Kama Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa ameanza Kuugua Uwendawazimu tafadhali akimbizwe upesi Mirembe au Lutindi kwa Matibabu ya haraka

Tatizo siku hizi anakesha usiku kusomea ukocha kwa njia ya posta na matokeo yake anakosa muda wa kupumzisha akili.
 
Kwamba biashara wao wameandikiwa kufungwa na simba eti?
 
Huyo ni Zuzu kujifanya kila mtu anamfahamu,kuchamba kwingi.
Kama nimecheza huo Mpira halafu Kazi yangu 24/7 ni Kukutana na Watu ama Maarufu au Waandamizi au Wakubwa ( wakiwemo Wachezaji na Makocha ) nikisema najuana nao vyema tu ni tatizo au kero Kwako / Kwenu?

Mbona mpaka anayekukaza pia namjua?
 
Hata hajui kuwa kujifanya unajua sana ni kuishia kuabika tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nimeaibika na lipi labda? Ninachoshangaa na Kuwashangaa ni kwamba kuna Watu ( tena Wapumbavu kabisa ) Kutwa mnaonyesha Kutokubaliana nami kwa Threads zangu lakini ndiyo hao hao 24/7 mkiingia tu JamiiForums lazima mzifungue na mzisome Threads zangu.

Kumbe nikiwadharau hapa huwa sikosei.

Cc: Frank Wanjiru
 
Benchi la ufundi la Simba linatakiwa litulie tu kwani Simba ina wachezaji wazuri kikubwa ni namna gani wanatumika katika mechi husika. Shida kubwa ambayo niliiona jana ni kuwa benchi la ufundi bado linaweweseka na kipigo cha Yanga kwa hiyo bado hawajatulia na ndio maana timu ilikosa mbinu kabisa toka mwanzo na hakukuwa na mabadiliko yoyote mpaka walipofanya mabadiliko ya baadhi ya wachezaji mwishoni mwa mchezo.

Kuanzia dakika ya kwanza ilikuwa inapigwa mipira mirefu wakati kipa wa biashara ni mrefu akawa anaikota na ile ambayo haifiki kwake mabeki wake walikuwa wanaiondoa kirahisi sana. Boko na Kagere kwanza hawana "control" nzuri pili walikuwa hawana mawasiliano mazuri nani anaruka na beki nani anaokota mpira ulioanguka, nani anabaki kati nani anatanua kidogo. Wakiruka wanaruka wote, wakihama kutanua wanatanua wote kati panabaki wazi. Ni kweli uwanja ulikuwa mbovu sana ndio maana wakaamua kucheza aina hiyo ya mipira lakini hata mipira mirefu kuwa ina mbinu zake za kucheza sio kupiga kila saa krosi za juu halafu kipa anadaka na benchi la ufundi limekaa tu linaangalia muda wote wa mchezo. Jamani jina krosi dongo/ chonganishi halikuja hivi hivi hizi ni krosi unapiga krosi kama shuti kali lengo ni kuwa aidha mshambuliaji wako afunge kwa kuugusa tu mpira au beki wa timu pinzani ajifunge wakati anaokoa. Sasa hata hii benchi Simba hawajui?

Kiufundi Simba ilikuwa na mapungufu mengi kiasi kipindi cha pili kuna muda timu iligawanyika vipande viwili fowadi na beki katikati kukawa hakuna mtu kabisa. Laiti Biashara wangekuwa na viungo wawili tu wakali wangepiga "one two " haraka haraka basi Simba alikuwa anakufa muda huo. Najiuliza hivi kwenye mechi ya jana kiungo kama Abdulswamad hakuwa na nafasi ya kuisadia Simba ukizingatia amesheza mechi nyingi kwenye viwanja vibovu?

Kwa mtizamo wangu naona kuna wachezaji ambao kama wangetumika vizuri basi kungekuwa na unafuu kwa Simba. Kwa mfano jana alipoingia Mhilu na Duncan Nyoni niliona walikuwa wanaitembeza timu kwenda mbele na kuichangamsha kiasi japo uwanja ulikuwa mbovu. Alipoingia Sakho ndie walau Simba ilipofanya mashambulizi ya hatari mawili toka mchezo uanze kutokana na kasi yake na uwezo wa kupiga chenga mpaka penati ikapitkana. Kuhusu Peter Banda ni mchezaji mzuri lakini sio wa kutegemewa kwa hivi karibuni kuibeba Simba itamchukua muda kiasi na benchi la ufundi liwe linampa muda mchache hivyo hivyo.

