Soma upya uzi, je atasemehewa ?Kwani Unataka kusema nini ..?
Swali zuri, ila ondoa neno mkristo hapo swali litanoga zaidi na wachangiaji watakuwa na uwanda mpana wa majibu.!
mbona ww unazinigi na kukesha kwenye ule uzi wa kimasikhara lkn ukitubu unasamehewa"........hakuna dhambi isiyosameheka.Nashindwa kuelewa labda mnielimishe,
kwa ninavyojua kwenye ukristo dhambi zote zinasamehewa.
Sasa akitokea kiongozi mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi anaeumiza na kuwaachia majoni watu wengi pamoja na umasikini.
Je, akitubu dhambi zake anasamehewa ?
Anasamehewa na naniNashindwa kuelewa labda mnielimishe,
kwa ninavyojua kwenye ukristo dhambi zote zinasamehewa.
Sasa akitokea kiongozi mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi anaeumiza na kuwaachia majoni watu wengi pamoja na umasikini.
Je, akitubu dhambi zake anasamehewa ?
Naomba tuwe serious kidogo tuongelee katika upana wa watu wengi kuathirikambona ww unazinigi na kukesha kwenye ule uzi wa kimasikhara lkn ukitubu unasamehewa"........hakuna dhambi isiyosameheka.
Dini ni ScamNashindwa kuelewa labda mnielimishe,
kwa ninavyojua kwenye ukristo dhambi zote zinasamehewa.
Sasa akitokea kiongozi mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi anaeumiza na kuwaachia majoni watu wengi pamoja na umasikini.
Je, akitubu dhambi zake anasamehewa ?
Quran ndo kitabu pekee kisicho nashaka silimuni!Watu wanaompenda Mungu ni wale wanaosoma Biblia lakini wale waliosoma Biblia na kuielewa ndiyo watakubaliana na Mimi kuwa Biblia Ina mkanganyiko sana
Ni ngumu kumeza ko maana yake ukauze then urudi kwenye ufukara maana kwamba ukiwa tajiri hawez kukupokea na mbona makanisan matajiri ndo wanaopendelewa na kupewa vyeoMkuu kauli ya yesu ni Moja tu.
Nenda ukauze vyote ulivyo uwagawie masikini Kisha unifuate.
Hao waislam sasa ni mtihani mkubwa sanaQuran ndo kitabu pekee kisicho nashaka silimuni!
Sina nachojua kuhusu Quaran ila haya Mambo ya dini nadhani kila mtu huvutia upande wakeQuran ndo kitabu pekee kisicho nashaka silimuni!
Nashindwa kuelewa labda mnielimishe,
kwa ninavyojua kwenye ukristo dhambi zote zinasamehewa.
Sasa akitokea kiongozi mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi anaeumiza na kuwaachia majoni watu wengi pamoja na umasikini.
Je, akitubu dhambi zake anasamehewa ?
hakuna dhambi isiyosamehewa"......daudi alizin na mke wa uria kisha akamuua uria ili kuficha kosa lake.......lkn alipotubu alisamehewa ............hii haituchochei tutende maovu lah bali inatoa matumain kwa kil mtu ambaye anajihis yeye n mtenda maov kuwa msamaha upo haikilish nn.....Naomba tuwe serious kidogo tuongelee katika upana wa watu wengi kuathirika
Kiongozi ameiba misaada ya afya, watu wanateseka kwa magonjwa mpaka anavyotubu hadi kufa
Kiongozi ameua baba wa familia nyingi, watoto wapo mitaani hawana malezi wanaishia kuwa vibaka na wateja wa dawa za kulevya
Kiongozi anateka na kuwapa mateso makali watu kwa kutetea madaraka yake kinguvu
Toba pekee hata kama ni ya kweli inamfutia makosa yake ?
Mjomba; unatuuliza sisi kana kwamba ndo tunaotoaga hiyo misamaha? Ingekuwa heri usikie sauti yake na usifanye mgumu moyo wako. Kuwa na ujasiri ukawulize yeye binafsi akuoneshe mipaka ya msamaha wake i.e. masharti na vigezo vinavyozingatiwa. - Sisi unatuonea bure.Nashindwa kuelewa labda mnielimishe,
kwa ninavyojua kwenye ukristo dhambi zote zinasamehewa.
Sasa akitokea kiongozi mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi anaeumiza na kuwaachia majoni watu wengi pamoja na umasikini.
Je, toba hata kama ni ya kweli iliyotoka moyoni inatosha kufuta madhara ya dhambi ambazo zimeumiza watu wengi kwa kiwango cha kutisha ?
Kiongozi ameiba misaada ya afya, fedha zilizopaswa kununua dawa, vifaa vya hospitali na kulipa madaktari. Wakati anajinufaisha, wagonjwa wengi sana wamekufa kwa magonjwa yanayotibika, Kina mama walipoteza maisha wakijifungua, Anapofikia mwisho wa maisha, anasema ametubu.
Kiongozi ameuwa au kuamuru kuuawa kwa wakosoaji ambao ni baba wa familia. Watoto wameachwa bila mwelekeo. watoto wake wakitumbukia mitaani, wakiishia kuwa vibaka, mateja, au wauzaji wa miili. Baadhi yao sasa ni majambazi wanaoua wengine kwa sababu ya kosa la mtu mmoja tu. Kisha huyo kiongozi anakuja mbele ya madhabahu na kusema, “Nimetubu.”
Kiongozi amewateka watu waliokuwa wakipigania haki, kuwapiga, kuwatesa na kaamuru waingiliewe kinyume na maumbile ili kuwavunjia heshima ya utu wao, wengine hadi kufa. Familia zao hazijui walipo, watoto wanalelewa na machozi. Akija mbele ya Kanisa au Padre, anasema, “Mimi ni mtu mpya sasa.”

Sisi Wakatoliki ukiishafanya Penitency imeenda hiyo!Nashindwa kuelewa labda mnielimishe,

Yep! "Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo.......(Mt.11:28-30) tena mahali pengine inasema Haya njoni tusemezane.................. hata zingekuwa nyekundu kama bendera.....(Isaya 1:18)Sisi Wakatoliki ukiishafanya Penitency imeenda hiyo!
Naomba tuwe serious kidogo tuongelee katika upana wa watu wengi kuathirika