Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
kama patachimbika kisa kumpenda King'asti basi poa tu
Kwani na yeye anakupenda???? angalia isije ikawa limbwata.
afu kingasti ni mganda????
kama patachimbika kisa kumpenda King'asti basi poa tu
shost upo?? mzima weye?Kwani na yeye anakupenda???? angalia isije ikawa limbwata.
afu kingasti ni mganda????
Weeh unashabikia mwenzio kiroho kinadunda hapa Paw akiamua ku-chop of my chop chop money. Nikipokonywa ile debit card ntaumbuka mjini mwenzio uwiiii.
we tafuta tu, tutakutana huko huko, wee unajitambulisha mi ndio nakabidhiwa mzigo nikaumiliki jumlabasi kama ndo lengo lako heri nitafute mshenga mwingine awe mzee Mtambuzi
unazidi kushindilia msumari wa moto!! lolest, ngoja watu wa mkoa wake waandamane!yule kafa kizembe,mi nafanya timing kwa mda mwafaka
tena shikamana haswa kama kinu na mtwangio wake vikiwa kazini! lol!ndo nakomaa,sitaki kuachia ngazi