Kama kocha Fahdu Davis Kapendekeza Deborah Mavambo aondolewe Simba basi hata mm namzidi uwezo wa kufundisha

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
Semaj letu limedai usajili wa msimu ujao no fully mapendekezo ya kocha wetu, ss najaribu kuangalia hao wachezaji anaowapendekeza watemwe, nakuta jina la fundi wa mpira Deborah Fernandez Mavambo.

Huyu wala tusidanganyane kuwa hana uwezo,. Mavambo ni fundi hasa, ana nguvu, ana akili ya ball, ana control, Ana mashuti makali mno, he was very asset.

Kocha yoyote hawezi kusema Mavambo hayuko kwenye mipango yake, nakataa kabisa.

Najua kila kocha Ana mifumo yake na aina ya wachezaji anaowataka, Tanzania hapa wachezaji tunaowahitaji ni Kama huyu Mavambo, sio wachezaji aina ya Ahoua, mchezaji nyoro nyoro Kama bamia au Mukwala, kama hawa akina Mukwala na Ahoua ndio chaguo la Fahdu, ajiandae na Thank you mapema t msimu Ukianza au ngao ya hisani

Kama kocha anapendekeza Mavambo atafute changamoto nyingine basi mm uwezo wangu wa kufundisha namzidi hata huyo kocha, hakyamungu nawaapia.
 
Back pass master.
 
Mkataba ni pande 2 kwahy hata mavambo kama hajaridhishwa anaweza omba kuondoka kuliko kuwa na uhakika wa kukaa benchi,,achana na story za vijiweni kuwa maamuzi ya kusajili na kuvunja mikataba yote yanatimizwa kwa kufata report ya kocha. Kuna wachezaji kocha bado anawahtaji lakn wao hawahitaji kubaki
 
he was very asset.
He was an asset but not now.

Sio Kila mchezaji anayeachwa basi ni mbovu anaweza akawa mzuri ila mfumo wa kocho ukamkataa akaenda sehemu nyingine akakuta mfumo unaoendana naye na akakiwasha vizuri tu, huo ndio mpira muache kuingilia majukumu ya watu

Wewe mtu akija kukukosoa namna unavyoendesha familia Yako utafurahia?
 
Mkataba ni pande 2 kwahy hata mavambo kama hajaridhishwa anaweza omba kuondoka kuliko kuwa na uhakika wa kukaa benchi,,achana na story za vijiweni kuwa maamuzi ya kusajili na kuvunja mikataba yote yanatimizwa kwa kufata report ya kocha. Kuna wachezaji kocha bado anawahtaji

He was an asset but not now.

Sio Kila mchezaji anayeachwa basi ni mbovu anaweza akawa mzuri ila mfumo wa kocho ukamkataa akaenda sehemu nyingine akakuta mfumo unaoendana naye na akakiwasha vizuri tu, huo ndio mpira muache kuingilia majukumu ya watu

Wewe mtu akija kukukosoa namna unavyoendesha familia Yako utafurahia?
Very untrue
 
Semaj letu limedai usajili wa msimu ujao no fully mapendekezo ya kocha wetu, ss najaribu kuangalia hao wachezaji anaowapendekeza watemwe, nakuta jina la fundi wa mpira Deborah Fernandez Mavambo.

Huyu wala tusidanganyane kuwa hana uwezo,. Mavambo ni fundi hasa, ana nguvu, ana akili ya ball, ana control, Ana mashuti makali mno, he was very asset.

Kocha yoyote hawezi kusema Mavambo hayuko kwenye mipango yake, nakataa kabisa.

Najua kila kocha Ana mifumo yake na aina ya wachezaji anaowataka, Tanzania hapa wachezaji tunaowahitaji ni Kama huyu Mavambo, sio wachezaji aina ya Ahoua, mchezaji nyoro nyoro Kama bamia au Mukwala, kama hawa akina Mukwala na Ahoua ndio chaguo la Fahdu, ajiandae na Thank you mapema t msimu Ukianza au ngao ya hisani

Kama kocha anapendekeza Mavambo atafute changamoto nyingine basi mm uwezo wangu wa kufundisha namzidi hata huyo kocha, hakyamungu nawaapia.
Huyo jamaa hata mm namkubali.
Ana nguvu na very aggressive.
 
Jamaa ni bonge la player. Hii Simba hii kuelekea msimu ujao inaweza ikawa mbovu sana.
 
Semaj letu limedai usajili wa msimu ujao no fully mapendekezo ya kocha wetu, ss najaribu kuangalia hao wachezaji anaowapendekeza watemwe, nakuta jina la fundi wa mpira Deborah Fernandez Mavambo.

Huyu wala tusidanganyane kuwa hana uwezo,. Mavambo ni fundi hasa, ana nguvu, ana akili ya ball, ana control, Ana mashuti makali mno, he was very asset.

Kocha yoyote hawezi kusema Mavambo hayuko kwenye mipango yake, nakataa kabisa.

Najua kila kocha Ana mifumo yake na aina ya wachezaji anaowataka, Tanzania hapa wachezaji tunaowahitaji ni Kama huyu Mavambo, sio wachezaji aina ya Ahoua, mchezaji nyoro nyoro Kama bamia au Mukwala, kama hawa akina Mukwala na Ahoua ndio chaguo la Fahdu, ajiandae na Thank you mapema t msimu Ukianza au ngao ya hisani

Kama kocha anapendekeza Mavambo atafute changamoto nyingine basi mm uwezo wangu wa kufundisha namzidi hata huyo kocha, hakyamungu nawaapia.
Ni mchezaji mzuri sana lkn mbele ya kile kizee kirefu sijui kilimkamatia nini
 
Back
Top Bottom