Kama kiongozi mkristo akiwa mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi, akitubu dhambi zake anasamehewa basi tuna safari ndefu sana

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Nashindwa kuelewa labda mnielimishe,

kwa ninavyojua kwenye ukristo dhambi zote zinasamehewa.

Sasa akitokea kiongozi mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi anaeumiza na kuwaachia majoni watu wengi pamoja na umasikini.

Je, toba hata kama ni ya kweli iliyotoka moyoni inatosha kufuta madhara ya dhambi ambazo zimeumiza watu wengi kwa kiwango cha kutisha ?

Kiongozi ameiba misaada ya afya, fedha zilizopaswa kununua dawa, vifaa vya hospitali na kulipa madaktari. Wakati anajinufaisha, wagonjwa wengi sana wamekufa kwa magonjwa yanayotibika, Kina mama walipoteza maisha wakijifungua, Anapofikia mwisho wa maisha, anasema ametubu.

Kiongozi ameuwa au kuamuru kuuawa kwa wakosoaji ambao ni baba wa familia. Watoto wameachwa bila mwelekeo. watoto wake wakitumbukia mitaani, wakiishia kuwa vibaka, mateja, au wauzaji wa miili. Baadhi yao sasa ni majambazi wanaoua wengine kwa sababu ya kosa la mtu mmoja tu. Kisha huyo kiongozi anakuja mbele ya madhabahu na kusema, “Nimetubu.”

Kiongozi amewateka watu waliokuwa wakipigania haki, kuwapiga, kuwatesa na kaamuru waingiliewe kinyume na maumbile ili kuwavunjia heshima ya utu wao, wengine hadi kufa. Familia zao hazijui walipo, watoto wanalelewa na machozi. Akija mbele ya Kanisa au Padre, anasema, “Mimi ni mtu mpya sasa.”
 
Kwani Unataka kusema nini ..?

Swali zuri, ila ondoa neno mkristo hapo swali litanoga zaidi na wachangiaji watakuwa na uwanda mpana wa majibu.!
 
Nashindwa kuelewa labda mnielimishe,

kwa ninavyojua kwenye ukristo dhambi zote zinasamehewa.

Sasa akitokea kiongozi mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi anaeumiza na kuwaachia majoni watu wengi pamoja na umasikini.

Je, akitubu dhambi zake anasamehewa ?
mbona ww unazinigi na kukesha kwenye ule uzi wa kimasikhara lkn ukitubu unasamehewa"........hakuna dhambi isiyosameheka.
 
Anasamehewa na nani
 
mbona ww unazinigi na kukesha kwenye ule uzi wa kimasikhara lkn ukitubu unasamehewa"........hakuna dhambi isiyosameheka.
Naomba tuwe serious kidogo tuongelee katika upana wa watu wengi kuathirika

Kiongozi ameiba misaada ya afya, watu wanateseka kwa magonjwa mpaka anavyotubu hadi kufa

Kiongozi ameua baba wa familia nyingi, watoto wapo mitaani hawana malezi wanaishia kuwa vibaka na wateja wa dawa za kulevya

Kiongozi anateka na kuwapa mateso makali watu kwa kutetea madaraka yake kinguvu

Toba pekee hata kama ni ya kweli inamfutia makosa yake ?
 
Nashindwa kuelewa labda mnielimishe,

kwa ninavyojua kwenye ukristo dhambi zote zinasamehewa.

Sasa akitokea kiongozi mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi anaeumiza na kuwaachia majoni watu wengi pamoja na umasikini.

Je, akitubu dhambi zake anasamehewa ?
Dini ni Scam
 
Mtu akiwa muuaji, akatubu, anatubu kwa nani? Kama ametubu kwa Mungu wake na akasamehewa, wewe inakusumbua nini?

Kwanini unahusisha ukristu na utekaji? Hawa wenye dini ambao sio wakristu na watu wanatekwa nao tusemaje?

Nashindwa kuelewa labda mnielimishe,

kwa ninavyojua kwenye ukristo dhambi zote zinasamehewa.

Sasa akitokea kiongozi mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi anaeumiza na kuwaachia majoni watu wengi pamoja na umasikini.

Je, akitubu dhambi zake anasamehewa ?
 
Naomba tuwe serious kidogo tuongelee katika upana wa watu wengi kuathirika

Kiongozi ameiba misaada ya afya, watu wanateseka kwa magonjwa mpaka anavyotubu hadi kufa

Kiongozi ameua baba wa familia nyingi, watoto wapo mitaani hawana malezi wanaishia kuwa vibaka na wateja wa dawa za kulevya

Kiongozi anateka na kuwapa mateso makali watu kwa kutetea madaraka yake kinguvu

Toba pekee hata kama ni ya kweli inamfutia makosa yake ?
hakuna dhambi isiyosamehewa"......daudi alizin na mke wa uria kisha akamuua uria ili kuficha kosa lake.......lkn alipotubu alisamehewa ............hii haituchochei tutende maovu lah bali inatoa matumain kwa kil mtu ambaye anajihis yeye n mtenda maov kuwa msamaha upo haikilish nn.....

Isaya 1:18
[18]Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.
Come now, and let us reason together, saith the LORD: though your sins be as scarlet, they shall be as white as snow; though they be red like crimson, they shall be as wool.
 
Nashindwa kuelewa labda mnielimishe,

kwa ninavyojua kwenye ukristo dhambi zote zinasamehewa.

Sasa akitokea kiongozi mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi anaeumiza na kuwaachia majoni watu wengi pamoja na umasikini.

