Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
Kama Kiongozi ni Mgonjwa wa Afya ya Akili, Nini kinapaswa kufanyika? Madaktari wa Afya ya akili na wataalam wa saikolojia mtusaidie! Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi? Kama kiongozi ni psychopath, sadist, nini kinapaswa kufanyika? Mtu akishakuwa Psychopath/sadist anapenda kudhuru watu na kuwaua. Huo ni ugonjwa wa afya ya akili?
Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi? Ukishakuwa na kiongozi ni Mgonjwa wa Afya ya Akili anaumwa severe psychopathy yeye kuuwa watu milioni 10 haoni shida na maaskari kwa kuwa wamepokea maagizo toka juu wanafata maagizo ya psychopath.
Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi? Share kwenda popote, Instagram, Twitter, TikTok, YouTube, Facebook, Whatsapp, n.k, nini kinapaswa kufanyika endapo kiongozi ni Mgonjwa wa Afya ya Akili anaumwa ugonjwa wa Sadist/psychopath, nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi?