Kama Kinana ( Makamu Mwenyekiti CCM Bara ) katoa tu Tamko kwa 'Matrafiki' limetendeka, tunamuomba atoe na 'Matamko' na huku pia.....

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Aamrishe aliyewadanganya Watanzania katika 23.3% ya Mishahara akamatwe upesi na ashtakiwe afungwe Jela kabisa.

2. Aamrishe wale Wote waliofanya na Wanaofanya Uharamia wa Wanyama katika Mbuga zetu na Kusafirisha Nyara zao ( Ivory and Tusks ) si tu Wakamatwe upesi bali Wauwawe kabisa hata kama kwa sasa ni Wazee wa ( above 70's ) huko.

3. Aamrishe wale Viongozi Wote ambao Watoto wao au Ndugu zao walifanya sana Biashara za Dawa za Kulevya kuanzia mwaka 2005 hadi Leo ( mwaka 2022 ) Wakamatwe na Wauwawe kabisa.

4. Aamrishe kuwa ni Mwiko kwa Viongozi kuingia Madarakani ( Ofisini ) na Kubadilisha Safu aliyoikuta ( Watu aliowakuta ) kwa Chuki zake tu Binafsi.

5. Aamrishe ukishakuwa tu Kiongozi Mstaafu basi usiwe Unawashwawashwa kujifanya Wewe ni Mshauri Mkuu wa aliyeko na unataka aongoze Kipumbavu kama alivyoongoza Yeye.

6. Aamrishe ni Marufuku kwa Viongozi kuwa Wanywa Mvinyo ( Wine ) Kisirisiri na kwamba watumie muda Wao mzuri wa Usiku kwa Kulala na siyo Kukesha na Glasi ya Wine ( Mvinyo ) huku wakimsoma tu GENTAMYCINE wa Jamiiforums hapa.

7. Aamrishe Uchunguzi ufanyike upesi juu ya Vifo vya haraka vya Mr. 1995-2005 na Mr. 2015-2021 kisha kupotea kwa akina Ben Saanane na Azory Gwanda kisha wale Wote waliohusika na Tukio la Kushambuliwa kwa Ndugu Tundu Lissu na Watakaobainika Wote Wakamatwe na Wauwawe na kama Wahusika wengine Wameshakufa basi Watanzania turuhusiwe tukayapige Viboko Makaburi yao ili tumalize Hasira zetu.

Yangu Mimi GENTAMYCINE kwa Kamarada ( Comrade ) Mzee Kinana ( Makamu Mwenyekiti CCM Bara ) ni haya Saba ( 7 ) tu ila nawaachia na Watanzania wengine nao wamuombe Mahitaji yao kwani anaonekana Yeye akiamrisha tu Jambo basi haraka sana linasikilizwa na kufanyiwa Kazi na Wahusika ( Watendaji ) wa Kimamlaka.
 
Mengi ninakubaliana nawe ingawa tunatofautiana kwenye Death sentence, hii adhabu ni ya kishenzi na haina tija yeyote, ni Sawa na rape ni 30yrs in jail lakini kila siku rape zimetamalaki nchini, Mr.Kinana ni politicians mwenye kutoa matamko ya kuvutia ILA yasiyotekelezeka,ninataka niende nikazibue masikio maana nimesikia(Sina hakika) anataka njia 8 kati ya Tunduma border post na Dar es Salaam!!!,looo ngoja nitafute ulanzi ninywe hapa lingusenguse
 
Jaman tukubaliane tuu..Tanzania hii..ukiwa smart sana afu ukawa mfatiliaji wa mambo ndani ya hii nchi..tegemea haya..kuwa kichaa..kukata tamaa..kuwa masikini...kuwapa elimu au mchanganuo kwa wasiojielewa kwa yanayotendeka na tena watakusikiliza vizur tu (wamekuzid kipato)..nk sasa basi cha kufanya hapa pambana uwezavyo familia yako ipate kuishi...hii nchi tuipende tuu..
 
Karibu mkuu huku Lingusenguse tunywe ulazi na tuangalie live hii commonwealth games, hapa ni hockey game Ghana vs England, Ghana wanakipiga sana ingawa wapo 3-0 down na keeper wao yupo safi, na nchi yetu tumeshachukua 5 gold medals 🏅 welldone!!
 
