Kama Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa ameanza Kuugua Uwendawazimu tafadhali akimbizwe upesi Mirembe au Lutindi kwa Matibabu ya haraka

Kama Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa ameanza Kuugua Uwendawazimu tafadhali akimbizwe upesi Mirembe au Lutindi kwa Matibabu ya haraka

Mbona nipo pia karibu na CEO Barbara Gonzalez na Juzi alisema sasa Wameunda Kikosi Kazi cha Kuwabaini wanaoihujumu Klabu na yupo Mchezaji Mmoja Mwandamizi nae anahusika?

Haya na hapa pia kwa hii Siri aliyonipa CEO Wenu na Yeye pia nitamuharibia au Kumponza? Mimi ndiyo Mightier sawa?

Mpuuzi mkubwa Wewe.
Sasa hivi mnatafuta mchawi mwingine wa so called kuhujumu timu,sio Manara tena?
 
Back
Top Bottom