Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Wewe bilashaka utakuwa mpwa wa Biteko kama hao unaosema wana wajomba TANESCO. Mbona unamtetea sana? Taasisi ikifeli hatuangalii mtumishi wa chini, tunamuangalia kiongozi kwasababu kiongozi ndio mbeba maonoKwa hiyo hiyo hitilafu imeletwa na Dkt.Buteko? Mbona mnashindwa kusema ukweli kwamba TANESCO na menejimenti yao ndio wanatakiwa kuwajibika? Au mna wajomba zenu TANESCO mnaona mtaharibia vibarua?
CCM ya leo hakuna mwenye ubavu huo.Taifa limekosa umeme kwa zaidi ya masaa 15. Dotto Biteko yupo kimya tu anakula bata kwa kupanda Mashingingi. Eti itilafu ya umeme? Itilafu gani ya kurekebishwa kwa masaa 24?
Mbona hapo awali January Makamba akiwa waziri wa Nishati alituaminisha kuwa Mgao wa umeme ulikuwa sababu ya miundombinu kuchakaa na akasema zitatumika zaidi ya bil 40 kuikarabati. Sasa hizi hitilafu za miundo mbinu kukarabatiwa masaa 15 zinatoka wapi?
Wajibikeni na ikibidi mjiuzulu maana leo mmetuletea hasara tu
Kwani coach akiwajibishwa kwa matokeo mabaya ya team, yeye ndio huwa anacheza uwanjani? Chawa unakwama wapi?Kwa hiyo hiyo hitilafu imeletwa na Dkt.Buteko? Mbona mnashindwa kusema ukweli kwamba TANESCO na menejimenti yao ndio wanatakiwa kuwajibika? Au mna wajomba zenu TANESCO mnaona mtaharibia vibarua?
Aombe msamaha wajinga? Taifa lina asilimia 90 ya wajinga ndio hao awaombe msamaha?Taifa limekosa umeme kwa zaidi ya masaa 15. Dotto Biteko yupo kimya tu anakula bata kwa kupanda Mashingingi. Eti itilafu ya umeme? Itilafu gani ya kurekebishwa kwa masaa 24?
Mbona hapo awali January Makamba akiwa waziri wa Nishati alituaminisha kuwa Mgao wa umeme ulikuwa sababu ya miundombinu kuchakaa na akasema zitatumika zaidi ya bil 40 kuikarabati. Sasa hizi hitilafu za miundo mbinu kukarabatiwa masaa 15 zinatoka wapi?
Wajibikeni na ikibidi mjiuzulu maana leo mmetuletea hasara tu
Alafu ndio walikua wanasema Sijui Biteko ndio kingpin wa kanda ya ziwa mara sijui anaandaliwa kuwa rais n.k? hawa jamaa wa CCM huwa wako overrated sana kuliko uwezo wao.Kwani coach akiwajibishwa kwa matokeo mabaya ya team, yeye ndio huwa anacheza uwanjani? Chawa unakwama wapi?
Kamanda tupo pamoja. Umempa makavuKwani coach akiwajibishwa kwa matokeo mabaya ya team, yeye ndio huwa anacheza uwanjani? Chawa unakwama wapi?
Pale hatuna SpikaWaliongezwa muda wakukata umeme na bi.Tulia hawana presha
Ila kweliAombe msamaha wajinga? Taifa lina asilimia 90 ya wajinga ndio hao awaombe msamaha?
Tunachezewa TuSijasoma mada ila nimesikitika sana
Wewe achatu. Wanashinda mitandaoni wakituma vikatuni. Mkuu wa mhimili huyoPale hatuna Spika
Jpm ndiye alilazimisha huyo Dada....tulipigwaWewe achatu. Wanashinda mitandaoni wakituma vikatuni. Mkuu wa mhimili huyo
Mkuu niamini mimi Tanganyika TAALUMA na UTAALAMU huwa havifanyi kazi,kinachofanya kazi ni matamko na 10%. Sijui umenielewa?Hiyo wizara kwa mtazamo wangu inatakiwa ipate watu wanaojua mambo ya umeme kwelikweli, yani wawe nondo kwenye sekta ya nishati kuanzia waziri, naibu wake na katibu mkuu. Nina mashaka kuna siasa nyingi humo ndani na waziri anapigwa changa la macho kwakuwa hajui hayo mambo.