Kuhusu penati huwa hazina mwenyewe na Boko asilaumiwe lakini ukweli unajulikana wazi kuwa Nyoni ni mpigaji mzuri wa penati kuliko Boko. Na si penati tu bali hata mipira iliyokufa japo kuna wachezaji viherehere kila ikitokea faulo wanakimbilia kwenda kupaisha badala ya kumpa mtaalamu Nyoni kama yupo uwanjani. "Any way" huu ni mtizamo tu lakini benchi la ufundi linajua kwa nini limefanya lilichofanya na ndilo litawajibika na matokeo.
 
Tunaposoma threads mbalimbali ni kutaka kujua kinachoendelea,na sio kuwa tunazipenda hizo threads,tunachochukia ni jinsi unavyotumia ligha chafu kwrnye hoja zako,kusema uongo,na kulazimisha kuwa wewe tu ndio unayejua kila kitu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nilichukia Sakho kuingizwa dk ya 86 halafu ndo mashambuli yakaanza ,kweli mpira wa Leo ni wa hovyo ,hata Kibu Denis ni mzuri pia,Bwalya ni mzuri ila mle ndani kama amezidiwa sijui tatizo ni nini.

Kipindi chote Cha kwanza walicheza mipira mirefu na kipa wa Biashara alikuwa anazichukua bila wasiwasi ,kipindi cha pili vile vile mipira yote ya juu inachukuliwa na kipya wala hamna plan b
Bro kwa sasa kibu dennis hawezi kuchezeshwa maana uraia wake una utata

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kama nimecheza huo Mpira halafu Kazi yangu 24/7 ni Kukutana na Watu ama Maarufu au Waandamizi au Wakubwa ( wakiwemo Wachezaji na Makocha ) nikisema najuana nao vyema tu ni tatizo au kero Kwako / Kwenu?

Mbona mpaka anayekukaza pia namjua?
Wewe ni tahira unaetafuta kiki mitandaoni. Halafu kingine nakukumbusha kuwa nadhani ushaanza kunisahau,usikimbilie kwa Moderators kwenda kushtaki.
 
Tunaposoma threads mbalimbali ni kutaka kujua kinachoendelea,na sio kuwa tunazipenda hizo threads,tunachochukia ni jinsi unavyotumia ligha chafu kwrnye hoja zako,kusema uongo,na kulazimisha kuwa wewe tu ndio unayejua kila kitu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Yaani akiona tunazifungua akili yake mbovu inamtuma tumezipenda🤣🤣🤣🤣🤣
 
Benchi la ufundi la Simba linatakiwa litulie tu kwani Simba ina wachezaji wazuri kikubwa ni namna gani wanatumika katika mechi husika. Shida kubwa ambayo niliiona jana ni kuwa benchi la ufundi bado linaweweseka na kipigo cha Yanga kwa hiyo bado hawajatulia na ndio maana timu ilikosa mbinu kabisa toka mwanzo na hakukuwa na mabadiliko yoyote mpaka walipofanya mabadiliko ya baadhi ya wachezaji mwishoni mwa mchezo.

Kuanzia dakika ya kwanza ilikuwa inapigwa mipira mirefu wakati kipa wa biashara ni mrefu akawa anaikota na ile ambayo haifiki kwake mabeki wake walikuwa wanaiondoa kirahisi sana. Boko na Kagere kwanza hawana "control" nzuri pili walikuwa hawana mawasiliano mazuri nani anaruka na beki nani anaokota mpira ulioanguka, nani anabaki kati nani anatanua kidogo. Wakiruka wanaruka wote, wakihama kutanua wanatanua wote kati panabaki wazi. Ni kweli uwanja ulikuwa mbovu sana ndio maana wakaamua kucheza aina hiyo ya mipira lakini hata mipira mirefu kuwa ina mbinu zake za kucheza sio kupiga kila saa krosi za juu halafu kipa anadaka na benchi la ufundi limekaa tu linaangalia muda wote wa mchezo. Jamani jina krosi dongo/ chonganishi halikuja hivi hivi hizi ni krosi unapiga krosi kama shuti kali lengo ni kuwa aidha mshambuliaji wako afunge kwa kuugusa tu mpira au beki wa timu pinzani ajifunge wakati anaokoa. Sasa hata hii benchi Simba hawajui?

