GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Aamrishe aliyewadanganya Watanzania katika 23.3% ya Mishahara akamatwe upesi na ashtakiwe afungwe Jela kabisa.
2. Aamrishe wale Wote waliofanya na Wanaofanya Uharamia wa Wanyama katika Mbuga zetu na Kusafirisha Nyara zao ( Ivory and Tusks ) si tu Wakamatwe upesi bali Wauwawe kabisa hata kama kwa sasa ni Wazee wa ( above 70's ) huko.
3. Aamrishe wale Viongozi Wote ambao Watoto wao au Ndugu zao walifanya sana Biashara za Dawa za Kulevya kuanzia mwaka 2005 hadi Leo ( mwaka 2022 ) Wakamatwe na Wauwawe kabisa.
4. Aamrishe kuwa ni Mwiko kwa Viongozi kuingia Madarakani ( Ofisini ) na Kubadilisha Safu aliyoikuta ( Watu aliowakuta ) kwa Chuki zake tu Binafsi.
5. Aamrishe ukishakuwa tu Kiongozi Mstaafu basi usiwe Unawashwawashwa kujifanya Wewe ni Mshauri Mkuu wa aliyeko na unataka aongoze Kipumbavu kama alivyoongoza Yeye.
6. Aamrishe ni Marufuku kwa Viongozi kuwa Wanywa Mvinyo ( Wine ) Kisirisiri na kwamba watumie muda Wao mzuri wa Usiku kwa Kulala na siyo Kukesha na Glasi ya Wine ( Mvinyo ) huku wakimsoma tu GENTAMYCINE wa Jamiiforums hapa.
7. Aamrishe Uchunguzi ufanyike upesi juu ya Vifo vya haraka vya Mr. 1995-2005 na Mr. 2015-2021 kisha kupotea kwa akina Ben Saanane na Azory Gwanda kisha wale Wote waliohusika na Tukio la Kushambuliwa kwa Ndugu Tundu Lissu na Watakaobainika Wote Wakamatwe na Wauwawe na kama Wahusika wengine Wameshakufa basi Watanzania turuhusiwe tukayapige Viboko Makaburi yao ili tumalize Hasira zetu.
Yangu Mimi GENTAMYCINE kwa Kamarada ( Comrade ) Mzee Kinana ( Makamu Mwenyekiti CCM Bara ) ni haya Saba ( 7 ) tu ila nawaachia na Watanzania wengine nao wamuombe Mahitaji yao kwani anaonekana Yeye akiamrisha tu Jambo basi haraka sana linasikilizwa na kufanyiwa Kazi na Wahusika ( Watendaji ) wa Kimamlaka.