Kama kiongozi mkristo akiwa mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi, akitubu dhambi zake anasamehewa basi tuna safari ndefu sana


Ingelikua ni bora endapo kama kutubu kwa mtenda dhambi lingekua ni jambo jepesi. Lakini ukweli nikwambia, kutubu kwa mtenda dhambi ni ngumu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano. Mtu hutubu kwa neema ya Mungu tu, si kwa nguvu zake mwenyewe.

Kwa macho ya mwanadamu, ni vigumu kuelewa namna ambavyo muuaji, mtekaji, mtesaji au fisadi anaweza kusamehewa kwa toba. Hii ni kwa sababu dhambi zake zimeacha majeraha makubwa kwa jamii na madhara kwa watu wasiokuwa na hatia. Lakini kwa Mungu, toba ya kweli ni ushindi mkubwa kuliko hukumu ya haraka. Ndiyo maana Yesu alisema: “Furaha kubwa hutokea mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye kuliko kwa wenye haki tisini na tisa wasiohitaji kutubu” (Luka 15:7).

Lakini kumbuka: toba ya kweli si maneno ya haraka mdomoni. Ni safari ya kuvunjika moyo, kukiri makosa, kuacha njia mbaya, na kumrudia Mungu kwa unyenyekevu. Ndiyo maana Biblia inasema, “Moyo uliovunjika na kunyenyekea, Ee Mungu, hutaudharau” (Zaburi 51:17). Kwa hiyo, si kila mtu anayedai ametubu kweli ametubu. Ni Mungu peke yake anayeona moyo.

Kwa hiyo, msamaha wa Mungu haupingi haki. Ikiwa mtu amekuwa fisadi au mtesaji, anaweza kusamehewa rohoni na Mungu, lakini bado akakabiliana na matokeo ya dhambi zake katika maisha haya. Musa alisamehewa kwa kumpiga mwamba badala ya kuusemesha, lakini hakuingia Kanaani (Hesabu 20:12). Hii inatufundisha kuwa msamaha hauondoi matokeo ya dhambi, bali huondoa hukumu ya milele.

Ndiyo maana nasema, ndugu yangu, tuna safari ndefu ya kuelewa msalaba. Toba si jambo la kirahisi, bali ni tendo linalowezekana kwa neema ya Mungu pekee. Na msamaha wa Mungu, ingawa ni wa bure, uligharimu damu ya Yesu msalabani. Hii ndiyo sababu kila anayetubu kwa dhati anapokelewa, kwa sababu si kwa haki yake, bali kwa haki ya Kristo.
 
Elewa kwamba wewe unachanganya vitu viwili.Swala la mwili na Roho,Mtu wa kwanza anatakiwa akusamehe ni yule uliye mkosea. Hapo linakuja swala la kimwili utusamehe makosa yetu kama sisi tunavyo wasamehe walio tukosea.vikwazo nilazima vije lakini ole wake yule anayesababisha hivyo vikwazo.Farao alikufa na dhambi zako pilato alinawa mikono. Zakoyo alirudisha mara Nne kwa watu aliowadhurumu.Mungu hapendi nafsi hata moja ipote jihanamu kwenye ule moto wa milele ambao ameandaliwa shetani na malaika zake.Elewa neno shetani na malaika zake.Je unamjua shetani? Je umeshawaona malaika zake.Nikupe mfano mmoja siku moja kwenye kasino moja watu walikuwa wamejaa tele wanacheza muziki huku watu wanakunywa pombe wengine wanavuta bangi wanafanya mapenzi hadharani.Basi Dj akasema wanangu washetani mikono juu watu wakanyoosha mikono juu.Kesho yake wale wale watu waliokuwa wanafanya vituko kasino wakaenda kanisani Mchungaji akasema wanampenda Yesu wanyooshe mikono nao wakaonyoosha pamoja na waumini wengine.Kwahiyo swala La Rohoni anayejua ni Mungu mwenyewe .ndiyo maana hata yule mwizi aliweza kusamehewa pale msalabani.Ila atakaye uwa kwa upanga naye atauwa kwa upanga na anaye wachimbia mashimo wenzake atatumbukia mwenyewe.Usipo patilizwa wewe kinaweza kikapatilizwa kizazi chako ,siku zote tujitahidi kujitakasa.
 
Anasamehewa kwa kuungama kwa Padre!
 
Hilo ndilo kosa lenu. Mkatoliki ukiungama na kusamehewa dhambi zako, unakuwa huru. Ndiyo maana si ajabu kukuta hata Askofu ana mtoto. Maana akiwa anazini anakuwa ametumbukia katika dhambi. Akiungama anasamehewa hiyo dhambi. Ila kwa bahati mbaya baada ya miezi 9 anazaliwa mtoto. Kidini si mtoto wa Askofu. Kibinadamu ni mtoto wa Askofu.

