Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Legacy ya kutuibia?Wapigaji wamerudi kwa kasi ili mambo yao yaende kazi ni moja kuua legacy yote ya mwendazake alafu waanze kupiga kama ilivyoada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Legacy ya kutuibia?Wapigaji wamerudi kwa kasi ili mambo yao yaende kazi ni moja kuua legacy yote ya mwendazake alafu waanze kupiga kama ilivyoada
labda yesuNi Magufuli huyo huyo mwezi December mwaka jana aliyetuambia kuwa ameongea na Rais wa China kwa kirefu sana na kumsihi sana aje Tanzania kuwekeza kwenye miundo mbinu, SGR, Mabwawa ya umeme nk.
Na kusisitiza Magufuli alisema wachina ni rafiki zetu wa kweli, toka enzi za uhuru na kamwe hatupaswi kuwaacha!
Kipi leo cha ajabu wanasiasa wa CCM wakisema mchina aje kuwekeza Tz?
Akija mzungu (beberu) mnasema anatudhulumu, akija mchina mnasema anatuibia, tukisema wazawa (wabongo) tujaribu mnasema wababaishaji, tukiiachia serikali yenyewe mnasema viongozi ni mafisadi, sasa aje nani?
MATAGA wameshachanganyikiwaNimesoma lakini sijaelewa unataka kufikisha ujumbe gani.
Kudadadeeki MATAGA mmekwisha safari hii na bado korona inawaandamaUsimwamini NDUNGAI MNAFIKI na huyu Mama ambae hana anachojua zaidi ya mipasho na taarab
Ashazimwa huyo mtu wenu.SGR, Rufiji Dam ni picha tu zile....[emoji1787]
CAG kaamua kishabiki kusema bila aibu akiwa na watendaji wale wale....akitaka kujikomba kwa mama kumbe anachotwa akili!
wa kujiuzulu sio PM tu hata Rais!!!!
Hakuna namna watamzima kirais JPM, he is here to stay with us for long long time
Kwamba amesingizia kwenye ripoti?Binafsi huyu CAG simuamini kamwe...
Majizi wakubwa sana wa rasilimali za watanzaniaSGR, Rufiji Dam ni picha tu zile....[emoji1787]
CAG kaamua kishabiki kusema bila aibu akiwa na watendaji wale wale....akitaka kujikomba kwa mama kumbe anachotwa akili!
wa kujiuzulu sio PM tu hata Rais!!!!
Hakuna namna watamzima kirais JPM, he is here to stay with us for long long time
MATAGA, CHAWA, waramba miguu mmebakia mnalia lia tuMkuu mwanakijiji umewaza peke yako hiki ulichoandika kwa watu wengi wamebebwa na mdundiko hawawezi kukuelewa lakini ni point kali sana!
Ni kikundi cha propaganda kinaendeleza propaganda yani wanapindisha maneno nahawakuanza leo. Prof Assad alisea 1.5 tillion hazionekani zilipo, eti mwenda zake akamuuliza eti report yako inasema kuna wizi wa 1.5 tilion? Assad akajibu hapana.wazee wa ku twist maneno washajiwekea mawazo yao kichwani kua kwa hoja walizonazo ni ngumu kumshawishi mtu kua jpm alikua fair na ndio maana watetezi wake wanapindisha maneno
Tunao mfano wa Kadata : The guy is the most efficient and very innovative in tax collection, na hata miradi Mikubwa Mwendazake he begun to finance during Kadata tenure, Prucurement of new aircrafts, Nyerere dam financing conception and etc. Lakini ana mkono mrefu.Elimu bure ni sera ya zamani sana ,tangu uchaguzi wa mwaka 2000 ,wapinzani walishalisema hili. Hii haiwezi kuwa hoja kwa sasa. Tafuteni namna ya kumtetea mtu wenu.
acha udiniSubiri kidogo, miradi yote tunayoiona itasimama, ndipo utajua tofauti kati ukweli na uongo. Kati ya Rais na mwimba taarabu.
Awamu zote za marais waislam nchi hii huyumba sana. Subiri tu ujionee.
Majizi kutoka nje ya chama au walewale kama Pombe?Hakika Chief!
Kuna mpango wa majizi kurudi kutumalizia hili Taifa kabisa
Na. M. M. Mwanakijiji
Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.
Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.
Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.
Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.
Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Umeandika kama umechanganyikiwa! Hakueleweki unamaanisha nini..Ni kama uliandika huku unalia! Kwasababu hata hoja unazosema hazipo, unavyosema miradi mliyoambiwa imefanyika kumbe haijafanyika! Hakuna mtu yoyote aliyesema miradi haijafanyika, bali imefanyika lakin kuna ufisadi mkubwa sana humo. Na hilo ni wazi. Kila mtu anajua mwendazake alikuwa hataki kusikia kitu kingine zaidi ya sifa, hivyo hata kumtoa Assad kumuingiza Kichere alikuwa anataka amuweke mtu anaemmudu. Usijisahaulishe chini ya Magu ofisi ya CAG ilipunguziwa bajeti yake ili isifanye kazi ya kuchimba kwa kina madudu ya Magu. UsijisahaulisheNa. M. M. Mwanakijiji
Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.
Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.
Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.
Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.
Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Kuna mambo mazuri yaliyofanyika chini ya utawala wa awamu ya 5 lakini ukweli ni kuwa mafanikio madogo yalipigiwa propaganda kubwa ili yaonekane makubwa ya ajabu.Na. M. M. Mwanakijiji

wanajinafasi kwa unafki ila nafsi zinawasutaNi kikundi cha propaganda kinaendeleza propaganda yani wanapindisha maneno nahawakuanza leo. Prof Assad alisea 1.5 tillion hazionekani zilipo, eti mwenda zake akamuuliza eti report yako inasema kuna wizi wa 1.5 tilion? Assad akajibu hapana.
Na alifanya kusudi tu maana Assa hakusema zimeibwa ila alisema matumizi yake hayajulikani.
Sasa wanataka kutumia popaganda kuishusha report ya CAG kwa kugeuza maneno na wajinga wajinga watawaamini.
Hakuna aliyefisadi kwenye utawala wa Magufuli,watu hawajaelewa tu, ilikuwa ni hela ilikuwa ikihitajika site ilitoka on time na ilifika site on time bila ya kufuata taratibu. Magufuli aliamini sheria zilizopo ni mbovu zinachelewesha maendeleo.Na. M. M. Mwanakijiji
Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.
Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.
Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.
Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.
Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Tukusanye kodi kwa akili sio nguvu, hahahaaa hapo unategemea nini mkuuu tayari mwendo wa kinyonga umeanza.Anachojaribu kusema ni hiki
Kama Magufuli alikuwa nduli, fashisti na fisadi basi alikuwa mzuri. Mtu Fisadi anakwapua pesa halafu anapeleka umeme kila kijiji na Elimu bure nchi nzima na zahanati nchi nzima na miradi ya barabara nk hadi vichochoroni. Mistendi kibao hadi mingine inaitwa stendi ya Ndugai hilo fisadi na fashisti na nduli wananchi tunalikubali sababu lilikuwa linakwapua na kuwapelekea wanyonge miradi kibao.
Lingebaki liendelee kufisadi na kupelekea wanyonge
Haya tunasubiri msio nduli na mafashisti na msio mafisadi tuone kama spidi ya maendeleo kwa wanyonge ya hilo nduli,fashisti na fisadi tuone kama spidi hiyo mtaiweza.Tuone nani zaidi kati ya nduli fashisti na Fisadi Papa Magufuli na ambao sio nani zaidi .Wanyonge ndio watakuwa mahakimu kwa hili