Je, toba hata kama ni ya kweli iliyotoka moyoni inatosha kufuta madhara ya dhambi ambazo zimeumiza watu wengi kwa kiwango cha kutisha ?

Kiongozi ameiba misaada ya afya, fedha zilizopaswa kununua dawa, vifaa vya hospitali na kulipa madaktari. Wakati anajinufaisha, wagonjwa wengi sana wamekufa kwa magonjwa yanayotibika, Kina mama walipoteza maisha wakijifungua, Anapofikia mwisho wa maisha, anasema ametubu.

Kiongozi ameuwa au kuamuru kuuawa kwa wakosoaji ambao ni baba wa familia. Watoto wameachwa bila mwelekeo. watoto wake wakitumbukia mitaani, wakiishia kuwa vibaka, mateja, au wauzaji wa miili. Baadhi yao sasa ni majambazi wanaoua wengine kwa sababu ya kosa la mtu mmoja tu. Kisha huyo kiongozi anakuja mbele ya madhabahu na kusema, “Nimetubu.”

Kiongozi amewateka watu waliokuwa wakipigania haki, kuwapiga, kuwatesa na kaamuru waingiliewe kinyume na maumbile ili kuwavunjia heshima ya utu wao, wengine hadi kufa. Familia zao hazijui walipo, watoto wanalelewa na machozi. Akija mbele ya Kanisa au Padre, anasema, “Mimi ni mtu mpya sasa.”
Mjomba; unatuuliza sisi kana kwamba ndo tunaotoaga hiyo misamaha? Ingekuwa heri usikie sauti yake na usifanye mgumu moyo wako. Kuwa na ujasiri ukawulize yeye binafsi akuoneshe mipaka ya msamaha wake i.e. masharti na vigezo vinavyozingatiwa. - Sisi unatuonea bure.
 
Nashindwa kuelewa labda mnielimishe,

kwa ninavyojua kwenye ukristo dhambi zote zinasamehewa.

Sasa akitokea kiongozi mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi anaeumiza na kuwaachia majoni watu wengi pamoja na umasikini.

Je, toba hata kama ni ya kweli iliyotoka moyoni inatosha kufuta madhara ya dhambi ambazo zimeumiza watu wengi kwa kiwango cha kutisha ?

Kiongozi ameiba misaada ya afya, fedha zilizopaswa kununua dawa, vifaa vya hospitali na kulipa madaktari. Wakati anajinufaisha, wagonjwa wengi sana wamekufa kwa magonjwa yanayotibika, Kina mama walipoteza maisha wakijifungua, Anapofikia mwisho wa maisha, anasema ametubu.

Kiongozi ameuwa au kuamuru kuuawa kwa wakosoaji ambao ni baba wa familia. Watoto wameachwa bila mwelekeo. watoto wake wakitumbukia mitaani, wakiishia kuwa vibaka, mateja, au wauzaji wa miili. Baadhi yao sasa ni majambazi wanaoua wengine kwa sababu ya kosa la mtu mmoja tu. Kisha huyo kiongozi anakuja mbele ya madhabahu na kusema, “Nimetubu.”

Kiongozi amewateka watu waliokuwa wakipigania haki, kuwapiga, kuwatesa na kaamuru waingiliewe kinyume na maumbile ili kuwavunjia heshima ya utu wao, wengine hadi kufa. Familia zao hazijui walipo, watoto wanalelewa na machozi. Akija mbele ya Kanisa au Padre, anasema, “Mimi ni mtu mpya sasa.”

Umesema "Kama kiongozi mkristo........" Hebu utupe walau kidogo kuhusu kwa kiongozi asiyekuwa mkristo inakuwaje.​

Sisi Wakatoliki ukiishafanya Penitency imeenda hiyo!
 
Yep! "Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo.......(Mt.11:28-30) tena mahali pengine inasema Haya njoni tusemezane.................. hata zingekuwa nyekundu kama bendera.....(Isaya 1:18)
 
Naomba tuwe serious kidogo tuongelee katika upana wa watu wengi kuathirika

Kiongozi ameiba misaada ya afya, watu wanateseka kwa magonjwa mpaka anavyotubu hadi kufa

Kiongozi ameua baba wa familia nyingi, watoto wapo mitaani hawana malezi wanaishia kuwa vibaka na wateja wa dawa za kulevya

Kiongozi anateka na kuwapa mateso makali watu kwa kutetea madaraka yake kinguvu

Toba pekee hata kama ni ya kweli inamfutia makosa yake ?

Inawezekana hunui kanuni ya msamaha kwa kadiri ya maagizo ya Mungu na mitume wake.
Unaambiwa kuwa ukitaka kupata msamaha:
1. Kama uliiba au ulidhulumu, karudishe ulichokiiba au ulichodhulumu.
2. Kama ulimharibia mtu heshima yake, nenda ukamwombe msamaha.

3. Kama umegombana na nduguyo, kamwombe msamaha, kisha ukamwombe msamaha Mungu.
NB. Dhhambi zote zinazofanywa dhidi ya mwanadamu, zinamwumiza na kumleta madhara uliyemkosea, hata pengine kumwondolea uhai wake. Lakini, pamoja na madhara hayo, hakuna dhambi isiyosameheka mbele za Mungu alimradi umeamua kubadili mwenendo wako, na kuamua kumfuata Yeye. Dhambi pekee isiyosameheka ni kumkufuru Roho Mtakatifu.
 
Back
Top Bottom