Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Badala ya kumuwaza mama wa kizimkazi.Hii ndio bongo🤣
Kitu Cha kwanza asubuhi mtu anachofanya ni kushika pumbu na kuwaza maswala ya soka.
🤣
Back pass master.Semaj letu limedai usajili wa msimu ujao no fully mapendekezo ya kocha wetu, ss najaribu kuangalia hao wachezaji anaowapendekeza watemwe, nakuta jina la fundi wa mpira Deborah Fernandez Mavambo.
Huyu wala tusidanganyane kuwa hana uwezo,. Mavambo ni fundi hasa, ana nguvu, ana akili ya ball, ana control, Ana mashuti makali mno, he was very asset.
Kocha yoyote hawezi kusema Mavambo hayuko kwenye mipango yake, nakataa kabisa.
Najua kila kocha Ana mifumo yake na aina ya wachezaji anaowataka, Tanzania hapa wachezaji tunaowahitaji ni Kama huyu Mavambo, sio wachezaji aina ya Ahoua, mchezaji nyoro nyoro Kama bamia au Mukwala, kama hawa akina Mukwala na Ahoua ndio chaguo la Fahdu, ajiandae na Thank you mapema t msimu Ukianza au ngao ya hisani
Kama kocha anapendekeza Mavambo atafute changamoto nyingine basi mm uwezo wangu wa kufundisha namzidi hata huyo kocha, hakyamungu nawaapia.
He was an asset but not now.he was very asset.
Mkataba ni pande 2 kwahy hata mavambo kama hajaridhishwa anaweza omba kuondoka kuliko kuwa na uhakika wa kukaa benchi,,achana na story za vijiweni kuwa maamuzi ya kusajili na kuvunja mikataba yote yanatimizwa kwa kufata report ya kocha. Kuna wachezaji kocha bado anawahtaji
Very untrueHe was an asset but not now.
Sio Kila mchezaji anayeachwa basi ni mbovu anaweza akawa mzuri ila mfumo wa kocho ukamkataa akaenda sehemu nyingine akakuta mfumo unaoendana naye na akakiwasha vizuri tu, huo ndio mpira muache kuingilia majukumu ya watu
Wewe mtu akija kukukosoa namna unavyoendesha familia Yako utafurahia?
Huyo jamaa hata mm namkubali.Semaj letu limedai usajili wa msimu ujao no fully mapendekezo ya kocha wetu, ss najaribu kuangalia hao wachezaji anaowapendekeza watemwe, nakuta jina la fundi wa mpira Deborah Fernandez Mavambo.
Huyu wala tusidanganyane kuwa hana uwezo,. Mavambo ni fundi hasa, ana nguvu, ana akili ya ball, ana control, Ana mashuti makali mno, he was very asset.
Kocha yoyote hawezi kusema Mavambo hayuko kwenye mipango yake, nakataa kabisa.
Najua kila kocha Ana mifumo yake na aina ya wachezaji anaowataka, Tanzania hapa wachezaji tunaowahitaji ni Kama huyu Mavambo, sio wachezaji aina ya Ahoua, mchezaji nyoro nyoro Kama bamia au Mukwala, kama hawa akina Mukwala na Ahoua ndio chaguo la Fahdu, ajiandae na Thank you mapema t msimu Ukianza au ngao ya hisani
Kama kocha anapendekeza Mavambo atafute changamoto nyingine basi mm uwezo wangu wa kufundisha namzidi hata huyo kocha, hakyamungu nawaapia.
Ni mchezaji mzuri sana lkn mbele ya kile kizee kirefu sijui kilimkamatia niniSemaj letu limedai usajili wa msimu ujao no fully mapendekezo ya kocha wetu, ss najaribu kuangalia hao wachezaji anaowapendekeza watemwe, nakuta jina la fundi wa mpira Deborah Fernandez Mavambo.