Ni muhimu kutenganisha haya mambo.
 
Ukijutia, kutubu na kuungama kwa padre na kutimiza malipizi zambi zote zinasemehewa isipokuwa dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu,Hata hivo msamaha wa dhambi siyo rehema kamili,maana yake ukifa lazima ukalipie madhara ya dhambi kabla ya kusafishika na kuingia kwa walioteuliwa.There is no free lunch
 
Hii ni kwa wakristo tena RC
 
Quran ndo kitabu pekee kisicho nashaka silimuni!

JE, HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?

1. Muhammad alizini na kijakazi (Mzinzi Malaya)
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa
Wengi wenu labda hamkuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWE

Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?
MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOA

Sunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Je, kuwa na chagu doa ni sifa ya kiutume?

MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN
Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Je, Muhammad kunyonya ulimi watu wa jinsia yake, ni sifa ya kitume?

MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVI
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA
Je, kula ulabu ni sifa ya kitume?

MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWA
Pia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.
Je, kurogwa ni sifa ya utume?
MASWALI:
(a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
(d) Mtume au nabii gani mwingine alirogwa na akaathirika na uchawi?
Kama Muhamamd alikuwa Mtume wa Mungu, mbona tabia zake si za kitume na hazifanani na mitume walio tangulia kbala yake?
 



Akitubu na kuacha njia zake yaana kama aliua kwa sababu ya siasa basi aachane na hiyo njia yake ya siasa maana kwake madaraka ni ulevi na yamemlevya basi hata tusipomsamehe Mungu atamsamehe .

Kama ni fisadi aachane na ufisadi na kujali mali za umma basi atasamehewe na Mwenyezi Mungu .

Lakini pia tatuzo la Tanzania na Afrika Mafisadi wanalelewa na Sheria na katiba mbovu ndio maana Dini hazina nguvu yoyote .

Ukristo bora mara mia tano kwenye kuwabana mafisadi maana Mapadri wengi kama sio wa mwenye mifumo ya serikali wanakuaga wazi kupinga matendo mabaya kwa waumini wao lakini pia kwa viongozi wa umma hasa Wakatoliki maana wanapata kitubio mbele ya Padri hivyo inakua vigumu sana kwa watawala wakatoliki kuwa waovu kupitiliza maana watakua wanatubu mara kwa mara kwa makoso yale yale na mwishowe watakemewa hadharani .


Kanisa duniani kote limejenga uadilifu kuliko hizo dini nyingine zinazowaza serikali zenye kupendelea upande mmoja badala ya kujenga mifumo ya kijamii.
Mfano hata uarabuni kuna ubaguzi mkubwa sana maana kuna familia haziwezi kamwe kushika madaraka na nyingine ni za kifalme na zenye utajiri mkubwa sana lakni ukienda ulaya ya Kaskazini na nchi za Scandinavia ambapo ilijengwa katika misingi imara inayojali jamii nzima na mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi kwa Sababu jamii zao zinazowakataa watu waovu kuwa viongozi.
Afrika na hata uarabuni Bado hakuna viongozi tuna watawala ndio maana wanatumia nguvu kubwa kutaka kuitwa viongozi . Na jamii inapenda kutawaliwa badala ya kuongozwa .

Kanisa ni mfano mzuri sana wa kuigwa katika uongozi.
Kanisa halitawaliwi linaongozwa ndio maana linafanya mambo makubwa ya kimaendeleo jamii kwa ushawishi tu bila kuzumia nguvu .

Leo hii Mfano tu hapa Tanzania watawala wanangangana kubaki madarakani kwa miaka 10 bila kutoa nafasi ya haki na huru ya kwa wananvhi kuchagua wenyewe ndio maana hata huko chini kabisa kwa Madiwani na wabunge hakuna anayekubali kuachia jimbo kirahisi kwa sabbu wanataka utawala sio uongozi.

Ukristo haukubaliani kabisa na watu wanaotaka kutawala wengine katika misingi ya nguvu badala yake waache mamlaka ziongoze kwa misingi ya kisheria na kikatiba maana okatiba na sheria ikifuatwa kwa haki viongozi watapatikana kwa haki na jamii nzima itaongozwa kwa haki .


Leo watawala wanataka kitawala mpaka kanisa .
Yaani mfano Mama Samia katika makuzi yake huko zanziba na omani kwenye asili yake hajui kabisa kabisa kuwa ukristo ni taasisi kubwa sana ya kiroho hata kama alifundishwa kuwa Ukristo sio dini ya mwenyezi Mungu . Yaani wazanzibari wengi hata kwenye mitandao wanatukana sana maaskofu katusi ya nguoni kwa sababu tz wamekemea mauaji ,utekaji ,wizi na dhulma za wataawala . Hii ni kwa sababu kwenye makuzi yao hawakufundishwa kuheshimu dini nyingine hata kama wanawaona ni makafiri wasio wasiokuwa wa imani yao.
Ukristo siku zote kazi yake ni kuubadili ulimwengu kutoka kwenye matendo mabaya kwenda kwenye matendo mema.

Ili kanisa liheshimike na kutambuliwa ni Lazima makanisa yote yatambue kuwa kumrudisha Mama samia madarakani Mzanzibari asiyejali dini za watu wengine tangu utotoni ni jambo la hatari sana litakalo udhoofisha ukristo na hata kuwapoteza wakristo wenye uwezo mkubwa kisiasa na hata kiuchumi na kijamii . Ndugai mfano kwa wagogo ni alikua ni mtu mkubwa sana na maarufu lakni amepotezwa kihuni .
Kanisa katoliki ni kanisa mama kwa makanisa lakni linasukwasukwa na kutishwa ili hivi vikanisa vidogo viongope na kufyata mkya kwa huyu Mzanzibari na chama chake .

Yafanyike marekebisho muhimu kabla ya uvhaguzi au usifanyike kabisa ili tuweze kupata wanunge na madiwani na hata rais kwa kura halali na chama kinachokubalika ndicho kipate viti vingi kwa haki . Huyu mama anatengeneza Wabunge na madiwani wake yeye watakaomsaidia kuliangamiza kanisa na Tanganyika imilikiwe na waarabu na watu wachache .

Wakrsto mkiruhusu huyu mama akaingiza wabunge wake bungeni amini amini amini na waambia sheria inayokuja kutungwa wakani ni ya kuzuia kabisa mtu yeyote kumkosoa Rais na hali ya watu kuuawa na kupotea hasa Wakristo itakua ni ya kutisha maana CCM bado inataka kubaki madarakani kwa muda mrefu pamoja na ukweli kwamba wamekosa ushawishi chini ya huyu mama . Kwa hiyo hatataka chama kimfie mikononi mwake . Chama kikimfia mikononi mwake ni hatari sana kwake na kundi lake na familia yake pia maana atakua ni raisi atakayefungwa gerezani au akimbie nchi . Atakachofanya ni kulipiga kanisa kipigo cha mbwa koko ili pasiwe na mtu wa kufurukuta na katiba italetwa mbovu kuliko iliyoko kwa sababu itaweka na wanunge waliotokana na rushwa lakini wenye mihemko ya kutaka Urais wa 2030.
 
Mwenye kusamehe ni Mungu wake sio wakristu mkuu. Sisi kazi yetu ni kuwaambia watu habari njema ya ufalme wa Mungu. Tubuni na kuiamini injili. Na kama wewe ni uzao wa huo ufalme huna budi ila kumpa Mungu utukufu na kutii mapenzi yake. Na Mungu wa haki atalipa yeye kwa kadiri ile aonayo yeye ni njema
 
Yep! "Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo.......(Mt.11:28-30) tena mahali pengine inasema Haya njoni tusemezane.................. hata zingekuwa nyekundu kama bendera.....(Isaya 1:18)
"...Yeye atazisafisha na kuwa nyeupe kama theluji...'!
 
Baada ya kutubu je aliua tena?
 
Cc. Jpm
 
Yes....! Mungu hutusamehe na hatuhesabii Makosa, na Wala Huwa hakumbuki...
Kama Kuna kitu kinazuia baraka za Watu ni kutosamehe, na yeye anachukua kutosamehe.

Ila mtu aliyefanya Maovu, Dhambi kutesa na kuumiza Watu, hata kama atatubu Kwa Dhati, Kuna namna lazima atalipa Kwa matendo yake, hata kama Mungu kamsamehe, atalipia.

Jifunze kusamehe Kuna baraka kwenye kusamehe, Kuna Laana kwenye kutosamehe, Kusamehe ni lazima Kwa Mkriso.
 
Kadili uovu unavyokuwa mkubwa pamoja na Mungu husamee ila gharama ya toba nayo ni kubwa mno jalibu kuwaza zakayo alisema atarudisha pesa za watu aliowadhurumu mala 4 biga hesabu maana yake alirudi na kuwa masikini
 
Najua unataka kufanya comparison toka kwa rais na rais, ila yote hayo ni ya kukemea!! Jikite kweny kukemea haijalishi utachagua awamu ipi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…