Kama kosa langu ni kumpenda King'asti basi Paw nipe permanent ban!

Kama kosa langu ni kumpenda King'asti basi Paw nipe permanent ban!

basi sawa ila umejiandaa vyema kwa mpambano na figganigga?

bwana mdogo Excellent simuelewi. anataka kuvaa viatu vya kaka yake. atakua hana heshima. nmeshamfanyia mpango kwa miss wa kinyaru lakini bado hataki kutulia. nimfanyeje?.
Excellent naomba umheshimu shemeji yako Heaven on earth. atakuingiza kwenye matatizo. ona ushaanza kunitangazia ubaya kisa mke wangu. Muombe Mungu akupe wako. kwa ufupi vita vyangu huviwezi, mwenzio napambana kwa tindikali. mia
 
Last edited by a moderator:

miss wa kinyaru akija online na wewe unakuwa online,mkitoka online wote mnapotea Heaven on earth back to reality
 
Last edited by a moderator:
Hehehe huyu penda penda anakimbiza hadi vivuli. Atakuguata na id nyingine soon.
Unapendwa bi shosti lol...hebu mkubali Excellent utamua mwenzio jamani

nimewekeza na yeye kawekeza kwangu. Kanunue kiwanja ujenge, huwezi pandisha floor kwenye mjengo wa mwenzio baba
katongozwa huu mwaka wa tano,hapendeki kabisa..watoto wa masaki si unajua walivyo

hahaha Mamndenyi kauzu ni huyu mwenye kutongoza mke wa mwenzie. Ovyooo
Nimesoma kurasa zote kama mtihani wa kiswahili.
......... Paw ni kauzu ile mbaya.
Bishanga umeona eeh. Mie sitemi bigijii kwa karanga za kuonyeshewa. Bigijii hangu sugar free, haiishi utamu na haiharibu meno. Akhuuu!
Dah! Hii kali ya kufungia 2013,unatongoza weeeeengi mpaka unasahau ulitongoza yupi...... King'asti una akili sana wewe.
 
Last edited by a moderator:
Hehehe unakumbuka eeh. Eti sijui excy sijui nini. Kijana ana mahangaiko ya nafsi huyu!
We subiri uwashiwe moto, tena nakumbuka kuna kipindi ukabadili jina likawa la kisharobaro ili umvutie King'asti .... tulia unyolewe...

Utachonga sana. Nshakuambia Paw ndo mpango mzima, wa ndani na wa nje. Hata kifo hakitatutenganisha!
aaaah King'asti nampenda bhana ila feelings sina kwa ajili ya Paw.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Figganigga mbona unataka kuniingiza choo cha kiume nitaweza kukojoa nimesimama kweli? huyuhuyu Excellent aliyekuwa anasema hajui kutongoza leo hii anatongoza hadharani tema mke wa mtu?! Nilihisi kitu ndo maana nikamtuma Judgement anipelelezee, sikutaki kabisa Excellent
 
Hehehe unakumbuka eeh. Eti sijui excy sijui nini. Kijana ana mahangaiko ya nafsi huyu!

Utachonga sana. Nshakuambia Paw ndo mpango mzima, wa ndani na wa nje. Hata kifo hakitatutenganisha!
Bhaeleze hao.
Tena nafanyia kazi software ya kudetect mind za watu. Sasa ikishaanza kufanya kazi naamini kuna wengi watanyolewa nywele bila kinyozi
 
hapa lazma tutoke baba. achana nao hao hawajiamini na hawajui viatu vyako haviwatoshi kamwe.
tengeneza hiyo tupate mshiko wa maana. ngoja nikupikie machalari leo:busu
Bhaeleze hao.
Tena nafanyia kazi software ya kudetect mind za watu. Sasa ikishaanza kufanya kazi naamini kuna wengi watanyolewa nywele bila kinyozi

afu na wewe wa kufanyiwa majaribio kabisa. japo ni step braza lakini sikuelewi elewi hivi:A S-confused1:
Ikiwa ready uifanyie majaribio kwa Bishanga & Baba V

Copy: Erickb52
 
Kipipi yani King'asti ananionea kwa vile anajua nampenda,bby King'asti sina ubishi,mi nataka tu kuwa na wewe,hasa pale unaponipa ushauri,halafu na mimi nakupa ushauri,usipokubalina nakubaliana ,jua kiss cha umpendaye ni raha ya mda ila mi nitakupa zote.Unapolalamika natibu jeraha zako,nakuangalia machoni ukiwa na huzuni nakukumbatia,nakuangalia machoni King'asti we ni kama wimbo wangu bby,nipo serious,unaweza usiniamini ila nataka nikupulize manukato
yenyewe harufu tamu,utanitosa na kusikiliza uzushi wao,wakikutenda wala usiogope,mi nipo ambaye ni Alfa na Omega,nakupenda King'asti.

Excellent
maneno haya yangekuwa unayasema mpk kufa ingekuwa ni mazuri sana, haya yote yanakutoka kwa sababu una kiu na King'ast ila pindi utakapokamilisha kiu yako tu, hayo maneno yooote yanapote, kama utamu wa sukari kwenye Big G" ukishausha unaitema unataka ingine. Hapo ndipo mnaponichosha wanaume LOh!
 
Nimeshamtema, tena mfikishie hizo habari kwamba nimemtema simtaki tena.

usifanye hivyo, yakupasa kuwa mvumilivu coz kila mwanadamu anamapungufu yake. bado mapema kugive up. ndo maana nikakuomba umuingize ukubwani. Excellent hajajua hata wivu ni nini so msamehe bure. mia
 
Last edited by a moderator:
hivi Excellent bado unaendelea na huu mpango?

me ngoja nikae pembeni nione kama hata pona mtu mwaka huu.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Lisa umeona eeh? Yeye na mafisadi wenzie watasubiri sanaaa. Miaka laki 8, paw ndo mpango mzima! Mie sio kitabu kufunguliwa na kila mwenye macho

Excellent
maneno haya yangekuwa unayasema mpk kufa ingekuwa ni mazuri sana, haya yote yanakutoka kwa sababu una kiu na King'ast ila pindi utakapokamilisha kiu yako tu, hayo maneno yooote yanapote, kama utamu wa sukari kwenye Big G" ukishausha unaitema unataka ingine. Hapo ndipo mnaponichosha wanaume LOh!

Huyu jamaa ni mwanaccm nahisi. Hachoki kila siku ahadi, flyovers na umeme vijijini anaendelea tu kuahidi! Khaa
hivi Excellent bado unaendelea na huu mpango?

me ngoja nikae pembeni nione kama hata pona mtu mwaka huu.

Unajikausha eeh?
Nimekosea wapi tena?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom