau wanaendelea kumlamba miguu
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.

Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.

Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.

Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.

Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Hakuna aliyefisadi kwenye utawala wa Magufuli,watu hawajaelewa tu, ilikuwa ni hela ilikuwa ikihitajika site ilitoka on time na ilifika site on time bila ya kufuata taratibu. Magufuli aliamini sheria zilizopo ni mbovu zinachelewesha maendeleo.
Ndio maana alifika sehemu Kuna mradi au uhitaji wa mradi hapo hapo aliagiza billions of money kuolewa kwa dharura ndani ya siku chache na mambo yalienda. Hospital kila wilaya, vituo vya afya, kila halmashaur Kuna lami, shule kongwe kufanyiwa ukarabati,nyuma za askar magereza kujengwa, ikulu na maofisi, mahakama n. k. Wamuache mtu huyu wa kipekee. T unakoelekea ni kugumu, Rip Magufuli.
 
JPM alikuwa waziri kwenye serikali za JK na Mkapa. Ni wazi alikuwa hakubaliani na mengi ya marais hao. Lakini mbona hakuwahi kujiuzuru kuonesha kutokubaliana nao? Kwa maelezo ya JPM mwenyewe, aliwahi 'kuomba' kujiuzuru pale alipopewa sumu! So naye alikuwa mnafiki tu kama hawa wenzake tu
 
Anachojaribu kusema ni hiki

Kama Magufuli alikuwa nduli, fashisti na fisadi basi alikuwa mzuri. Mtu Fisadi anakwapua pesa halafu anapeleka umeme kila kijiji na Elimu bure nchi nzima na zahanati nchi nzima na miradi ya barabara nk hadi vichochoroni. Mistendi kibao hadi mingine inaitwa stendi ya Ndugai hilo fisadi na fashisti na nduli wananchi tunalikubali sababu lilikuwa linakwapua na kuwapelekea wanyonge miradi kibao.

Lingebaki liendelee kufisadi na kupelekea wanyonge

Haya tunasubiri msio nduli na mafashisti na msio mafisadi tuone kama spidi ya maendeleo kwa wanyonge ya hilo nduli,fashisti na fisadi tuone kama spidi hiyo mtaiweza.Tuone nani zaidi kati ya nduli fashisti na Fisadi Papa Magufuli na ambao sio nani zaidi .Wanyonge ndio watakuwa mahakimu kwa hili
Tukusanye kodi kwa akili sio nguvu, hahahaaa hapo unategemea nini mkuuu tayari mwendo wa kinyonga umeanza.

Ukiona mtu anataka kuwachekea walipakodi ujue hatutaweza kwenda kwa spidi ya Magu tena.

Watanzania tunajijua wenyewe tulivyo wajanjawajanja kwenye kodi, mtu akipata mwanya wa kukwepa anaita na wenzake anawafundisha, ama kuwaunganisha na huyo anaewezesha ukwepaji kodi.

Tukitaka maendelea nilazima tubanane kisawasawa kwenye kodi.
 
Back
Top Bottom