Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Kwa mara ya kwanza almanusura KMC ichukue point zote 3 mbele ya timu ambayo mashabiki wake wanajinasibu wanayo timu bora.
Unaokota point 1 mbele ya timu ambayo ni ya kawaida tena kwenye uwanja ambao unaweza kupanga mbinu zako na zikakubali.
KMC aijawai kuchukua point kwa simba zaidi ya kipigo lakini leo wameondoka na alama moja pia wakiwa wamecheza mpira safi sana.
Unapodondosha alama nyumbani kwako tena kwenye mechi kama ya kmc inatakiwa ufikilie itakuwaje ukikutana na Yanga, au Azam? Na hapo bado ujatoka nje ya dar kwenda kucheza kwenye viwanja korofi? Simba kuna kazi ya ziada wanatakiwa wafanye vinginevyo miluzi mingi ilimpoteza mbwa!