Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Sasa hivi mnatafuta mchawi mwingine wa so called kuhujumu timu,sio Manara tena?Mbona nipo pia karibu na CEO Barbara Gonzalez na Juzi alisema sasa Wameunda Kikosi Kazi cha Kuwabaini wanaoihujumu Klabu na yupo Mchezaji Mmoja Mwandamizi nae anahusika?
Haya na hapa pia kwa hii Siri aliyonipa CEO Wenu na Yeye pia nitamuharibia au Kumponza? Mimi ndiyo Mightier sawa?
Mpuuzi mkubwa Wewe.