Mengi ninakubaliana nawe ingawa tunatofautiana kwenye Death sentence, hii adhabu ni ya kishenzi na haina tija yeyote, ni Sawa na rape ni 30yrs in jail lakini kila siku rape zimetamalaki nchini, Mr.Kinana ni politicians mwenye kutoa matamko ya kuvutia ILA yasiyotekelezeka,ninataka niende nikazibue masikio maana nimesikia(Sina hakika) anataka njia 8 kati ya Tunduma border post na Dar es Salaam!!!,looo ngoja nitafute ulanzi ninywe hapa lingusenguse
TANROADS mbona wameshaingia site kufanya design ya hiyo Barabara...! Mh Kinana TOA tamko nchi ifanye kazi

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Jaman tukubaliane tuu..Tanzania hii..ukiwa smart sana afu ukawa mfatiliaji wa mambo ndani ya hii nchi..tegemea haya..kuwa kichaa..kukata tamaa..kuwa masikini...kuwapa elimu au mchanganuo kwa wasiojielewa kwa yanayotendeka na tena watakusikiliza vizur tu (wamekuzid kipato)..nk sasa basi cha kufanya hapa pambana uwezavyo familia yako ipate kuishi...hii nchi tuipende tuu..

Si unaona Lisu kapata ulemavu kuwatetea wasiohitaji kutetewa.Mbowe kapata misukosuko kuwatetea wasiohitaji kutetewa.
 
TANROADS mbona wameshaingia site kufanya design ya hiyo Barabara...! Mh Kinana TOA tamko nchi ifanye kazi

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Ohooooo my God, lini ulisikia kuwa Ile T1 inayopita kati kati ya Green City itachepushwa ipite nje ya jiji?,5yrs ago or 10yrs ago?,panua wigo wako wa kuelewa issues ili usidanganywe kirahisi
 
1. Aamrishe aliyewadanganya Watanzania katika 23.3% ya Mishahara akamatwe upesi na ashtakiwe afungwe Jela kabisa.

2. Aamrishe wale Wote waliofanya na Wanaofanya Uharamia wa Wanyama katika Mbuga zetu na Kusafirisha Nyara zao ( Ivory and Tusks ) si tu Wakamatwe upesi bali Wauwawe kabisa hata kama kwa sasa ni Wazee wa ( above 70's ) huko.

3. Aamrishe wale Viongozi Wote ambao Watoto wao au Ndugu zao walifanya sana Biashara za Dawa za Kulevya kuanzia mwaka 2005 hadi Leo ( mwaka 2022 ) Wakamatwe na Wauwawe kabisa.

4. Aamrishe kuwa ni Mwiko kwa Viongozi kuingia Madarakani ( Ofisini ) na Kubadilisha Safu aliyoikuta ( Watu aliowakuta ) kwa Chuki zake tu Binafsi.

5. Aamrishe ukishakuwa tu Kiongozi Mstaafu basi usiwe Unawashwawashwa kujifanya Wewe ni Mshauri Mkuu wa aliyeko na unataka aongoze Kipumbavu kama alivyoongoza Yeye.

6. Aamrishe ni Marufuku kwa Viongozi kuwa Wanywa Mvinyo ( Wine ) Kisirisiri na kwamba watumie muda Wao mzuri wa Usiku kwa Kulala na siyo Kukesha na Glasi ya Wine ( Mvinyo ) huku wakimsoma tu GENTAMYCINE wa Jamiiforums hapa.

7. Aamrishe Uchunguzi ufanyike upesi juu ya Vifo vya haraka vya Mr. 1995-2005 na Mr. 2015-2021 kisha kupotea kwa akina Ben Saanane na Azory Gwanda kisha wale Wote waliohusika na Tukio la Kushambuliwa kwa Ndugu Tundu Lissu na Watakaobainika Wote Wakamatwe na Wauwawe na kama Wahusika wengine Wameshakufa basi Watanzania turuhusiwe tukayapige Viboko Makaburi yao ili tumalize Hasira zetu.

Yangu Mimi GENTAMYCINE kwa Kamarada ( Comrade ) Mzee Kinana ( Makamu Mwenyekiti CCM Bara ) ni haya Saba ( 7 ) tu ila nawaachia na Watanzania wengine nao wamuombe Mahitaji yao kwani anaonekana Yeye akiamrisha tu Jambo basi haraka sana linasikilizwa na kufanyiwa Kazi na Wahusika ( Watendaji ) wa Kimamlaka.
Popoma hapo unawasaga nyongo Lumumba wenzangu.
 
Ni GENTAMYCINE kama GENTAMYCINE huyu
 
Mipaka yake ni huko huko, kwingine hana hiyo jeuri.
 
8.yeye mwenyewe anyongwe pia
9.namba 7 nakazia
ila nchi hii ni hatari aisee , mtu unakufa TU na inaisha na hakuna lolote
 
Back
Top Bottom