Kama Kiongozi anayewajibika nilitarajia Dotto Biteko Naibu Waziri Mkuu kuomba radhi watanzania au kujiuzulu

Kama Kiongozi anayewajibika nilitarajia Dotto Biteko Naibu Waziri Mkuu kuomba radhi watanzania au kujiuzulu

Taifa limekosa umeme kwa zaidi ya masaa 15. Dotto Biteko yupo kimya tu anakula bata kwa kupanda Mashingingi. Eti itilafu ya umeme? Itilafu gani ya kurekebishwa kwa masaa 24?

Mbona hapo awali January Makamba akiwa waziri wa Nishati alituaminisha kuwa Mgao wa umeme ulikuwa sababu ya miundombinu kuchakaa na akasema zitatumika zaidi ya bil 40 kuikarabati. Sasa hizi hitilafu za miundo mbinu kukarabatiwa masaa 15 zinatoka wapi?

Wajibikeni na ikibidi mjiuzulu maana leo mmetuletea hasara tu
Kwa kweli wananchi wameteseka
Mno!
Tena wakati wa siku kuu jamani?! 😒😏
 
Back
Top Bottom