Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
bora uje na manati kuliko bastola chakavu, ukipiga risasi, risasi inatoka kama shilingi iliyotupwa na mtoto goigoibastola itakuja kufanya kazi
bora uje na manati kuliko bastola chakavu, ukipiga risasi, risasi inatoka kama shilingi iliyotupwa na mtoto goigoibastola itakuja kufanya kazi
Hahahaha naona unavijaribu vishawishi...
Wewe najua nikikupiga ban ya kutokuja kwangu mwaka mzima lazima utalala viambazani...
Mshangae, anapendaje mke wa wenyewe?
Mie ni mganda ila wa umang'atini japo nimekulia umasaini.
King'asti mie sisemi, make hata me ishanitokea. so akili mukichwa!
mi nimekamilika halafu bado natoswaExcy acha kupiga kelele mkuu... weka Masta card mezani na password, weka funguo angalau za R4 siyo vitz(baby Car) na kama huna hati angalau mkataba wa kiwanja goba... uone kama utamwita King'asti mara 2.... ukikohoa tu baby umeniita..
pamoja na kupenda lakini Siku hizi Silaha pesa maneno umbea (kisu mzigo)
Kuna watu wagomvi kuliko alshabaab! Mmmh!
kumbe nilishawahi kumpenda King'asti............mods hi post futeni
nayaona hapo luteni ukiwa kwenye mission kali kabisa.usilogof kanali,mambo ya zamani haya bhana