Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli wananchi wametesekaTaifa limekosa umeme kwa zaidi ya masaa 15. Dotto Biteko yupo kimya tu anakula bata kwa kupanda Mashingingi. Eti itilafu ya umeme? Itilafu gani ya kurekebishwa kwa masaa 24?
Mbona hapo awali January Makamba akiwa waziri wa Nishati alituaminisha kuwa Mgao wa umeme ulikuwa sababu ya miundombinu kuchakaa na akasema zitatumika zaidi ya bil 40 kuikarabati. Sasa hizi hitilafu za miundo mbinu kukarabatiwa masaa 15 zinatoka wapi?
Wajibikeni na ikibidi mjiuzulu maana leo mmetuletea hasara tu
Huwa unanikubali sana basi tu.Kwani coach akiwajibishwa kwa matokeo mabaya ya team, yeye ndio huwa anacheza uwanjani? Chawa unakwama wapi?