Kiufundi Simba ilikuwa na mapungufu mengi kiasi kipindi cha pili kuna muda timu iligawanyika vipande viwili fowadi na beki katikati kukawa hakuna mtu kabisa. Laiti Biashara wangekuwa na viungo wawili tu wakali wangepiga "one two " haraka haraka basi Simba alikuwa anakufa muda huo. Najiuliza hivi kwenye mechi ya jana kiungo kama Abdulswamad hakuwa na nafasi ya kuisadia Simba ukizingatia amesheza mechi nyingi kwenye viwanja vibovu?

Kwa mtizamo wangu naona kuna wachezaji ambao kama wangetumika vizuri basi kungekuwa na unafuu kwa Simba. Kwa mfano jana alipoingia Mhilu na Duncan Nyoni niliona walikuwa wanaitembeza timu kwenda mbele na kuichangamsha kiasi japo uwanja ulikuwa mbovu. Alipoingia Sakho ndie walau Simba ilipofanya mashambulizi ya hatari mawili toka mchezo uanze kutokana na kasi yake na uwezo wa kupiga chenga mpaka penati ikapitkana. Kuhusu Peter Banda ni mchezaji mzuri lakini sio wa kutegemewa kwa hivi karibuni kuibeba Simba itamchukua muda kiasi na benchi la ufundi liwe linampa muda mchache hivyo hivyo.

Kuhusu penati huwa hazina mwenyewe na Boko asilaumiwe lakini ukweli unajulikana wazi kuwa Nyoni ni mpigaji mzuri wa penati kuliko Boko. Na si penati tu bali hata mipira iliyokufa japo kuna wachezaji viherehere kila ikitokea faulo wanakimbilia kwenda kupaisha badala ya kumpa mtaalamu Nyoni kama yupo uwanjani. "Any way" huu ni mtizamo tu lakini benchi la ufundi linajua kwa nini limefanya lilichofanya na ndilo litawajibika na matokeo.
Uchambuzi mzuri...
 
Wachezaji wa kigeni

Sadio Kanutte
Duncan Nyoni
Ausumane Sakho
Hawa wanaingia kuanza moja kwa moja. Wamefit kwenye ligi

Peter Banda
Innonga Baka
Wanahitaji muda kidogo kupata stamina, hawana nguvu,
less physic.

Wachezaji wazawa

Yusuf Mhilu
Kibu Dennis
Israeli
Wako vizuri wapewe nafasi ya kuanza.

Mchezaji

Jimmison simfahamu sijawahi kumwona akicheza.

Simba bado ina kikosi kizuri kupita cha Yanga.
Mtakuja kunikubali muda sio mrefu.
 
Hivi inakuingia Akilini kweli unamuacha Beki halisi namba Tatu Bench Mohammed Hussein Tshabalala na unamuanzisha Mtu mwenye uwezo wa Kucheza Beki namba Mbili Israel Patrick Mwenda?

Hivi inakuingia Akilini kweli ndani ya Mechi Tatu unaona kabisa Kiwango cha Beki Shomary Kapombe kinashuka halafu bado unalazimisha Kumpanga wakati unae Beki mpya tena huenda ana uwezo mkubwa kuliko Yeye Israel Patrick Mwenda?

Hivi inakuingia Akilini kweli Kocha mzima unajua kuwa 85% ya Mabeki ulionao Simba SC ni Wazee sasa halafu unaamua Kumtoa kwa Mkopo kwenda Mtibwa Sugar FC Beki mwenye Uwezo mkubwa na ana Kila Kitu Ibrahim Ame?

