Kama kosa langu ni kumpenda King'asti basi Paw nipe permanent ban!

Hahaha, sasa hayo mashairi hayakuti ya Paw! Unajua Paw ana undugu na mrisho mpoto¿

hapa nimeshaanza kufunga na kuomba kwa ajili yake. Kuna roho la ukimwi linamsakama. Hajaleta zaka tu.

Msikize kijana huyo. Rimoyo rake rimekudondokea.
 
Weweeee, unataka kunichonganisha na Roulette eeh.
Mke mwenza naona nyota imeanza kung'ara lol. Naomba mungu shemeji Paw asipite chit chat kwa siku ya leo
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Paw
Mke mwenza naona nyota imeanza kung'ara lol. Naomba mungu shemeji Paw asipite chit chat kwa siku ya leo

Kwa jinsi watu walivyo mention ni lazima pachimbike leo Chit Chat watu wanataka kula chakula yake tehw tehe.
 
Last edited by a moderator:
Mbona nimeshamsemelezea! PAW anajiamini, ndo wala hahitaji kujibizana wala kupiga ban. Atapambana na wangapi? AshaDii, njoo unitetee wifi yangu, mke mwenza anaharibu hapa.
Mke mwenza naona nyota imeanza kung'ara lol. Naomba mungu shemeji Paw asipite chit chat kwa siku ya leo
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiiiiiiiiiiii! Mambo ya kina barlow (rip) utayaweza??? La usiogope kitu chenye ncha kali, we komaa, si unaona barlow alivyokufa kikomandoo kabisaaaaaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…