Hivi kweli inakuingia Akilini kwa Kocha kuamua Kumuingiza Uwanjani Mchezaji ambaye Kiuhalisia ni Beki Mbili Israel Patrick Mwenda akacheze Beki namba Tatu huku hapo hapo katika Bench ukiwa na Mchezaji mwenye hiyo namba na ndiyo anaimudu vyema Gadiel Michael Kamagi Mbaga?

Hivi kweli inaingia Akilini kwa Kocha kuamua Penati apige John Raphael Boko wakati 99.9999% ya Wachezaji wa Simba SC wanasema hata ukimuamsha tu Usingizini Mchezaji Kiraka ndani ya Kikosi Erasto Edward Nyoni anafunga / atafunga?

Hivi kweli inakuingia Akilini yaani Kocha ana Silaha Kali ya Mchezaji Pape Ousmane Sakho ambaye kila aliyemtizama kwa Jicho la Mpira anakubali kuwa Jamaa anajua, msumbufu na mpambanaji hasa na anaanzia tu Bench na hata akiingia anapewa wastani wa dakika 15 au 10 tu?

Mightier Jumapili Usiku nilianzisha Uzi hapa hapa JamiiForums nikisema na Kuahidi kuwa naenda Kuanika Upuuzi wote na Kuwataja Viongozi ambao ningesema Mapungufu yao ila kuna Mwandamizi Mmoja akanifuata PM na Kuniomba nisiharibu.

Na kwa Kumuheshimu kwakuwa namjua vyema pia lakini kwa hii Suluhu ( Goalless Draw ) ya Leo yenye Upuuzi kama siyo Upumbavu mwingi naweza Kuweka Mambo yote hadharani na Mgogoro mkubwa uibuke Klabuni Simba.

Na wengine kama akina Mightier tunaumia kwakuwa hatujaishia tu kuwa Wachambuzi wa Mpira ( hasa Soka la Tanzania ) ila hata huu Mpira wenyewe nao tumeucheza vyema, tukasifika na tunaujua vile vile hata kama hatujafikia Kiwango kile na bahati nzuri hata Wachezaji wa Timu hizi Kubwa nchini ni Washkaji na Wadogo zetu hivyo huwa wanatuambia mambo mengi, makubwa na mazito pia.

Tafadhalini Kocha Gomez atupishe SSC.
Hujui mpira kausha tu na ndio maana hata ukocha hujapewa hapo mtaani kwenu
 
W

Wachambuzi uchwara utawajua tu!! Hivi unategemea sisi tukuamini wewe ambaye hukai na wachezaji na hujui form aliyo nayo mchezaji kwa siku husika lakini umekariri form zilizopita za wachezaji, huwapi mbinu wachezaji wakati wa mazoezi na ukajua ni mchezaji yupi ameshika mbinu na yuko tayari kucheza! Unategemea tusimwamini kocha anayejua kila kitu cha wachezaji na hali zao za sasa na anayejua yupi ataendana na mbinu za leo, anajua pia hali za kiafya za wachezaji kwa siku husika!!
Inabidi tukubali ukweli kuwa hakuna timu inayoweza kuwa kwenye top form siku zote ! Pia hakuna mchezajj anayeweza kuwa kwenye top form siku zote! Kocha humpanga mchezaji kutokana na jinsi alivyo-perform kwenye mazoezi na si vinginevyo! Wewe unataka apangwe hata yule ambaye hakuendana na falsafa ya mwalimu kwa mechi husika!! Gomes ametufurahisha mara ngapi? Utakuwa ni ukichaa tukimhukumu kwa mechi mbili tu!!
 
Shida yako unataka tu watu wajue kuwa upo karibu na Matola!! Utamponza!!
Mbona nipo pia karibu na CEO Barbara Gonzalez na Juzi alisema sasa Wameunda Kikosi Kazi cha Kuwabaini wanaoihujumu Klabu na yupo Mchezaji Mmoja Mwandamizi nae anahusika?

Haya na hapa pia kwa hii Siri aliyonipa CEO Wenu na Yeye pia nitamuharibia au Kumponza? Mimi ndiyo Mightier sawa?

Mpuuzi mkubwa Wewe.
 
Back
Top Bottom